Tanzania, Morroco, South Africa na Egypt zinaongoza Afrika katika mapato ya Utalii

Sasa umekubali kwamba Kenya huwa mnadanganya kuhusu GDP yenu?, hiyo $99B mnayosema imetoka wapi?. Acheni tabia ya kupenda sifa
99bn are projections hesabu ikifanywa financial year mwaka ujao. Nini huelewi hapo mkuu 🙂
 
Stupid is as stupid gets,
Mmejifunza kutembea Jana Leo hii mnajiona mnaweza mbio za sakafuni
Kalb hayawan!

kwan ni uongo? mbna Kenya airways ina ndege zaidi ya 40, lakini haijawahi pata profit mpaka leo: we nan amekwambia uingi ndo profit, precision ina vindege vingap? can you compare the losses between these two?

so precion air wakisema we have had profit , will you ask mbna KAI has alot of flights: kwan umesoma wap primary?
 
There is no other source of data for tourist earnings in TZ except the Magufuli govt..
Let me give you an example of how pricing works, iphone sales for the last 10 years have been on decline but company revenue has steadily increased, this was achieved by increasing price. Apple realized (something you have not), it is much easier to sell fewer items at a higher price and make enormous profit than selling many at a cheaper price.

View attachment 1228154

There is no other source of data for tourist earnings in TZ except the Magufuli govt..

punguza mdomo: hii mada ya Tz vs Kenya haipo tu east Africa: even foreigners have been debating this for a long time
https://www.tripadvisor.com/ShowTopic-g293747-i9226-k7023648-Tanzania_vs_Kenya-Tanzania.html

pass by here and listen from the foreigners mouth themselves, nyie kila mkiambiwa kitu ni cooked:

1570703002808.png
 
Hii ni kuonyesha kwamba Tanzania ni nchi muhimu sana katika eneo hili la utalii hapa Afrika, kwasababu imeweza kuzipita kwa mbali sana nchi tajika katika utalii kama vile Mauritius,na Nigeria.

Katika hesabu za haraka inaonyesha kwamba, pesa inayopata Tanzania ni sawa na pesa ya Kenya na Uganda kwa pamoja.

+254 mpo???????????????
 
punguza mdomo: hii mada ya Tz vs Kenya haipo tu east Africa: even foreigners have been debating this for a long time
https://www.tripadvisor.com/ShowTopic-g293747-i9226-k7023648-Tanzania_vs_Kenya-Tanzania.html

pass by here and listen from the foreigners mouth themselves, nyie kila mkiambiwa kitu ni cooked:

View attachment 1228571
this does not show how TZ makes 1billion more, with less tourists.. unaniletea comment moja tu.
in fact hii comment inasema the national parks have similar experiences...same animals.. the difference is very slight.
Showing your data is cooked.
 
Kwa maelezo yote na hujaelewa hii inaonesha dhwahiri kuwa wewe ni mbishani.
 
Tanzania is a premier tourist destination catering to middle and top end tourists. Meanwile Kenya is a mass tourist destination, cheap holiday, backpackers lower end. Make your mind your guys want a tuk tuk or Mercedes Benz.
 
this does not show how TZ makes 1billion more, with less tourists.. unaniletea comment moja tu.
in fact hii comment inasema the national parks have similar experiences...same animals.. the difference is very slight.
Showing your data is cooked.

we ata kusoma hujui: most wamesema similar but conclusion is what matters the most: most value Tz experience in everything so someone is likely to spend much time in Tz than in KE, which means more money from same person:

alafu data zko cooked kivp wakati the video is from a kenyan anaejielewa: umeskia amesema taarifa amezitoa wap mwanzoni wa video? ama unateseka
 
Back
Top Bottom