YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,992
Tunaomba serikali iitishe kura ya maoni ya kitaifa watanzania tuamue kama tunahitaji misaada ya wazungu yenye masharti ya aina yoyote yawe masharti ya kisiasa,kuruhusu ushoga nk.
Iko haja watanzania tuamue aina ya misaada tunayotaka kupitia sanduku la kura na wao wajue kuwa nini tunataka.
Iko haja watanzania tuamue aina ya misaada tunayotaka kupitia sanduku la kura na wao wajue kuwa nini tunataka.