Tanzania KASKAZINI kudai uhuru baada ya 2015

Status
Not open for further replies.
Naona mliotoka Kusini mnalalamika sana. Na matusi kibao. I think all of you, you're matual enough. Don't abuse just jibu hoja ama toa suggestion.

NAJUA HAYO MATUSI NI KIBURI YA KUTUTAWALA KIMABAFU.
 
Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania popote mlipo.
=>Mimi si mwanasiasa wala muumini wa chama chochote Tanzania.
Leo nataka niwaambieni kuwa Tanzania KASKAZINI tunaonewa sana ni kama Tanzania kusini wametusahau vile.
=>Mikoa ya Arusha,Moshi Manyara na Tanga nikama si Tanzania.
=> Ukichunguza uchumi wa Tanzania 85% unazalishwa ktk mikoa hii minne yaani Tanzania KASKAZINI.
kupitia kilimo cha mkongo Tanga
Utalii Arusha na Killimanjaro.
Pia kilimo kikubwa cha mazao ya biashara na chakula Arusha.
=> Manyara utalii wa kutosha na hifathi za Taifa.
=>Lakini mpaka leo Mikoa haya minne ipo nyuma kuliko mikoa mingine yote Tanzania.
Kwanini Dar es salaam iendelee kuliko Arusha Tanga Killimanjaro na Tanga. Dar wanalima nini? Wanahifathi gani? Kuna kiwanda gani?
=>Dar kote umeme mpaka kwenye SLUMS lakini Arusha Hospitali ya Wilaya haina Umeme wa uhakika.
=>Arusha soko kubwa mji mkubwa kama Donyosambu hawajui nini kinaitwa umeme.
Usiulizie vijijini kuanzia Vijiji za Ngaramtoni mpaka Namanga Kilomita 200 hakuna kijiji hata kimoja chenye umeme.
=>Manyara hata mjini hakuna maji,umeme wakulenga na manati.
=>Barabara usiulize maana hapa kwetu ukinunua gari utatafuta parking Ngaramtoni ilipobarabara ya East Afrika utembee kwa mguu km 30 kuingia kijijini.

Maoni Yangu

Tunachotaka kama 2015 uchaguzi mkuu Rais atokee KASKAZINI ama la sivyo Tanzania KASKAZINI tutadai uhuru wetu.

Kama nimekukera potezea.

Taarifa bila takwiimu na taarifa kuwa na takwimu zisizo na chanzo ni ngonjera na uzushi respectively!

Hata wa kaskazini wenzako tunkushangaa!
 
halafu hiyo tanga hapo ni kama umeiorozesha tu kiilimradi.lengo lako hapo ni Ukilimanjaro na Uarusha.
 
Mwacheni jamaa ana presha maana aliwekeza sana kwenye ile NGO ya Wachagga inayokaribia kufa. Wamepoteza matumaini ya kuukwa urahisi wa nchi hii.
 
Tunachotaka kama 2015 uchaguzi mkuu Rais atokee KASKAZINI ama la sivyo Tanzania KASKAZINI tutadai uhuru wetu.

Kama nimekukera potezea.

Ni ufinyu wa 'fikra' kuamini kuwa Rais akitokea mkoa au kanda Fulani..basi mkoa au kanda hiyo itakuwa na maendeleo! Arusha, Mwanza, Mbeya hazijawahi kutoa Rais...Mtwara (Mkapa), Mara (Nyerere) na mkoa wa Pwani (Mwinyi-kwa asili na Kikwete) zimeshatoa maRais na hazijaendelea...Kaskazini kutoa Rais hakutakuwa chachu ya maendeleo..
 
Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania popote mlipo.
=>Mimi si mwanasiasa wala muumini wa chama chochote Tanzania.
Leo nataka niwaambieni kuwa Tanzania KASKAZINI tunaonewa sana ni kama Tanzania kusini wametusahau vile.
=>Mikoa ya Arusha,Moshi Manyara na Tanga nikama si Tanzania.
=> Ukichunguza uchumi wa Tanzania 85% unazalishwa ktk mikoa hii minne yaani Tanzania KASKAZINI.
kupitia kilimo cha mkongo Tanga
Utalii Arusha na Killimanjaro.
Pia kilimo kikubwa cha mazao ya biashara na chakula Arusha.
=> Manyara utalii wa kutosha na hifathi za Taifa.
=>Lakini mpaka leo Mikoa haya minne ipo nyuma kuliko mikoa mingine yote Tanzania.
Kwanini Dar es salaam iendelee kuliko Arusha Tanga Killimanjaro na Tanga. Dar wanalima nini? Wanahifathi gani? Kuna kiwanda gani?
=>Dar kote umeme mpaka kwenye SLUMS lakini Arusha Hospitali ya Wilaya haina Umeme wa uhakika.
=>Arusha soko kubwa mji mkubwa kama Donyosambu hawajui nini kinaitwa umeme.
Usiulizie vijijini kuanzia Vijiji za Ngaramtoni mpaka Namanga Kilomita 200 hakuna kijiji hata kimoja chenye umeme.
=>Manyara hata mjini hakuna maji,umeme wakulenga na manati.
=>Barabara usiulize maana hapa kwetu ukinunua gari utatafuta parking Ngaramtoni ilipobarabara ya East Afrika utembee kwa mguu km 30 kuingia kijijini.

Maoni Yangu

Tunachotaka kama 2015 uchaguzi mkuu Rais atokee KASKAZINI ama la sivyo Tanzania KASKAZINI tutadai uhuru wetu.

Kama nimekukera potezea.

Jamani popote Mtakapo muona huyu mtu anaeitwa JFKAMANDA, toeni taarifa kituo cha Afya Milembe, Dodoma.
 
Ni ufinyu wa 'fikra' kuamini kuwa Rais akitokea mkoa au kanda Fulani..basi mkoa au kanda hiyo itakuwa na maendeleo! Arusha, Mwanza, Mbeya hazijawahi kutoa Rais...Mtwara (Mkapa), Mara (Nyerere) na mkoa wa Pwani (Mwinyi-kwa asili na Kikwete) zimeshatoa maRais na hazijaendelea...Kaskazini kutoa Rais hakutakuwa chachu ya maendeleo..

Tusidanganyane hapo mbona pwani atokee mara mbili?
-Kwanini Nyerere alimfukuza Lowasa cc ya Ccm?
-Sokoinei yuko wapi wanajua wao mandunguri
-Chadema inafurugwa na watu wa kusini ili Slaa akise urais
-Ccm wanamuandama King EDO ili asiwe rais.
Ni vurugu mechi kuwafuruga watu wa KASKAZINI wasimtoe rais Tanzania. Sasa tumechoka.

Asipotokea tutajitenga.
N.B mnajifanya wa KASKAZINI hapa kwa id feki LENGENI hayo
 
Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania popote mlipo.
=>Mimi si mwanasiasa wala muumini wa chama chochote Tanzania.
Leo nataka niwaambieni kuwa Tanzania KASKAZINI tunaonewa sana ni kama Tanzania kusini wametusahau vile.
=>Mikoa ya Arusha,Moshi Manyara na Tanga nikama si Tanzania.
=> Ukichunguza uchumi wa Tanzania 85% unazalishwa ktk mikoa hii minne yaani Tanzania KASKAZINI.
kupitia kilimo cha mkongo Tanga
Utalii Arusha na Killimanjaro.
Pia kilimo kikubwa cha mazao ya biashara na chakula Arusha.
=> Manyara utalii wa kutosha na hifathi za Taifa.
=>Lakini mpaka leo Mikoa haya minne ipo nyuma kuliko mikoa mingine yote Tanzania.
Kwanini Dar es salaam iendelee kuliko Arusha Tanga Killimanjaro na Tanga. Dar wanalima nini? Wanahifathi gani? Kuna kiwanda gani?
=>Dar kote umeme mpaka kwenye SLUMS lakini Arusha Hospitali ya Wilaya haina Umeme wa uhakika.
=>Arusha soko kubwa mji mkubwa kama Donyosambu hawajui nini kinaitwa umeme.
Usiulizie vijijini kuanzia Vijiji za Ngaramtoni mpaka Namanga Kilomita 200 hakuna kijiji hata kimoja chenye umeme.
=>Manyara hata mjini hakuna maji,umeme wakulenga na manati.
=>Barabara usiulize maana hapa kwetu ukinunua gari utatafuta parking Ngaramtoni ilipobarabara ya East Afrika utembee kwa mguu km 30 kuingia kijijini.

