huyu kamaliza kila kitu..Kuzwane Masinda said: "I don't want to sound judgemental, but most of the countries in Africa do not need such projects. We need to industrialise our villages and township that will boost our GDP growth and contribute towards our employment growth. We need to reflect on this well."
Sasa hivi dunia ni kijiji, haijalishi jiografia ya eneo kilichopo.Siyo Dodoma dah!!
Wangeujenga Arusha au Moshi ili siku tukiandaa AFCON, tuimarishe na utalii hapohapo. Pia, kuna hoteli nyingi around.
Dodoma bado sana, tena sana.
Alishindwa kutimiza ahadi,serikali ikasema itajenga yenyeweHuu uwanja no Ahadi ya mfamle wa Morroco alipotembelea Tanzania mwaka Juzi..Hakuna pesa ya serikali hapo..
Jambo la muhimu ni kuwa na kitu ukizingatia eneo kitu hichi kilipo. Hiwezi kujenga solo kubwa la samaki pembeni ya Ziwa duluti.Jambo muhimu ni kuwa na kitu bila kujali kitu hicho kiko wap
Bora wangeugawa mara mbili,vijengwe viwanja viwili vya watazamaji elfu hamsini hamsini.
Hakuna mashabiki wa kuujaza uwanja hata mechi kubwa watu waingie bure haujai.
Ni hasara sana
Kuna vitu sawa kufuata jiografia kama ulivyosema mkuu, ila awamu hii kila project kubwa zinapoanzishwa, kunakuwa na ukosoaji usiokuwa wa kawaida.Jambo la muhimu ni kuwa na kitu ukizingatia eneo kitu hichi kilipo. Hiwezi kujenga solo kubwa la samaki pembeni ya Ziwa duluti.
We dont have such names in Tanzania, whoever these freaks are must be implants..... So why don't you jus mind your business!Tanzania is constructing Africa's new largest stadium, Dodoma Stadium at a cost of $100 million. The stadium will have a capacity of up to 100,000 people.
Many people are against the idea of a new stadium. Intro Nerd said: "The biggest structures require a lot of maintenance. So when we budget for such structures, we must also be very clear how income will be generated not only to pay the loan but to maintain it too. Just word of caution, we have seen many a white elephant."
Kuzwane Masinda said: "I don't want to sound judgemental, but most of the countries in Africa do not need such projects. We need to industrialise our villages and township that will boost our GDP growth and contribute towards our employment growth. We need to reflect on this well."
Tsoko Mukanya said: "Their football is not even recognised. By whom should it be recognised to warrant the construction of a new stadium? Besides, are stadiums used solely for football purposes?"
Some said they should build high tech schools. Lagos Champion said: "I hope Tanzania has a far better maintenace culture. This is what we lack in Nigeria. Let's hope there are big games and events that are able to fill the stadium."
He has merged some comments of South Africans and Nigerians who commented on twitter.We dont have such names in Tanzania, whoever these freaks are must be implants..... So why don't you jus mind your business!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha nn kusema mwananchi wa kawaida?Projects kama hizi hazimsaidii chochote mwananchi wa kawaida, hizi ndio hizo projects zinazoitwa White Elephant
Kwanini serikali isijikite katika kitengeneza bararara za mitaani?,vumbi linawapa watu ugonjwa wa kila aina,...
Mungu ibariki Tanzania
Mimi ni hayo majina tuu ya wahojiwa/watoa maoni ndiyo yananipa "!?".Tanzania is constructing Africa's new largest stadium, Dodoma Stadium at a cost of $100 million. The stadium will have a capacity of up to 100,000 people.
Many people are against the idea of a new stadium. Intro Nerd said: "The biggest structures require a lot of maintenance. So when we budget for such structures, we must also be very clear how income will be generated not only to pay the loan but to maintain it too. Just word of caution, we have seen many a white elephant."
Kuzwane Masinda said: "I don't want to sound judgemental, but most of the countries in Africa do not need such projects. We need to industrialise our villages and township that will boost our GDP growth and contribute towards our employment growth. We need to reflect on this well."
Tsoko Mukanya said: "Their football is not even recognised. By whom should it be recognised to warrant the construction of a new stadium? Besides, are stadiums used solely for football purposes?"
Some said they should build high tech schools. Lagos Champion said: "I hope Tanzania has a far better maintenace culture. This is what we lack in Nigeria. Let's hope there are big games and events that are able to fill the stadium."
wanafanyia concert mkuuWana andaa "GOFU" litakalojaa mapanyabuku kibao...
Wawaulize South Africa vile viwanja vyao wanafanya Nini Sasahivi... Sijui Hakuna Washauri ktk hiyo project... [emoji15]
YesKwan huko Arusha na Moshi ndo tayari sana?
Kitu gani huko ambacho ni tayari
Sijaona mlalamikaji Mtanzania katika hii makala wote ni Mabeberu tuWananchi wanasahau kuwa mfalme wa morroco alipokuja alitoa ahadi ya kujenga, leo lawama kwa serikali ya Magufuri mmh!, kweli kuwa kiongozi ili ujue raha ya uongozi [emoji40]!
kwa hela hiyo wangejenga viwanja vitatu vya watazamaji hata 30-40k hv, kwa nchi zetu hizi tunahitaji viwanja bora vingi vidogo vidogo!Bora wangeugawa mara mbili,vijengwe viwanja viwili vya watazamaji elfu hamsini hamsini.
Hakuna mashabiki wa kuujaza uwanja hata mechi kubwa watu waingie bure haujai.
Ni hasara sana
wanafanyia concert mkuu
~love rocket±
wanafanyia concert mkuu
Tutajie MA concert gani South Africa unayoyajuwa wewe yenye uwezo wa kujaza stadiums unazoziona kwenye attachment.... 😳
~love rocket±