Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Bongo Kuna Wapumbavu sijapata Ona... So kama Ungekuwa umefuatilia nachopelekana na jamaa... Ni Kuwa issue kwetu Tanzania we don't need Toyota aje afungue kiwanda chake hapa na ajizolee mimi nachopigania Tuwe na kiwanda chetu na wao waje wasaidie kuendeleza au kufufua viwanda vyetu ndio naona maendeleo mambo ya Tech Transfer ndio nachotaka mimi...
Mtu hata kama ni Mjinga kiasi gani umeelezee hadi kesho kuwa Kununua tech sio sawa na kununua kiwanda nadhani tunamiss point hapa hatutoelewana... maana Kununua Kiwanda na kununua tech naweza sema hamna tofauti... sababu kununua tech ni just kucopy and kupaste na kununua kiwanda ni kukidismantle sehemu fulani huko na kuja kukifunga kwako kama kilivyo... Sasa tutabishania lugha kama wapumbavu... The Issue ni kuwa Tata alinunua full stop na hadi leo upande wa magari makubwa spea zinaingiliana... Na Historia ya hiyo kampuni ilifunga kila kitu walichopokea kutoka ujerumani...
Ni Sawa na Haya mabasi Qolos ni Mchina na Muisrael na Mhindi
Nimekwishajaribu kukuelezea kilichotokea kwa TATA siyo kigeni kinafanyika Dunia nzima, Kampuni kubwa za magari kama Daimler, Toyota n.k huingia ubia na kampuni za magari za nchi husika hasa nchi zinazoendelea na kuunda gari ambalo litakuwa ni bei rahisi na kuliuza, kwa mfano VW wanafanya sana Uchina, Audi inayotengenezwa na VW Uchina siyo Audi inayouzwa Ulaya, Japani au Marekani, hiyo ni Audi for Chinese market!
Hivyo narudia tena TATA hajawahi kununua Mercedes Benz (kampuni), kwa maana ukisema TATA amenunua Mercedes benz ina maana MB ilikuwa inamilikiwa na TATA sasa hili halijawahi kutokea!