Tanzania, Morroco, South Africa na Egypt zinaongoza Afrika katika mapato ya Utalii

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
11,318
Points
2,000

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
11,318 2,000

Hii ni kuonyesha kwamba Tanzania ni nchi muhimu sana katika eneo hili la utalii hapa Afrika, kwasababu imeweza kuzipita kwa mbali sana nchi tajika katika utalii kama vile Mauritius,na Nigeria.

Katika hesabu za haraka inaonyesha kwamba, pesa inayopata Tanzania ni sawa na pesa ya Kenya na Uganda kwa pamoja.
 
vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
943
Points
1,000

vulcan

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
943 1,000
Tanzania's tourism earnings are cooked, no lie.. they usually wait to release their data after Kenya has released so as to add some numbers on top.

They have never released their data before Kenya does so, pure crooks.

The other problem is that business visitors to TZ esp from EAC say they are tourists so as to avoid being told to pay for their ridiculous work permits, halafu wanasema ni tourists..

There is no way TZ could be making those amounts from Tourism, danganyeni toto jinga..
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
11,318
Points
2,000

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
11,318 2,000
Tanzania's tourism earnings are cooked, no lie.. they usually wait to release their data after Kenya has released so as to add some numbers on top.

They have never released their data before Kenya does so, pure crooks.

The other problem is that business visitors to TZ esp from EAC say they are tourists so as to avoid being told to pay for their ridiculous work permits, halafu wanasema ni tourists..

There is no way TZ could be making those amounts from Tourism, danganyeni toto jinga..
Hahahaha, kama ambavyo Kenya mnavyopika GDP yenu, hadi IMF inawashitukia, there is no way kwa Kenya " by 2014 iwe na GDP ya $64B, with average growth rate ya 5.6%, four years later GDP ifike $90B. Numbers don't lie.
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
11,318
Points
2,000

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
11,318 2,000
Hata kama ni uwongo, huu hapa umezidi. Unapata idadi ndogo ya watalii hizo fedha una make vipi?
Ndio sababu tunawaambia kwamba ninyi akili zenu ni ndogo sana. Soma tourism policies za Kenya na Tanzania zinavyotofautiana, sisi Sera yetu ni " High value tourism", yaani tunasisitiza watalii wachache lakini matajiri, ninyi mnasisitiza idadi kubwa ya watalii bila kujali kipato chao.

Hii tofauti katika aina ya utalii, ndio iliyosababisha Tanzania tumekataa kujiunga na " single tourist visa of East Africa, tulijua kwamba watalii wengi wenye kipato kidogo wataingia Tanzania kupitia Kenya na Uganda kuja kujaza mbuga zetu, hivyo kuwafukuza watalii matajiri.
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
11,318
Points
2,000

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
11,318 2,000
Mimi ni mtanzania na sikubaliani na Huo uwongo.JFni jukwaa la great thinkers sio waongo wa kutumia source uchwara za watafuta views kwenye youtube
Wewe ni mtanzania lakini akili zako zinafanana na Kenya, uwezo wako wa akili ni mdogo sana, iweje wewe ni mtanzania lakini hujui taarifa muhimu za nchi yako?

1) Kwamba utalii unachangia 17.5% ya GDP ya Tanzania
2)Kwamba utalii unachangia 25% ya mapato ya pesa za kigeni
3) Kwamba utalii ndio sector inayoongoza Tanzania, ikifuatiwa na "Mining" katika kuingiza pesa za Kigeni
4)Kwamba kwa mwaka 2018, Utalii umeiletea Tanzania $2.45B.

Hiyo clip ya video mwanzo kabisa anataja vyanzo vya hiyo taarifa, kwamba ni UN bodies zinazohusika na mambo ya Utalii, kwanini usiingie katika websites za UN kama bado una mashaka?
 
vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
943
Points
1,000

vulcan

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
943 1,000
Hahahaha, kama ambavyo Kenya mnavyopika GDP yenu, hadi IMF inawashitukia, there is no way kwa Kenya " by 2014 iwe na GDP ya $64B, with average growth rate ya 5.6%, four years later GDP ifike $90B. Numbers don't lie.
unlike GDP where there are several institutions that collaborate data, TZ tourism earnings are just announced by the govt...
as i always say, in KE different institutions can publish their own findings freely , IN TZ your govt has banned alternative statistics that contradict govt sources, nobody trusts Magufuli's govt sources any more.. GET THAT.

