joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Kwahiyo Kenya ilipoingia kundi la lower middle income countries in 2014, imeshuka haipo tena huko?, muhimu ni vigezo kama vigezo vya failed State bado vipo hakuna jinsi mtatoka hill, niambie kati ya hivi vigezo vilivyowafanya muwekwe ktk kundi la failed States, kipi hakipo kwa sasa? Why Kenya could be among failed statesHio article ni ya 2013. Hata kama kwa mfano, tungekuwa failed state 2013, hakuna vile bado tunaweza kuwa failed state 2018. Miaka tano ni nyingi sana. Halafu hio firm haijulikani, kwa hivyo tafuta ripoti ya World bank, IMF au U.N uposti hapa ndio watu watakuchukulia serious, otherwise watu wataipuuza hio ripoti uchwara uchwara.