Tanzania kutengwa na Kenya, Uganda na Rwanda...

chamng'asi

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
215
Reaction score
399
Naogopa sana, siku mataifa tajwa hapo juu pamoja na Wote wanaotumia Lock Down kama njia ya kupunguza au kumaliza tatizo la Korona Wakifanikiwa basi Tanzania tunaweza Kupata wakati mgumu sana... Watatunyanyapaa kila tutakapohitaji kushirikiana nao kwa chochote kwani wataamini sisi bado hatuko salama. Mungu atupe mwisho mwema tu wa hili balaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watatutenga? Unaongelea Tanzania? Haupo serious aisee. Na saa hii tuna kesi za Kenyans kukimbilia Tanzania. Mpaka wagonjwa wao wanatoroka wanakuja huku. Umepata kusikia mTanzania katoroka humu ili aende nchi ulizotaja?
Mkuu nalenga hasa kwenye ushirikiano wa kiuchumi na kama biashara, usafirishaji aisee tutakua tukienda kwao wanatupiga quarantine siku14 then ishu zingine ziendelee

Katika uchumi uhusiano unatakiwa kua mutual. Wao wafaidike na sisi tufaidike kama wataona hawafaidiki na sisi basi watatutenga kama unavyodhani
 
Ethiopia,burundi,congo hawako kwenye lockdown na hata hao kenya lockdown yao ni ya kisanii kwani lockdown yao inaanza saa 11,lakini usikii nchi hizo zikitajwa kwa kutokua lockdown,kila mtu anapaza sauti Tanzania tu kwa kutokua kwenye lockdown!
 
Naogopa sana, siku mataifa tajwa hapo juu pamoja na Wote wanaotumia Lock Down kama njia ya kupunguza au kumaliza tatizo la Korona Wakifanikiwa basi Tanzania tunaweza Kupata wakati mgumu sana... Watatunyanyapaa kila tutakapohitaji kushirikiana nao kwa chochote kwani wataamini sisi bado hatuko salama. Mungu atupe mwisho mwema tu wa hili balaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hopeless thread!
 
Ethiopia,burundi,congo hawako kwenye lockdown na hata hao kenya lockdown yao ni ya kisanii kwani lockdown yao inaanza saa 11,lakini usikii nchi hizo zikitajwa kwa kutokua lockdown,kila mtu anapaza sauti Tanzania tu kwa kutokua kwenye lockdown!
Sasa huku tz no lockdown 24 hrs, huoni hatari hiyo
 
Watatutenga? Unaongelea Tanzania? Haupo serious aisee. Na saa hii tuna kesi za Kenyans kukimbilia Tanzania. Mpaka wagonjwa wao wanatoroka wanakuja huku. Umepata kusikia mTanzania katoroka humu ili aende nchi ulizotaja?
Mimi mwenyewe nimemshangaa kweli.
 
Sasa huku tz no lockdown 24 hrs, huoni hatari hiyo
Ethiopia 24 hrs hawana lockdown, hiyo lockdown ya kenya inayosifiwa inamaanisha mchana maambukizi huwezi kuyapata,yanaanzia saa 11 jioni 😀 'just joke',hivi mtu akiwa mtaani mchana kutwa then saa 11 anarudi home na virus kweli hawezi kuwaambukiza aliowaacha nyumbani!?
 
Katika hizo nchi ulizotaja, karibia zote zinahitaji msaada mkubwa kutoka Tz, kwani umesahau kama sisi ni donor country kwao?

Chukua tahadhari zote lakini anza na Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ethiopia,burundi,congo hawako kwenye lockdown na hata hao kenya lockdown yao ni ya kisanii kwani lockdown yao inaanza saa 11,lakini usikii nchi hizo zikitajwa kwa kutokua lockdown,kila mtu anapaza sauti Tanzania tu kwa kutokua kwenye lockdown!

Mkuu wengine inaelekea hata hilo neno lockdown hawajui maana yake, wala hawahangaiki kujua nchi mbalimbali duniani zimechukua hatua gani kudhibiti corona. Ili mradi wamesikia wanasiasa wakisema Tanzania haina lockdown, basi wanafikiri nchi zote duniani zimefanya hivyo isipokuwa Tanzania.
 
Back
Top Bottom