There is no way TZ could be getting fewer tourists than KE but getting more revenue, yet the cost of services , goods is higher in KE, and the tourist attractions are almost similar - safaris.

I thought common sense was common to all..
 
Chamoto

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2007
Messages
4,514
Points
2,000

Chamoto

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2007
4,514 2,000
That's a white power sign, just so you know.
Tanzania's tourism earnings are cooked, no lie.. they usually wait to release their data after Kenya has released so as to add some numbers on top.

They have never released their data before Kenya does so, pure crooks.

The other problem is that business visitors to TZ esp from EAC say they are tourists so as to avoid being told to pay for their ridiculous work permits, halafu wanasema ni tourists..

There is no way TZ could be making those amounts from Tourism, danganyeni toto jinga..
Clearly, this comes from someone who has never run a business before. Ever heard of a high ticket item? It goes like this, It is much easier to make a million sh selling one product than selling million products for one shilling.
 
stakehigh

Senior Member
Joined
Aug 9, 2019
Messages
173
Points
225

stakehigh

Senior Member
Joined Aug 9, 2019
173 225
Tanzania's tourism earnings are cooked, no lie.. they usually wait to release their data after Kenya has released so as to add some numbers on top.

They have never released their data before Kenya does so, pure crooks.

The other problem is that business visitors to TZ esp from EAC say they are tourists so as to avoid being told to pay for their ridiculous work permits, halafu wanasema ni tourists..

There is no way TZ could be making those amounts from Tourism, danganyeni toto jinga..
thats a kenyan youtube channel
 
Mchizi

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2009
Messages
1,469
Points
2,000

Mchizi

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2009
1,469 2,000
Wewe ni mtanzania lakini akili zako zinafanana na Kenya, uwezo wako wa akili ni mdogo sana, iweje wewe ni mtanzania lakini hujui taarifa muhimu za nchi yako?

1) Kwamba utalii unachangia 17.5% ya GDP ya Tanzania
2)Kwamba utalii unachangia 25% ya mapato ya pesa za kigeni
3) Kwamba utalii ndio sector inayoongoza Tanzania, ikifuatiwa na "Mining" katika kuingiza pesa za Kigeni
4)Kwamba kwa mwaka 2018, Utalii umeiletea Tanzania $2.45B.

Hiyo clip ya video mwanzo kabisa anataja vyanzo vya hiyo taarifa, kwamba ni UN bodies zinazohusika na mambo ya Utalii, kwanini usiingie katika websites za UN kama bado una mashaka?
Sibishi habari ya utalii unachangia GDP kwa kiasi hicho ama utalii ndio sector inayofuatia baada ya madini.uwongo wako ni kwamba kiasi kinachotokana na utalii ni kikubwa sawa na kiasi cha
Uganda na Kenya waungane kitu ambacho ni uwongo mkubwa.mwaka ulioisha tulipata watalii million 1.5,Uganda million 1.8 na Kenya million 2 plus.number hazidanganyi ndugu,yaani sisi tuliopata watalii 1.5m tupate mapato makubwa sawa na Kenya +Uganda combined?wewe mwenye akili kubwa ndio unaandika huu ushuzi humu?hata Kama una league na Kenya jaribu kufikiri kabla hujaandika.
 
stakehigh

Senior Member
Joined
Aug 9, 2019
Messages
173
Points
225

stakehigh

Senior Member
Joined Aug 9, 2019
173 225
unlike GDP where there are several institutions that collaborate data, TZ tourism earnings are just announced by the govt...
as i always say, in KE different institutions can publish their own findings freely , IN TZ your govt has banned alternative statistics that contradict govt sources, nobody trusts Magufuli's govt sources any more.. GET THAT.

There is no way TZ could be getting fewer tourists than KE but getting more revenue, yet the cost of services , goods is higher in KE, and the tourist attractions are almost similar - safaris.

