Tanzania, Morroco, South Africa na Egypt zinaongoza Afrika katika mapato ya Utalii

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
11,326
Points
2,000

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
11,326 2,000
Sibishi habari ya utalii unachangia GDP kwa kiasi hicho ama utalii ndio sector inayofuatia baada ya madini.uwongo wako ni kwamba kiasi kinachotokana na utalii ni kikubwa sawa na kiasi cha
Uganda na Kenya waungane kitu ambacho ni uwongo mkubwa.mwaka ulioisha tulipata watalii million 1.5,Uganda million 1.8 na Kenya million 2 plus.number hazidanganyi ndugu,yaani sisi tuliopata watalii 1.5m tupate mapato makubwa sawa na Kenya +Uganda combined?wewe mwenye akili kubwa ndio unaandika huu ushuzi humu?hata Kama una league na Kenya jaribu kufikiri kabla hujaandika.
Jipe mude wa kujielimisha kwanza kabla hujavamia mazungumzo ya kitaalamu kama haya, soma posts #7, #20 na #21 ndio utaelewa kwanini Tanzania inapata pesa nyingi zaidi ya Kenya na Uganda kwa pamoja. Remember dereva anayeendesha gari kwa Massa 16 kwa siku analipwa $200 kwa mwezi, wakati " a consultant" analipwa "$300 per hour".
 
carter

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2009
Messages
2,870
Points
2,000

carter

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2009
2,870 2,000
Mimi ni mtanzania na sikubaliani na Huo uwongo.JFni jukwaa la great thinkers sio waongo wa kutumia source uchwara za watafuta views kwenye youtube
Mtanzania, ni kweli Kwamba Kenya inaonesha ina watalii wengi kuliko Tanzania. Ila kwenye mapato Tanzania inaongoza kuliko Kenya. Unajua ni kwanini?

Ni kwa sababu ukivuka border namanga hapa hata kama unaenda kununua miraa tu hapo Kenya, ukigonga pass wanakutreat as tourist. Na ukiangalia watalii wengi Kenya wanatoka US, namba mbili na tatu inashikwa na Uganda and Tanzania respectively. Ambapo UG na Tz wanacontribute zaidi ya watalii laki Nane kwenye idadi ya hao tourists wanaoingia Kenya. Hata piga hesabu zako na Wewe mkuu.
 
Fibanochi

Senior Member
Joined
Jun 28, 2018
Messages
170
Points
500

Fibanochi

Senior Member
Joined Jun 28, 2018
170 500
Bro, mbona umeshafafanuliwa na wadau huko nyuma? Kuwa Tanzania inafanya Qualitative Tourism while Kenya wao wanafanya Quantitive Tourism. Sisi tunapata idadi kdg chini ya Kenya lakni tunapata pesa Mingi sababu wengi wanaotembelea Tz wanajiweza. Ni sawa wewe uwe embe dodo mbili uuuze kwa buku 2000, lkn mwenzio ana embe sindano(za kunyonya) 20, kwenye fungu anauza kwa fungu buku 1. Mbona ni simple logic tu mkuu?
Sibishi habari ya utalii unachangia GDP kwa kiasi hicho ama utalii ndio sector inayofuatia baada ya madini.uwongo wako ni kwamba kiasi kinachotokana na utalii ni kikubwa sawa na kiasi cha
Uganda na Kenya waungane kitu ambacho ni uwongo mkubwa.mwaka ulioisha tulipata watalii million 1.5,Uganda million 1.8 na Kenya million 2 plus.number hazidanganyi ndugu,yaani sisi tuliopata watalii 1.5m tupate mapato makubwa sawa na Kenya +Uganda combined?wewe mwenye akili kubwa ndio unaandika huu ushuzi humu?hata Kama una league na Kenya jaribu kufikiri kabla hujaandika.
 
