Tanzania kupeleka battalion moja Congo

We mata.ko!! kawaambie hao wajomba zako wakiamua kuleta upuuzi wao huku kwetu tutawapaka samli na kuwachoma kama maiti za kihindi. Tunapenda amani lakini tuna roho mbaya sana!! ... stay away from us.
Du yamekuwa hayo tena ndugu yangu
 

Mkuu, hauko sahihi.
 

Tumefaidi nini!!?? Sikutegemea kuona majibu kama haya Jf.
 
Tulitumia kama siku 5 tano tu kumaliza mchezo, hakuna shujaa wetu aliyekufa katika uwanja wa mapambano. Tulipoteza shujaa wetu mmoja wakati wanapakua mizigo pwani ya Tanzania baada ya kurudi.

Samahani kwa kukurekebisha Mkuu, Comoro tulitumia siku Mbili tu na yule kiongozi aliikimbia Ikulu.
 
Kobello, bornagain,

..vikosi vya SADC vitakuwa chini ya mwamvuli wa UNITED NATIONS.

..wanakwenda huko kulinda AMANI, lakini pia wamepewa nguvu za kushambulia ikiwa italazimu.

..zaidi, Rwanda, wameridhia vikosi vya SADC kwenda kulinda amani Congo, rejea utiaji saini makubaliano hayo ktk kikao kilichofanyika Addis Ababa.

..nadhani this time, jumuiya ya kimataifa imeazimia to get this thing right. Kule UN kuna taarifa kwamba vikosi hivyo vitapewa mpaka msaada wa DRONES kutoka Marekani.

NB:

..sidhani kama Rwanda ni wajinga kiasi cha kuamua kushambulia vikosi vya UN.

..wakishafanya hivyo watakuwa wageni na marafiki wa nani??
 
Last edited by a moderator:
Hawawezi kufanya kitu tunawajua sana kuliko mnavyopiga kelele kwenye keyboard!tena ukitakan kuona mwisho wao wajaribu waone itakua ndiyo mwisho wao na wewe utarudi kwenu rwanda!

Wewe usinipe uraia wa Rwanda the most country I hate in the world, Ihate Kagame hata akiifanya Rwanda iwe mbinguni I hate Rwanda and I hate Kagame. But at the end of the day ukweli utabaki kuwa palepale Rwanda is small country but very powerfully in army kwa sababu nyuma yao yupo mumarekani na kila kitu kinatoka huko marekani
 

Watakuwa wageni wa nani, mbona walitungua ndege ya rais wa zamani wa Rwanda ikiwa na marubani wa Kifaransa na pia mbona waliua wanajeshi wa kifaransa na kibelgiji mwaka 1994 lakini bado ni wageni wetu tu.Ndugu yangu katika hilo la kupeleka wanajeshi wetu misitu ya DRC lolote linaweza kutokea ndugu yangu
 
Nalazimika kuamini kuwa unazungumza utani ili angalau tupate kucheka. Vinginevyo, sidhani kama wewe ni mtu sahihi wakuzungumzia nguvu au kudumaza kwa majeshi ya watu wengine. Sidhani pia kama wewe ni mtu sahihi wa kuzungumia kama Rwanda wanaweza kutuvamia au laa. Pengine ka taarifa yako tu ni kuwa Malawi pia wanatuma jeshi kule DRC na wao wanatuma wachache ambao wanaweza kuitumia nafasi hiyo kuwasoma wanajeshi wetu. Kingine ni kuwa wanajeshi wako very professional na ukiwaona wanajeshi wa Tanzania na wale wa Malawi wakikutana sehemu kama hizo wanacheka pamoja utashangaa kuwa kuna mambo mabaya yanayozungumzwa kuwahusu wao. Rwanda vita ni sehemu ya maisha yao so anything may happen.



 
bornagain,

..political and social dynamics/factor on the ground zimebadilika sana tangu miaka ya 90, wakati hayo unayoyazungumzia yalipotokea.

..huruma na attention waliyokuwa wakipata wanyarwanda kutokana na genocide, sasa hivi imehamia kwa wananchi wa EASTERN CONGO.

..majuzi Obama amempigia simu Kagame na kumuonya kuhusu kujihusisha kwake na uasi nchini Congo. that is something that could never be imagined wakati wa Bill Clinton na Susan Rice era.

..suala lingine ni kwamba Kabila Jnr is ready to do business[kunyonywa/exploited] na mataifa makubwa. sasa ili DRC iweze kuwa exploited vizuri ni lazima kupatikane amani. nchi za magharibi na makampuni ya kimataifa haziwezi kuinyonya DRC huku kuna malalamiko ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.

..kwa msingi huo utaona kwamba Rwanda nao itabidi wajipange upya kutokana na kubadilika huko kwa mazingira ya siasa za kimataifa. ndiyo maana umeona wameweka saini yao ktk makubaliano yaliyopelekea kupelekwa kwa majeshi ya SADC[kupitia UN] DRC. vilevile majuzi umeona wame-stage ku-surrender kwa Bosco Ntaganda.

..Wanyarwanda wako smart, they care about their image and future, kwa hiyo hawawezi ku-subortage hii mission ya amani ya SADC/UN.

NB:

..Tanzania siyo DRC. Tuna heshima yetu hapa Afrika Mashariki, and beyond. Rwanda wakitushambulia maana yake ni kwamba wako tayari kuwa isolated kiuchumi na kisiasa.
 
Last edited by a moderator:

hahahahahahaha! Yupo mumarekani eeeeh! Haya bwana
 
Uko vizuri kaka inatakiwa u
chukue ile nafasi ya Rweyemamu pale kurugenzi ya mawasiliano ikulu maana hawezi kuchambua mambo kama unavoyachambua, umempita mbali sana sema tu Tanzania yetu hakuna anaemjua mtu wa chini mpaka ushikwe mikono ndo utaanza kuonekana na kusimama mwenyewe.Otherwise thanks for your clarification brother
 
Acha wakapigane tu maana wanakula kodi zetu vita vyenyewe hata hamna

Niko na wewe 100%! Licha ya kodi zetu hawa wajeshi wa TZ kazi kupiga na kuua raia! Mathalani tukio la hivi karibuni huko Kawe kijana mdogo sana akapigwa na kuuawa na mijeshi minne! Stupid of them!
 
Kuna minyarwanda iko humu inatunga uongo ili kututisha eti ohh wanyarwanda wana vyeo vya juu tpdf mara siri zenu za jeshi zipo kigali mnaleta udaku JF kwenye mambo ya serious hilo halipo,rwanda hawawezi kuipga tz thubutu yao tutawachapa mpaka kigali tumtoe kagame tumkabidhi kibaraka wetu
 
Niko na wewe 100%! Licha ya kodi zetu hawa wajeshi wa TZ kazi kupiga na kuua raia! Mathalani tukio la hivi karibuni huko Kawe kijana mdogo sana akapigwa na kuuawa na mijeshi minne! Stupid of them!

Mkuu nadhani jambo la mwisho kupaswa kuchukia ni mtu kuchukia jeshi lako. Inawezekana wachache wao hawana nidhamu lakini usigneralise ndugu
 
athali za vita ni wanajeshi kufa. sasa kwanini aifie congo wakati ameapa kuilinda tanzania? Kwanini wanajeshi wetu wasile matunda ya aman ya Tanzania?. hii inanikera sana. mia

Huwezi kulala usingizi wakati kwa jirani kunawaka moto!
 
Mkuu nadhani jambo la mwisho kupaswa kuchukia ni mtu kuchukia jeshi lako. Inawezekana wachache wao hawana nidhamu lakini usigneralise ndugu

sijachukia jeshi langu bali sipendi likae idle bila kazi! kama hakuna vita ya kupigana wapewe mashamba wazalishe mazao nchi iongeze akiba ya chakula otherwise wapelekwe kusaidia nchi zenye vita like Congo DRC, Somalia, Syria, nk. Kumbuka 'Idle minds is the temple of the devil'!
 

We kama mimi nilipata jazba ila mwishoni nimemuelewa. Kikubwa hata hao 850 hawatoshi pili tutaungana na majeshi ya S.Africa kwenda mashariki ya Congo kuwatokomeza MR23.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…