I thought common sense was common to all..
pole thats a kenyan youtuber and he is saying the truth: check tripadvisor site 90% will choose Tanzania over kenya for tourism: afterall Tz is ranked #1 in Africa for the best national park: https://edition.cnn.com/travel/article/africa-safari-national-parks/index.html : hii ni CNN sio serikali
 
stakehigh

Senior Member
Joined
Aug 9, 2019
Messages
173
Points
225

stakehigh

Senior Member
Joined Aug 9, 2019
173 225
Sibishi habari ya utalii unachangia GDP kwa kiasi hicho ama utalii ndio sector inayofuatia baada ya madini.uwongo wako ni kwamba kiasi kinachotokana na utalii ni kikubwa sawa na
Uganda na Kenya waungane kitu ambacho ni uwongo mkubwa.mwaka ulioisha tulipata watalii million 1.5,Uganda million 1.8 na Kenya million 2 plus.number hazidanganyi ndugu,yaani sisi tuliopata watalii 1.5m tupate mapato makubwa sawa na Kenya +Uganda combined?wewe mwenye akili kubwa ndio unaandika huu ushuzi humu?hata Kama una league na Kenya jaribu kufikiri kabla hujaandika.
kwan tatizo ni lipi apo: unaweza ukaja tz ukalipia $500 kutalii wengine wakalipa $100 nchi zingine, unategmea nn? alafu sisi utalii wetu sio tu mbuga, kuna kupanda mlima: do you know how much they pay kupanda mlima? another thing watalii wakija alot of sectors znanufaika sio utalii tu, yule mwenye hoteli nae anachukua chake: the chain is larger
 
vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
943
Points
1,000

vulcan

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
943 1,000
kwan tatizo ni lipi apo: unaweza ukaja tz ukalipia $500 kutalii wengine wakalipa $100 nchi zingine, unategmea nn? alafu sisi utalii wetu sio tu mbuga, kuna kupanda mlima: do you know how much they pay kupanda mlima? another thing watalii wakija alot of sectors znanufaika sio utalii tu, yule mwenye hoteli nae anachukua chake: the chain is larger
what service cost 500usd in TZ while in KE it costs 100usd,??

In Masai Mara , Park entry for non-residents is currently $80 per adult and $45 per child for 24hrs.
In Serengeti , Adults over the age of 16 pay $60 USD; children aged 5-16 pay $20 USD; and children under the age of 5 are free.

Tell me what tourism site would make TZ make a billion dollars (100B KE SHS) more than KE,
Then i will believe your cooked stories.
 
vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
943
Points
1,000

vulcan

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
943 1,000
That's a white power sign, just so you know.

Clearly, this comes from someone who has never run a business before. Ever heard of a high ticket item? It goes like this, It is much easier to make one million by selling one product for a million than to sell a million products for one shilling.
Idiot, you bring your imagined knowledge of business by arguing like an idiot..
"Its not always easier to sell a 1 million shilling item". this clearly comes from an idiot, the sales cycle of a 1 million shilling item may be too long compared to a 1 shilling item.

But lets not go there..

JUST TELL ME ONE TOURIST ATTRACTION IN TZ THAT IS EVEN 5 TIMES MORE EXPENSIVE THAN KENYA TO WARRANT A 1BILLION USD DIFFERENCE AGAINST A DIFFERENCE OF ALMOST A MILLION VISITS DISADVANTAGE
 
Chamoto

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2007
Messages
4,514
Points
2,000

Chamoto

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2007
4,514 2,000
Idiot, you bring your imagined knowledge of business by arguing like an idiot..
"Its not always easier to sell a 1 million shilling item". this clearly comes from an idiot, the sales cycle of a 1 million shilling item may be too long compared to a 1 shilling item.
Let me give you an example of how pricing works, iphone sales for the last 10 years have been on decline but company revenue has steadily increased, this was achieved by increasing price. Apple realized (something you have not), it is much easier to sell fewer items at a higher price and make enormous profit than selling many at a cheaper price.

JUST TELL ME ONE TOURIST ATTRACTION IN TZ THAT IS EVEN 5 TIMES MORE EXPENSIVE THAN KENYA TO WARRANT A 1BILLION USD DIFFERENCE AGAINST A DIFFERENCE OF ALMOST A MILLION VISITS DISADVANTAGE
Screenshot_2019-10-09 Natural Attractions in Kenya and Tanzania - JamiiForums.png

Forum statistics

Threads 1,344,041
Members 515,307
Posts 32,805,683
Top