The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,441
- 12,211
Wewe hujui kuwa tulikuwa na msiba wa mafuta,hiyo furaha itatoka wapi sasa.'Tanzania bado tuko njia sahihi'. Sijui kama bado tuko njia sahihi.
Kama ilivyo ada kila mwaka hutolewa takwimu kuonyesha kiwango cha furaha duniani kulingana na nchi.
Katika takwimu ya mwaka 2021 ya nchi zenye furaha zaidi duniani Finland imeendelea kuwa nchi bora kabisa kuishi na kuendelea kutetea nafasi yake. Tazama ....View attachment 1902009
Bado nasikitika kuona Tanzania ikiwa moja ya nchi isiyokuwa na furaha kwa raia wake tena hata furaha iliyopo ni chini ya kiwango pamoja na baraka tulizojaliwa.
Hizi chini ni baadhi ya nchi zilizoshika mkia kwa ukosefu wa furaha duniani kati ya nchi 153.
Tanzania yakamata 6 bora toka mkiani. Tujipongeze tafadhaliView attachment 1902013
View attachment 1902021
_worldhappiness.report
ulichelewa wapi kuamini?Naanza kuamini wanawake wana roho mbaya sana wakiamua.
fair kabisaTumeonewa kwenye hii report
Haihitaji povu jiiingi !!! Jiangalie ulivyo utapata jibu !! Kiukweli watz wanwchoka sana tusifarijianeHizi riport hazina uhalisia, mwaka 2009 na 2010 nilifanya Kama surveyor and supervisor....Cha ajabu vijana wanachukua pesa za kwenda mikoani kukusanya maoni hawaendi wanabaki dar kujaza questionnaire au wanafika mijini wanahoji watu wawili watatu wanarudi dar..wakifika majumbani mwao wanajaza hizo questionnaire... hiyo riport sio ya kuaminika watu hawaojiwi kabisa..
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na kila siku wana majanga hawa jamaa..Yaani hata Haiti wametuzidi?