Tanzania KASKAZINI kudai uhuru baada ya 2015

Tanzania KASKAZINI kudai uhuru baada ya 2015

Status
Not open for further replies.
Tukikubaliana na hili inabidi Mbeya nao wadai uhuru wao kwa kuwa wana vitega uchumi anuai ambavyo seem vinafaidisha wengine. Watakutajia border mbili ya Tunduma na Kyela,Watakuambia wanavua samaki ziwa Nyasa,Wana makaa ya mawe kiwira huko,wana Reli,uwanja wa ndege wa Songwe na Mwanjelwa...kanda ya ziwa as well...Nadhani hatujafika huko!
 
Dah wewe hujielewi, unataka kutuaminisha kuwa kaskazin iko chini kimaendeleo kuliko kusini, hivi kusini si ni mikoa ya ruvuma, lindi, mtwara na mingineyo. Je mikoa hyo ya kusini ina maendeleo kupita hiyo ya kaskazini? Tatzo lako unafananisha arusha na dar-es-salaam tu na akili yako imeishia hapo, tembea kusini uone kulivyo na hali ngumu, na hapa naandika comment hii simu inakaribia kuisha chaji hata sijui nitachaji wapi maana umeme ni wa zamu na muda wa kukata umeme katika mji wetu wa songea ni mwingi kuliko muda ambao umeme unakuwepo. Harafu wewe unakuja na huu up...zi wako eti nyie wa kasikazini mnaonewa. UNA ROHO YA KIBAGUZI na umekuja wivu wa kutaka dar iwe chini ya Arusha
 
Tukikubaliana na hili inabidi Mbeya nao wadai uhuru wao kwa kuwa wana vitega uchumi anuai ambavyo seem vinafaidisha wengine. Watakutajia border mbili ya Tunduma na Kyela,Watakuambia wanavua samaki ziwa Nyasa,Wana makaa ya mawe kiwira huko,wana Reli,uwanja wa ndege wa Songwe na Mwanjelwa...kanda ya ziwa as well...Nadhani hatujafika huko!

Ndugu yangu "Mwenye njaa ndie hulia alieshiba hajui kama kuna njaa' sasa huko ni kusini nimekuambia wanayo maji yakutosha barabara safi na umeme upo mpaka ndani ya slums.
Hebu angalia Manyara ilivyonyuma kimaendeleo. Huko hakuna maji umeme ni kitendawili simu ukienda nayo utaficha mpaka uende kupanda juu ya mlima ili upate mawasiliano.
Tena mawasiliano ya laini moja zain pia hiyo ni kwa shida
 
Hata S.SUDAN imejitenga wananini??
Mimi ni mtu wa kaskazin lakin siafiki hilo..! dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu, leo utasema kaskazini baadae utasema mchaga na msambaa na mpare ww kueni makini tu na rasilimali zenu someni hata vitabu sio kukurupuka "dont let a family to rise a child, let the society to rise a chil" hebu tuache umimi na uwao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom