Tanzania irahisishe umiliki wa silaha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania irahisishe umiliki wa silaha

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Kamundu, Oct 19, 2012.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 1,987
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Kumekuwa na hali ya kuvamiwa kwa biashara tofauti na haijulikani hivi vurugu zitaenda mpaka lini. Serikali imeshidwa kulinda watu na familia zao na tunaona kila siku watu wanaweza kwenda na kutekeleza sehemu binafsi bila mashaka.

  Hapa Texas ninapoishi huwezi kufanya hivyo maana watu wanaruhusiwa kuwa na silaha na kama mtu amekuvamia na wewe uka shoot kwa kuangalia familia yako hakuna kesi.

  Imefikia wakati wa Tanzania kurahisisha umiliki wa silaha kwani watu wakijua una silaha inabidi wajiulize mara mbili kabla hawajaja. Demokrasia sio free
   
 2. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 1,987
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  zamani watu walikuwa na magobore babu zetu siku hizi hatuna kitu ni lazima tujue ile Tanzania ya zamani ya kufanya mambo yako bila kujali haipo tena!
   
Loading...