Fibanochi

Senior Member
Joined
Jun 28, 2018
Messages
170
Points
500

Fibanochi

Senior Member
Joined Jun 28, 2018
170 500
Bro try to get you facts right, you probably didn't know that, in order for a tourist to visit Serengeti, In most cases, he has to go through Ngorongoro gate(Loduare), there he will be charged about 70$ transit fees( this goes to gvt as well) for entrace and 70$ for exit.

I don't want to mention about vehicle entrace fees and concessions fees charged to a tourist if he spends a night in the park. Yes in Serengeti a tourist pays 70$ (+VAT), but there're other charges which go along with it like I have mentioned above. So you can do the math yourself and come up with the conclusion.

I'm not saying that imposing all these charges is a good idea, but what I'm trying to say is that, Tanzania is by far attracts more visitors than it's neighbouring Kenya due to it's diversification of tourist attractions. There is no way, you can compare Tanzania and Kenya when it comes to the number of natural attractions and others, each country has.
what service cost 500usd in TZ while in KE it costs 100usd,??

In Masai Mara , Park entry for non-residents is currently $80 per adult and $45 per child for 24hrs.
In Serengeti , Adults over the age of 16 pay $60 USD; children aged 5-16 pay $20 USD; and children under the age of 5 are free.

Tell me what tourism site would make TZ make a billion dollars (100B KE SHS) more than KE,
Then i will believe your cooked stories.
 
vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
945
Points
1,000

vulcan

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
945 1,000
Kenya tatizo lenu ni uwezo mdogo wa kufikiria, badilikeni aise. Tanzania tiliwashauri sana kwamba badilisheni Sera yenu ya utalii kutoka " High volume tourism to high value tourism ", ila kwasababu ninyi ni watu wa kupenda sifa na hamna uwelewa wa kutosha mlikataa.

Katika "high volume tourism" tunawavutia na kuwalenga zaidi wale matajiri ambao wengi wanakuja Tanzania kupumzika kwa muda mrefu katika Hotel zetu, sio ninyi mnalenga wanafunzi (back packers) wakifika Kenya wanalala katika Guest houses za $30. Soma post yangu #7 hapo juu. Kumbuka kwamba sisi wote tunafanya biashara ya vyakula, ila Tanzania chakula chetu tunawauzia wakazi wa "Karen", wakati ninyi mnawauzia wakazi wa Kibera, japo mchele ni huohuo.
Uwezo wa kufikiria nyinyi ndo hamna, ni wazi wazi kwamba Kenya inapata watalii wengi kuliko TZ, by more than 500k tourists, KE tena services na goods ni expensive kuliko TZ.. iweje tena TZ inapata 100 Billion KES kuliko KE, that's an impossible difference.. very big difference, ingalikuwa ni kama 10B tungeelewa,

mnapayukapayuka tu, am just asking, tell me one tourist facility, attraction, hotel where the cost is at least 5 times compared to KE????? you stop your bullshit arguments
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
11,326
Points
2,000

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
11,326 2,000
Uwezo wa kufikiria nyinyi ndo hamna, ni wazi wazi kwamba Kenya inapata watalii wengi kuliko TZ, by more than 500k tourists, KE tena services na goods ni expensive kuliko TZ.. iweje tena TZ inapata 100 Billion KES kuliko KE, that's an impossible difference.. very big difference, ingalikuwa ni kama 10B tungeelewa,

mnapayukapayuka tu, am just asking, tell me one tourist facility, attraction, hotel where the cost is at least 5 times compared to KE????? you stop your bullshit arguments
Hahahaha, tofauti kati ya mtu tajiri na masikini ni kwamba, mtu tajiri akija kutembea nchini kwako, anatumia pesa nyingi kuliko masikini kutokana na
1) Anafikia katika hotel za ghali sana
2)Anatembelea sehemu zenye kulipisha gharama kubwa, ananunua chakula na kutembea kwa ndege akiwa ndani ya nchi, hawatumii public transport system.
3) Wanakaa nchini kwa kipindi kirefu zaidi.

