Kibona
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 1,023
- 652
Jaribu kuwa analytical binti!!! wageni kuziona fursa sio kwasababu watz wamelala ila ni kwasababu serikali inabana sana wazawa na kubeba wageni. Mfano wageni wanapewa grace period umeshawahi kusikia wajasiliamali wa kitz wamepewa grace period?, nchi kama Africa ya kusini kuna program maalum ya kuhakikisha wajasiliamali wanapata mikopo bila vikwazo vya ajabu ajabu, je unajua jinsi ilivyo ngumu kwa mjasiliamali mdogo wa TZ kupata mkopo kuliko hata mgeni mwenye biashara kubwa? Na unajua kuwa kuna watanzania wengi wamekimbilia nje kutafuta maisha na wamefanikiwa mno kiasi cha kuamua hata kununua uraia wakituhumu mazingira mabovu ya kibiashara? Hiyo research sample itakuwa ilijumuisha wafanyakazi ktk serikali za mitaa tu, maana hao wakiona questionnaire tu wanadhani ni ccm inatafuta nani ni CHADEMA ili imfukuze kazi.Wao wanaziona fursa, nyie mmelala, ndio hayo, halafu mnabaki kulalama.