Tanzania kuna vitu vya ajabu sana

ntandasa

Senior Member
Feb 18, 2017
124
129
KUMBE CCM BILA KUIBA KUTA HAWAWEZI KUSHINDA UCHAGUZI WOWOTEULE.
FB_IMG_15368615927681587.jpg
 
Maajabu yapo mengi tyu
Kukuna nazi
Kupiga push up
Kukurupuka
Ubabe kwenye hakuna
Upotevu wa mapato
Uchumi kupanda hi hali ya maisha kwa wananchi mbaya
Mwisho kupiga mapambio na vigeregere
 
Ccm ndio imenifikisha hapa nilipo ndio maana hata kuandika siwezi lakini ujumbe nimeufikisha.
 
Back
Top Bottom