Tafiti zilizofanyika miaka ya nyuma zilionyesha kwamba wastani kila mtalii anayetembelea Tanzania anakaa wiki 3 wakati Kenya na Uganda wanakaa siku 8 tu. Tanzania mtalii anatumia pesa Mara tatu zaidi kwa siku ukilinganisha wakiwa Kenya na Uganda. Hiyo ndio tofauti kati ya High value tourism(Tanzania), na massa tourism (Kenya)
 
REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
8,919
Points
2,000

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
8,919 2,000
Tanzania tourism is robust enough to conquer the continental supremacy, ukiangalia statistics ni Tanzania ndio inayopaa kwa kasi Africa katika masoko na uwekezaji zaidi wa utalii

Company ya China ipo site saivi inajenga 5 massive luxury hotels kwenye mbuga 5 tofauti za Tanzania, as we are talking tayari ujenzi umeanza kwa baadhi ya maeneo

Kilimanjaro project ya kufunga cable cars tayari umeiva

Jana JPM katoa kibali ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kwenye hifadhi ya Katavi uanze mara moja

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
945
Points
1,000

vulcan

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
945 1,000
Hahahaha, tofauti kati ya mtu tajiri na masikini ni kwamba, mtu tajiri akija kutembea nchini kwako, anatumia pesa nyingi kuliko masikini kutokana na
1) Anafikia katika hotel za ghali sana
2)Anatembelea sehemu zenye kulipisha gharama kubwa, ananunua chakula na kutembea kwa ndege akiwa ndani ya nchi, hawatumii public transport system.
3) Wanakaa nchini kwa kipindi kirefu zaidi.

Tafiti zilizofanyika miaka ya nyuma zilionyesha kwamba wastani kila mtalii anayetembelea Tanzania anakaa wiki 3 wakati Kenya na Uganda wanakaa siku 8 tu. Tanzania mtalii anatumia pesa Mara tatu zaidi kwa siku ukilinganisha wakiwa Kenya na Uganda. Hiyo ndio tofauti kati ya High value tourism(Tanzania), na massa tourism (Kenya)
imagined statistics and demographics..
 
iam_paco

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2019
Messages
307
Points
1,000

iam_paco

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2019
307 1,000
Kenya hawajawahi kufikisha GDP hata 77B USD mwaka 2019 bado they're projected to achieve not more than 80B lakini utashangaa maroporopo humu yanadai wapo 120B hizi data za matakoni hazisaidii wasee

View attachment 1228265
Gdp lao ni 73 na yetu ni 61 projected to 64 2020 hawa hawana muda watakua chini yetu
 
Yosef Festo

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2014
Messages
792
Points
1,000

Yosef Festo

JF-Expert Member
Joined May 24, 2014
792 1,000
samahani am trying to multitask., kumbuka kuna wakati imefika 6.+, and above 5.6.,
financial year:
2014/2015 - 67.5
2015/2016 - 71.2
2016/2017 - 75.18
2017/2018 - 79.3
2018/2019 - 83.7
NB. Financial year inaanza June inafunga May.,
What is the projection of first quarter ya 2019/2020 financial year? , it was released recently., joto wewe fanya utafiti., ndio Maana projections are (ceteris Paribas) by end of this financial year tunaeza chezea $97-100B
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
11,326
Points
2,000

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
11,326 2,000
imagined statistics and demographics..
Jambo muhimu ambalo unapaswa kulijua, ambalo ninahisi kwamba wewe hujalielewa ni kwamba, hujui kwamba Utalii wa Tanzania ni "High value Tourism" na Kenya ni "Mass tourism".

Hizi ni aina mbili za utalii ambazo kila moja ina faida na hasara zake. Kila nchi inachagua aina ya utalii kutokana na mahitaji na " Vision" ya nchi yake, ni sawa kabisa na Tanzania ilipochagua "Ujamaa" na Kenya "Ubepari".

