Tanzania kutolewa na Morocco tumefurahi

Tanzania kutolewa na Morocco tumefurahi

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
836
Kwann tunune,
Kwanini tukasirike,
Kwanini tuwe na huzuni.
Wazanzibar tumefurahi
Note kuna Wazanzibar na Wazanzibara.

Ata sisi Wazanzibar tungependa kuona timu zetu katika mashindano ya CAF FiFA na kadhalika ila kwasababu ya Muungano huu wa dhulma tumekosa.

TANGANYIKA KUTOLEWA NA MOROCCO WAZANZIBAR TUMEFURAHI
 
Kwann tunune,
Kwanini tukasirike,
Kwanini tuwe na huzuni.
Wazanzibar tumefurahi
Note kuna Wazanzibar na Wazanzibara.
Ata sisi Wazanzibar tungependa kuona timu zetu katika mashindano ya CAF FiFA na kadhalika ila kwasababu ya Muungano huu wa dhulma tumekosa.
TANGANYIKA KUTOLEWA NA MOROCCO WAZANZIBAR TUMEFURAHI
Sisi Watanganyika ndiyo tumefurahi zaidi timu ya Kizimkazi kupigwa.
 
Huyu kizimkazi wa Zanzibari ndo amesababisha,

Hata nyie Wazanzibar lini mkawa na uwezo wa kuongoza watu wenye akili kama watanganyika
 
Jana nipo zangu mgahawani huku lake zone tena kijijini kabisa sina time na hiyo game nasikilizia sisiem watandikwe nao wamejifanya kushikilia bomba. Mara nikisikia kelele watu wakishangilia kwenye kumbi zote za hapa bush nikajua sisiem wamefunga, nikasogea ukumbi wa jirani nikaona NIDA fc washachezea na watu wana nderemo la hatari! Ndipo hapo nikaanza kuamini sasa watanganyika wameanza kuamka kutoka usingizini.
 
Wekezeni katika mbinu na sio hamasa. France wakija hapa bila washabiki na hata bila kocha tutakula hata goli zaidi ya tatu.
 
Mliofurahi timu kuondoshwa huko vibanda umiza endeleeni , sisi waenda uwanjani lupaso imetuuma sana, tunataka kocha wa Taifa Stars toka Madrid sasa, sio mbongo tena wazawa uwezo hawana.
 
Back
Top Bottom