MAGAMBA MATATU
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 646
- 1,187
Waziri wa Viwanda wa Tanzania amekutana na CEO wa Toyota nchini Japan.
Wameongea masuala ya uwekezaji wa viwanda mojawapo ni kujenga kiwanda cha kuunda magari ya Toyota under license, tayari Wizara ya Viwanda imetenga eneo hilo la uwekezaji wa kiwanda ambapo CEO wa Toyota Japan kasema wataanza ujenzi wa hicho kiwanda mwanzoni mwa mwaka 2017 baada ya kufanya upembuzi yakinifu ya eneo la ujenzi na kusema wataanza na kuunda magari ya CC under 2000 ambapo soko kuu la uuzaji magari ya nchi za east Africa and Central Africa 25 % yatatokea Tanzania.
Pia CEO wa Toyota Japan ameahidi kujenga sambamba kiwanda cha kutengeneza spea za magari ya aina zote ya Toyota hapo hapo kitakapojengwa hicho kiwanda.