Ni ajabu kwa mtanzania kupinga Kuwepo kwa matajiri wengi Kenya, kwasababu ubepari unatengeneza mazingira ya watu wachache kutajirika, lakini pia ni kichekesho kwa mkenya kupinga idadi kubwa ya watu masikini sana Kenya ukilinganisha na Tanzania, kwasababu Ujamaa msingi wake mkubwa ni kupunguza idadi ya masikini.
 
you are not answering my question, what facilities and attractions in TZ have such a big difference in charges to cause a 100B KES difference ??
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
11,326
Points
2,000

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
11,326 2,000
samahani am trying to multitask., kumbuka kuna wakati imefika 6.+, and above 5.6.,
financial year:
2014/2015 - 67.5
2015/2016 - 71.2
2016/2017 - 75.18
2017/2018 - 79.3
2018/2019 - 83.7
NB. Financial year inaanza June inafunga May.,
What is the projection of first quarter ya 2019/2020 financial year? , it was released recently., joto wewe fanya utafiti., ndio Maana projections are (ceteris Paribas) by end of this financial year tunaeza chezea $97-100B
Kama wewe ni mkweli unataka kujua ukweli, pitia growth rate ya kila mwaka na uzidishe, usichukua average ya 5.6%. Kiukweli kabisa, 2016, ilikua below 5%, 2017 ilikua below 4% na 2018 ilikua 4.7%.

Lakini hata kama tutatumia hizo hesabu zako, ina maana GDP ni $83B, sasa hiyo $99B imepatikanaje?. IMF ikisema Kenya inadanganya kuhusu uchumi wake mbona mnakasirika?
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
11,326
Points
2,000

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
11,326 2,000
you are not answering my question, what facilities and attractions in TZ have such a big difference in charges to cause a 100B KES difference ??
Hivi unamatatizo gani wewe kichwani mwako?, sio kwamba Tanzania inatoza pesa nyingi ukilinganisha na Kenya, tofauti ni kwamba watalii wanaotembelea Tanzania ni matajiri kwahiyo wanalala katika hoteli za bei kubwa sana, wanakaa nchini kwa muda mrefu sana, na wanatumia Huduma za ghali sana ukilinganisha na watalii wanaokuja Kenya, hiyo ndio tofauti kati ya " High value tourists"(Tanzania), na "mass tourists" (Kenya).

Ukitaka kuelewa zaidi, fikiria idadi ya wakenya wanaotembekea Masai Mara na Tsavo, ulinganishe na wazungu wanaotembelea hizo mbuga, Kisha linganisha na pesa zinazopatikana kutoka kwa wakenya na ulinganishe na zile za wazungu.
 
Naxvegas254

Senior Member
Joined
Mar 29, 2019
Messages
158
Points
225

Naxvegas254

Senior Member
Joined Mar 29, 2019
158 225
That's a white power sign, just so you know.

Clearly, this comes from someone who has never run a business before. Ever heard of a high ticket item? It goes like this, It is much easier to make a million sh selling one product than selling million products for one shilling.
Technology you using is white too,And we know you guys cook figures.
 
Sinister

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
724
Points
1,000

Sinister

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
724 1,000
Kama wewe ni mkweli unataka kujua ukweli, pitia growth rate ya kila mwaka na uzidishe, usichukua average ya 5.6%. Kiukweli kabisa, 2016, ilikua below 5%, 2017 ilikua below 4% na 2018 ilikua 4.7%.

Lakini hata kama tutatumia hizo hesabu zako, ina maana GDP ni $83B, sasa hiyo $99B imepatikanaje?. IMF ikisema Kenya inadanganya kuhusu uchumi wake mbona mnakasirika?
Screenshot_2019-10-10-12-02-57.png
tuwe wakweli, eti below 5%
Screenshot_2019-10-10-12-02-57.png
 
Forum statistics

Threads 1,344,253
Members 515,354
Posts 32,812,759
Top