Tanzania kushiriki kuishambulia IRAN

Comoro!wapi mbona mi nilisikia huko ilikuwa mdebwedo tu,mjeshi aliyekufa mmoja alizama kwenye maji bahati mbaya
 
Siamini hili ila ninaogopa kwa huyu Kiongozi BULICHEKA tuliyenaye anaweza kuanza (kigugumizi cha kutokumaster lugha) teh teh teh we (kigugumizi) will support USA teh teh yes teh teh teh yes. Ndugu zangu tukifikisha 2015 salama na kuongozwa na huyu tutoe sadaka ya kushukuru nchi nzima!!!
 

Wabongo mnapenda sana kujikweza hata pasipo sababu, njozi nyingine hata hazifai kusimulia...
 
Habari za vijiweni jicho lishakuwa nyanya, mjani umekolea kichwani ndio unatuletea hapa shw**** zako. Alafu wala mjani wenzie wanamsapoti eti kwa kuwa kuna Asha Migiro.
Huyu ni Secretary wake hana inshu chakula ya mukubwa haina kazi nyingine.
 

wabongo kwa kupenda kudanganyana!!!!sasa bush anahusika vipi na maamuzi ya serikali ya obama???????????
 
duh! USA ndio anatutafutia maadui! Nalog off

na ukizingatia hao tunaoenda kuwapiga wana miparachichi ya kukatiza bara moja kwenda jingine......sasa sijui kama sisi tunazo hata za kutoka Bagamoyo hadi Sitimbi.....mbona tutajibeba..........

 
huyo bush si ndo walisema anatafutwa
kwa mauaji,
au bush yupi tena.
 
Duh boy haya masihara hv usa atoe mafuta kwa tz au atusamehe alau madeni anayo tudai mkuu hii haipogo
 
Habari za vijiweni jicho lishakuwa nyanya, mjani umekolea kichwani ndio unatuletea hapa shw**** zako. Alafu wala mjani wenzie wanamsapoti eti kwa kuwa kuna Asha Migiro.
Huyu ni Secretary wake hana inshu chakula ya mukubwa haina kazi nyingine.

pokea like
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…