Tanzania kufundisha marubani...

Tanzania kufundisha marubani...

Vyuo vilivyopo viongezewe uwezo NIT hapana hata VETA hapana nakumbuka kwenda tu kusomea udereva jinsi wanavyotupiana mpira nani asimamie na nani asisimamie badala ya kufanya kazi kwa nia ina maana tutapata marubani makanjanja siunhi mkono hoja
 
yah......nilishaweka kioo.....juzi nilikuwa naruka kuelekea Loitoktok.....nikaona skurubu ya bawa inadondoka.......khaa......niliongezaje speed ili nifike nikaikaze......
🙁😕😉😵😱😱
 
yah......nilishaweka kioo.....juzi nilikuwa naruka kuelekea Loitoktok.....nikaona skurubu ya bawa inadondoka.......khaa......niliongezaje speed ili nifike nikaikaze......
Hahah...oloitoktok..
 
Marubani wa MALORI au wa maguta?? Tuna utani kweli Tanzania!!! Hao NIT wakamilishe kwanza mahitaji ya vitendea kazi kufundishia madereva
Kwani NIT hawana vitendea kazi kwa kozi za madereva au ndo tumezoea kulaumu bila kuwa na data,pia swala la kufundisha marubani linawezekana ndege za mafunzo wanazo tayari na mitaala IPO plus uwanja wa mafunzo,au watu wanafikiri kozi za marubani ni so special kwamba labda ni wazungu tu ndo wanaweza kutoa.nenda NIT kajionee toka kwenye box
 
Back
Top Bottom