Tanzania itangazie Dunia kuwa misaada yenye masharti hatutaki

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
52,003
Watanzania walio wengi wanaishi maisha ya kawaida.Wanaweza kulala hata chini,wakala mboga bila chumvi na wakaishi nyumba zisizo na umeme na maisha wakaona sawa tu.

Watoa misaada wengine ni makafiri wa kutupwa.Watataka hadi Wananchi wainame wakubali kushugulikiwa kwenye makalio kishoga ndio misaada itoke.Utasikia asiyekubali ushoga hatumpi misaada.Na wanalitamka hilo kwa jeuri na kiburi kikubwa.Na sisi ni wakati wa kutamka kwa kiburi kikubwa kuwa misaada yenye masharti hatutaki.

Serikali itamke wazi kuwa misaada yoyote yenye masharti yoyote hatutaki na nakala wapewe mabalozi wote wanaowakilisha nchi zao hasa wa ulaya na marekani ili wawapelekee akina Donald Trump na wengineo
 
unaota ndoto za mchana, yaani nchi za kiafrika huwa zinajaribu kuweka kiburi eti kwa kuwa wana raslimali ambazo wazungu wanazihitaji lakini tambua kuwa waafrika hawana namna ya kuzitumia ili kupata mapato isipokuwa wanategemea mzungu kama mnunuzi wao mkuu hebu jiulize kwa nini mali ni zako harafu unapangiwa bei.hivyo usijidanganye pamoja na rasirimali tulizonazo mnunuzi wake atabaki kuwa mzungu pekee kwa kipindi kirefu, sasa masharti hayaepukiki kwa sababu hata ukijitia kiburi pamoja na rasirimali zako wakiacha kuvinunua utavila
 
Mtu huna haja ya kutangaza, fanya jazi kwa bidii, jilishe na familia yako.
Ziada jijengee nyumba nzuri.
Wahisani wa nini!
 
unaota ndoto za mchana, yaani nchi za kiafrika huwa zinajaribu kuweka kiburi eti kwa kuwa wana raslimali ambazo wazungu wanazihitaji lakini tambua kuwa waafrika hawana namna ya kuzitumia ili kupata mapato isipokuwa wanategemea mzungu kama mnunuzi wao mkuu. hebu jiulize kwa nini mali ni zako harafu unapangiwa bei.hivyo usijidanganye pamoja na rasirimali tulizonazo mnunuzi wake atabaki kuwa mzungu pekee kwa kipindi kirefu, sasa masharti hayaepukiki kwa sababu hata ukijitia kiburi pamoja na rasirimali zako wakiacha kuvinunua utavila
 
Hivi huwa mnapewa guidelines kabla ya kuja kupost utumbo kwenye social media? katika hali ya kawaida nani anaweza kukusaidia bure? FYI wao wanaamua hata thamani ya sarafu ya nchi yako, ukiumwa upewe dawa gani, mtumie magari gani, na watu wawekeze kwenye sekta gani nchini mwako....hizo 1TR mnazoringia unadhani mtazipata bila utalii? uwekezaji mkubwa? importations? industrial productions ambazo raw materials zake zinatoka kwao?
Acheni ujinga, tujenge nchi yetu kwa hatua, the irony is, wale wazembe kabisa wasio na kazi wanaosubiri kupewa uDC ndio wanaoongelea maendeleo ya nchi kwenye social media, ptyu....shame on you.
 
Kweli kabisa watangaze kuwa misaada yenye masharti Magumu ni utumwa na hatuitaki. Lakini hebu ngoja kidogo... Marekani inaisadia Tanzania, lakini marekani hiyo hiyo inakopa China na hapa kunaonesha kama kunakutegemeana baina ya nchi duniani!? Yaani kuambiwa hupewi msaada mpaka uheshimu haki za wengine ndiyo mnaita utumwa na hamtaki kuambiwa hivyo?

Halafu suala la kukubali ushoga kwa taarifa yako Serikali hii inayoongozwa na CCM tayari Rasmi tayari imeshaukubali ushoga na kuna mashirika yako hapa Tanzania yanafanya kazi ya kuhamasisha "kueleweka" kwa "haki za mashoga" na wanagawa "vilainishi" ili kuwasaidia mashoga kufanya ngono kwa urahisi zaidi. Sharti la Ushoga limeshakubaliwa na serikali inayoongozwa na chama chenu!!
 
