Kwa mujibu wa Membe, Serikali inatarajia kuomba ridhaa ya Bunge kupeleka battalion 1 huko Kongo(Si chini ya wanajeshi 850) kulinda amani. Ikumbukwe kwamba wanajeshi hawa wamepewa mandate ya kupambana na waasi.
Je
1. Wanajeshi wetu wameandaliwaje kupambana na waasi huko Kongo? Any special training?
2.Kwa kuwa Idadi hiyo ni kubwa, je ipo mikakati ya kuhakikisha hatupungukiwi wakati hao wapo huko?
3. Any consideration and special attention to their families?Najua wamekula kiapo cha utii kuilinda mipaka ya Nchi yetu japo cjui kama kiapo hicho kinawalazimu kwenda mission hizi.
Maswali haya yanawezakuwa hayana mantic mana sina ufahamu wakutosha wakijeshi.
Otherwise nawatakia mafanikio mema hasa ukizingati wamekuwa na record nzuri huko Darfur, Syria na Lebanon
Naogopa kusema kuwa sasa tukiingiia DRC tumepanua wigo wa Mseveni na mwenzake Kagame kuingilia Tanzania na kuipiga
kama ulikuwepo kichwani kwangu. naona jamaa ameandika kilevi, kwa sababu maswali aliyouliza, majibu yake hayahitaji shule, bali common sense.Kabla sijaona hiyo ya blue nilikuwa kama nataka kupata jazba lakini nimekuelewa.
Jeshi la Wananchi wa Tanzania ni jeshi imara na lenye mafunzo ya kutosha ya kivita. Mimi binafsi naliamini katika mbinu za medani.
Yaani mkuu unasema wanajeshi 850 wasababishe upungufu kweli?
Nafahamu kuwa wanajeshi wanapatiwa mafunzo ya mara kwa mara. Nafahamu pia mafunzo hayo yanaendana na mazingira husika. Technically, I believe, sio kila mwanajeshi unaweza kumpeleka vita yeyote. Kama mnategemea upinzani mkubwa toka katika bahari, matakwa yake ni tofauti na vita ambayo upinzani mkubwa unatokea angani. Hivyo ndio kusema, kwa mawazo yangu, kuwa nadhani napaswa kuhoji kama wanajeshi wetu wamepata special training ya wanachokiendea. Idadi ya 850 sidhani kama ni idadi ya kupuuzwa hasa nyakati hizi za technolojia ambapo majeshi yanatumia nguvu kazi kidogo kwa big impact!Kabla sijaona hiyo ya blue nilikuwa kama nataka kupata jazba lakini nimekuelewa.Jeshi la Wananchi wa Tanzania ni jeshi imara na lenye mafunzo ya kutosha ya kivita. Mimi binafsi naliamini katika mbinu za medani. Yaani mkuu unasema wanajeshi 850 wasababishe upungufu kweli?
Nashukuru kwa kutambua nimeandika kilevi. Wakati fulani wanajeshi wamerakani walikwenda kwenye milima ya Afghanstan(?) kupambana na kina Osama. Walitumia vifaa vya kisasa kusurvey eneo la milima ile na kuona patupu. Waliposhuka ndipo wenzao wakatokea katika mapango. Ndege zao ziliharibiwa vibaya. Walikufa wengi mno. Walikutana na upinzani mzito tena wenye silaha za kisasa kuliko wao. Walikiri hawakuwa wamejipanga vyema kukabiliana na maadui hasa ktk mapango yaliyo kwenye milima na baridi kali! Mlevi yeyote kama mimi alipaswa kujiuliza, watu hawa walikuwa wameandaliwa specifically for such a war? Nadhani kila dereva aliyefuzu udereva anaweza kuendesha gari ingawa anaweza kupata changamoto kuendesha kwenye snow au mud road hasa kama hajawahi kabla!kama ulikuwepo kichwani kwangu. naona jamaa ameandika kilevi, kwa sababu maswali aliyouliza, majibu yake hayahitaji shule, bali common sense. alitakiwa tu atupe taarifa ilikuwa inatosha na tungemshukuru.
I pray that this be the true position of our armyKinachonisikitisha tu ni kwamba kwa mara ya kwanza katika historia ya UN, Security Council wamekuja na Offensive Mandate(to attack) wakati mission zote mandate imekuwa ni defensive (kujilinda).Hii ni kama majaribio ya hiyo mandate na watekelezaji wake watakuwa ni jeshi la tz.Kazi ipo.lakini naliamini Jeshi letu kwa kazi watakayo pewa iwe special force au Recce,sina shaka,vijana wameiva.,na najua m 23 huko waliko baada ya kusikia watz wanakuja mavi yanagonga chupi na kurudi.
Nimeuliza hapa kama kuna wataalamu wa jeshi watujuze. Hivi kiapo chao kinawalazimu pia kwenda kulinda amani nchi za wengine?athali za vita ni wanajeshi kufa. sasa kwanini aifie congo wakati ameapa kuilinda tanzania? Kwanini wanajeshi wetu wasile matunda ya aman ya Tanzania?. hii inanikera sana. mia
Acha wakapigane tu maana wanakula kodi zetu vita vyenyewe hata hamna