Maoni Yangu

Tunachotaka kama 2015 uchaguzi mkuu Rais atokee KASKAZINI ama la sivyo Tanzania KASKAZINI tutadai uhuru wetu.

Kama nimekukera potezea.

Utakuwa gaidi wa CHADEMA
 
Utakuwa gaidi wa CHADEMA

Sina chama na sitawahi kuwa mwanachama wa chama yoyote ile Tanzania.
Ila mimi ni mwanachama wa mtu mwenye sera safi siasa safi za kulijenga Taifa letu bila kubagua upande fulani
 
Uko uwezekano ulikua na hoja nzuri sanaaa ila ukaharibu na kusema rais atoke kaskazin,hii nchi c mkaskazin wa mkusini mangi na suala la kujitenga unaongelea kirahix maneno haya kwa kua uko bar hebu waauliae waliotengeneza Tz ya leo unayoiona jinsi ilivyokua taaabu we na katecno kako hapo bar unawaza unyang,au tuuu
 
Lowassa ndie rais 2015 ama awe Slaa wengine wakitokea aheri mtupe nchi yetu "TANZANIA KASKAZINI"
 
Kama kungekua na mkoa wa kujitenga; basi Mwanza. Kinachovunwa Mza na kinachowekezwa ni very tofauti. Bora huko vyuo kiasi, shule kibao na better, majengo ya serikali na EAC etc. Kule Mza wanahangaika na ka-daraja kawavuka kwa mguu mwaka mzima.
Mind u; kodi nyingi zinazoifanya Dsm iizidi Mza kimapato; ni za migodi ya Mza zinazokusanyiwa Dsm.
 
wahusika wafute hii thread inauchonganishi na inahubiri utengano... JF itabore kwaajili ya watu kama hawa
 
Tusidanganyane hapo mbona pwani atokee mara mbili?
-Kwanini Nyerere alimfukuza Lowasa cc ya Ccm?
-Sokoinei yuko wapi wanajua wao mandunguri
-Chadema inafurugwa na watu wa kusini ili Slaa akise urais
-Ccm wanamuandama King EDO ili asiwe rais.
Ni vurugu mechi kuwafuruga watu wa KASKAZINI wasimtoe rais Tanzania. Sasa tumechoka.

Asipotokea tutajitenga.
N.B mnajifanya wa KASKAZINI hapa kwa id feki LENGENI hayo

Straight Jacket Pleeeeeaseeeeeeeee.........
 
This guy is Sick........Huo ni Ubinafsi Kama Sio Roho Mbaya....Kila Mwenye Kwao Akitaka Rais Wao Si Itakuwa Vurugu-Mechi?
Na Ulivyo Na Akili Mbovu Unaainisha Kabisa Lengo Ni Kaskazini Kupate Maendeleo......Vipi Kuhusu Mikoa Mingine.?Yaani Sijui Hata Kwa Nini Namkimbiza Chizi Ngoja Nirudi Zangu Nyumbani For The Sake Of My Sanity......
 
Wewe mleta mada utakua umechanganyikiwa si bure..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom