Mbavu zangu zimetaka kuvunjika niliposoma kwenye gazeti kuwa NIT soon wataanza kufundisha watu urubani ili kuongeza idadi yao.
Source: Tanzania Daima la leo uk. 3
My take: mwendawazimu sio lazima avue nguo.
inawezekana sana....kwani watanzania tukoje.........?
Capt Preta
HP...7
Mbavu zangu zimetaka kuvunjika niliposoma kwenye gazeti kuwa NIT soon wataanza kufundisha watu urubani ili kuongeza idadi yao.
Source: Tanzania Daima la leo uk. 3
My take: mwendawazimu sio lazima avue nguo.
Hello Capt preta
hivi ile ndege uliyokuwa unaendesha ikavunjika kioo ikiwa angani ishatengema