MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,760
- 48,410
Incase hujui ni kwamba kwa sasa Tanzania ndio infrastructural dominant in the region hilo ukae ukilitambua is the matter of upgrading statistics only and completion of several projects but Tanzania we have no competitor on that matter so far.
Leo hii mnayo titlte mpya inaitwa HIPC, awali tulizoea LDC, sijui gani nyingine mtapewa kesho.
Halafu la infrastructure, nitajie mradi mmoja mumeanzisha kwenye awamu ya tano na mkakamilisha, nimezoea kuona mkipiga mapicha ya kuzindua, lakini sijaona ya kukamilisha, picha za kukamilisha huwa zile za miradi ya zamani ya Kikwete kama vila daraja la Kigamboni.
Haya mengine yote ya akina Stiegler na sijui whatnot ni vitu vya kusema sema tu. Mwaka umesalia mmoja kabla ya kuomba kura, sijui mtatumia picha zipi kwenye kampeni.