Tanzania Kurusha Setelaiti Ya Kwanza

Tanzania Kurusha Setelaiti Ya Kwanza

Mwaka umekosewa huo,ni 20037 na nusu!Swali liliulizwa:"TZ kuna wanasayansi au...."?Likajibiwa kwa jazba,lol!
 
Tanzania yatumia kura ya turufu kupinga uamuzi wa nchi tajiri duniani wa kuzikopesha nchi za umoja wa ulaya mabilioni ya shilingi. tanzania imesema bado haijaridhishwa na namna nchi hizo zinavyosimamia rasimali zao. ni nchi tano pekee ambazo zina nguvu ya kupiga kura ya turufu katika umoja wa mataifa. nchi hizo ni tanzania, somalia, congo, malawi na burundi.
 
it is soo nice to live in a dream, teh teh teh

u.s.a yawekewa vikwazo vya kiuchumi na Tanzania, na nchi zimeamriwa kutii huu wito wa Tanzania

nchi za kiarabu zalalamika kupangwa bei ya mafuta kunakofanywa na Tanzania,

nchi ya China imeomba Tanzania kuiuzia teknolojia ya Tanzania ya kutua juani,:glasses-nerdy:
 
Tanzania yapeleka msaada wa jeshi na chakula cha misaada kwa jimbo la New York baada ya kukumbwa na mafuriko makubwa.
 
Na hayo yatatokea planet earth ama?
 
Back
Top Bottom