Tanzania kutengwa na Kenya, Uganda na Rwanda...

Tanzania kutengwa na Kenya, Uganda na Rwanda...

Tamko la serikali ya Rwanda Leo nadhani linaashiria kile nilichomaanisha...
Bila shaka Uganda nao watasema neno...
Watatunyanyapaa tu hakuna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Again kuna mataifa mengine kama China tunafanya nao biashara sana....But ktk hili watatunyanyapaa tu..... Muda utasema let us wait...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nalenga hasa kwenye ushirikiano wa kiuchumi na kama biashara, usafirishaji aisee tutakua tukienda kwao wanatupiga quarantine siku14 then ishu zingine ziendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kulialia wewe huku watakuja tu tukukumbushe co of willing ilishia wapi ? Geographical position itatubeba miaka elfu utajiri wa asili utatubeba miaka mia muulize m7 kasalimu kwa madereva wa malory awazuie aone kama petrol station zake hajaweka maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom