mtafute Faziafoxy yeye ana knowlegde ya both
arabic language na islamic knowledge aje athibitishe hapa
kwa kuwasaidia tu hata Daresalaam yenyewe sio Daresalaam
usahihi ni DAR AS SALAAM..na sio DAR ES SALAAM....
kwa hiyo kama Brunei wanaiita DAR US SALAAM.....jiulize hapo
vipi wao iwe pepo sisi iwe bandari.....
haya majina ukifuatiulia utashangaaa mfano jerusalem ni jerusalem au ni JER US SALAAM?????
Which is which?
hujaelewa nini tango............. tanzania imekua derived from jewish names simple as that!
Kwa kukusaidia kwenye imani yako, kati ya pepo hizo saba, moja tu ya daraja la juu-Firdaws, ndio pekee iliyoanishwa kwa jina lake. Hayo majina mengine yanamaanisha pepo, hayamaanishi a pertciular pepo.
Tanabahi:
1. Pepo imetajwa kwa zaidi ya majina 9 kwenye Quran
2. Dar (Dur) kwa Kiarabu ina maana ya eneo/ nyumba/ .....
sasa umeona hapo mwenyewe kama dar(dur) ina maana ya eneo/nyumba
sasa bandari umeitoa wapi????
kwani bandari kiarabu inaitwaje?????????
naona umejijibu hapo
na hiyo firdaus ndio pepo maarufu inayotajwa na nyingine ni Dar as salaam....
mimi nimewahi kusoma kitabu chenye orodha ya pepo hizo zamani
ya kwanza Firdaus....na ya pili Dar as salaam.......
Kumbe tunazungumzia mambo ya kumbukumbu za zamani!!
Tupe andiko kuwa pepo ya daraja la pili ni Darul as Salaam, sio hadithi za kumbukumbu ya Kitabu kimoja ambacho hakina hata jina
Na yenyewe (Brunei) ni hivyo hivyo........... Darul salaam ! Na 99.9 ya raia ni Waislaam !yes,watu weengi hawajui
kwa sababu sio sio kila kilichopo kwenye uislam ni kiarabu
mfano unaweza kujua kuongea kiarabu lakini usielewe hata neno moja la qur aaan....
so ndo hivyo
actually kiarabu neno bandari ni bandaar...so kama ni bandari salama
ingeitwa hivyo hivyo bandaar salaam......
Brunei nafikiri wana mji unaitwa Bandaar salaam.....
tatizo lako unabadili mada kila post
turejee kwenye Daresalaam ni bandari salama.....sawa??????
Keyword here is "With England in Hebrew""whose names rhyme with England in Hebrew."
tatizo lako unabadili mada kila post
turejee kwenye Daresalaam ni bandari salama.....sawa??????
Ni hivyo kwa kuwa haikuwahi kumkanusha Mwenyezi Mungu !What if DAR-ES-SALAAM IKAWA DARUL-ISLAAM?
Yote mawili umetudanganya
1. Hakuna pepo yenye jina Daresalaam
2. Asili ya jiji la Dar es Salaam, ni kutoka jina Bandar Salaam lililotolewa na Sultan Majid wa Zanzibar
http://eprints.soas.ac.uk/3189/1/Brennan_&_Burton_chapter.pdf
maana ya Daresalaam sio bandari ya salama
maana yake ni Heaven of peace....
Daresalaam ni moja ya majina ya pepo saba ambazo zinatajwa katika imani ya kiislam.....
Hapo mkuu nakwambia ni Great Thinkers, hili wewe umetoka nalo wapi?????? Kama ni hivyo sijui ngoja wenyewe waje tuelimishwe!!!!!!!!wadau nataka tujadili hili jina tanzania asili yake, kwa vigezo kadhaa binafsi nimekuja gundua kumbe neno tanzania lina asili ya kiyahudi mfano halisi ni pale waziri wa serikali ya israle alipotumia tanzania kutukebehi na kutukashifu,
In an interview with Israel Radios Ayala Hasson last Thursday, Barak criticized the Foreign Ministry for warning that adopting the Palestinian position on how to advance diplomatic talks would make England, France and Germany irrelevant. Germany, France and England are not Tanzania, Mauritania or Tripolitania [a region in Libya], said Barak, noting places "whose names rhyme with England in Hebrew."
je mwalimu alifanya hivi makusidi kuleta jina la kiyahudi liwe jina la nchi yetu au hakujua ilikua purerly coincidence, does it mean kila tunaposema tunaipenda tanzania indirect tunasema tunaipenda israel?
Are these countries ending with ania Jewish named like:-wadau nataka tujadili hili jina tanzania asili yake, kwa vigezo kadhaa binafsi nimekuja gundua kumbe neno tanzania lina asili ya kiyahudi mfano halisi ni pale waziri wa serikali ya israle alipotumia tanzania kutukebehi na kutukashifu,
In an interview with Israel Radios Ayala Hasson last Thursday, Barak criticized the Foreign Ministry for warning that adopting the Palestinian position on how to advance diplomatic talks would make England, France and Germany irrelevant. Germany, France and England are not Tanzania, Mauritania or Tripolitania [a region in Libya], said Barak, noting places "whose names rhyme with England in Hebrew."
je mwalimu alifanya hivi makusidi kuleta jina la kiyahudi liwe jina la nchi yetu au hakujua ilikua purerly coincidence, does it mean kila tunaposema tunaipenda tanzania indirect tunasema tunaipenda israel?