Nguvu ya kukataa misaada tutaipata pale tu vijana watakapo amua kuacha kuandama barabarani kupigania kuangalia Tv

Mkuu uko sahihi.Lakini pia Bunge nalo linahamasisha watu kuwa wavivu.Ukiangalia bunge lililopita kuna wabunge walikuwa wanashupalia bunge kurushwa wakati wa kazi!!!!
 
unaota ndoto za mchana, yaani nchi za kiafrika huwa zinajaribu kuweka kiburi eti kwa kuwa wana raslimali ambazo wazungu wanazihitaji lakini tambua kuwa waafrika hawana namna ya kuzitumia ili kupata mapato isipokuwa wanategemea mzungu kama mnunuzi wao mkuu hebu jiulize kwa nini mali ni zako harafu unapangiwa bei.hivyo usijidanganye pamoja na rasirimali tulizonazo mnunuzi wake atabaki kuwa mzungu pekee kwa kipindi kirefu, sasa masharti hayaepukiki kwa sababu hata ukijitia kiburi pamoja na rasirimali zako wakiacha kuvinunua utavila
Mawazo yako ni ya aina ya mtu asiyependa kujishughulisha yaani TEGEMEZI.
 
Wakuitangazia dunia kuwa watanzania hatutaki misaada ya masharti ya makali ni Magu, mwambie apaze sauti km anaweza kulikataa hilo Na sie tutamuunga mkono
 
The irony is, wale wazembe kabisa wasio na kazi wanaosubiri kupewa uDC ndio wanaoongelea maendeleo ya nchi kwenye social media, ptyu....shame on you.
Wakiukosa huo U-DC au U-RC ndiyo wanaandika risala ndeeefu na kusema kuwa wao wanatoka kwenye familia maskini. Kwani watanzania wengi si wanatoka kwenye Familia maskni na wengine bado hatujatoka kwenye hizo familia maskni bado tumo humo humo!!
 
Kamuulize Mugabe,atakwambia vizuri!Na yeye alijaribu kudida kama wewe unavyotaka kujaribu kilicho mkuta anakijua na mie sitaki kikukute!
Aliwanyang'anya Wazungu Mashamba Kwa Nguvu,Ila baada ya Wazimbambwe Kuanza Kuteseka,Leo Hii Anawaomba Wazungu Wayachukue Tena!
Muulize Mseveni,Atakupa Majipu!Alitaka Kusaini Muswada wa Sheria ya Kupinga Ushoga Baada ya Kupigwa Biti na U.S.A,U.K et al,akanywea!Kilicho Mfanya Anywee ni nini?MISAADA!
 
Yaani kuambiwa hupewi msaada mpaka uheshimu haki za wengine ndiyo mnaita utumwa na hamtaki kuambiwa hivyo?

Wao wakija kuwekeza mbona huwa hatuwapi masharti yanayohusiana na nchini kwao? Mfano hata siku moja waingereza wakija kuwekeza Tanzania hatujawahi waambia kuwa hatukubali muwekeze Tanzania hadi mumalize kabisa matatizo yenu na nchi ya Ireland ya kaskazini.Wao ni kina nani kuja kutuambia hatuwapi misaada hadi mushughulikie ya Zanzibar?

Iko haja na sisi tuanze kuwanyima gesi na mafuta na madini kwa kuweka kipengele cha kuwabana kuhusu yaliyoko kwenye nchi zao.
 
Mkuu uko sahihi.Lakini pia Bunge nalo linahamasisha watu kuwa wavivu.Ukiangalia bunge lililopita kuna wabunge walikuwa wanashupalia bunge kurushwa wakati wa kazi!!!!
Ndio maana nimesema lazima tuache mawazo mgando ya kushupalia vitu vya kipuuzi. Vijana inabidi tufanye kazi,mambo ya bunge yapo tu na yataendelea kuwepo!
 
Back
Top Bottom