Ndoto yake ya wewe kuishi Kama mashetani ingelitimiaMiaka mitano ya kipindi cha pili cha Magufuli ilikatishwa ghafla na kifo chake. Endapo miaka hiyo ingeisha akiwa bado Rais wetu uliitegemea Tanzania ya gani mwisho wa utawala wake?
Taswira gani inakujia kichwani ukitafakari kama angemaliza kipindi chake cha uongozi akiwa hai?
Mimi hata sielewi ,kwani hata tulipotoka nilichanganyikiwaMiaka mitano ya kipindi cha pili cha Magufuli ilikatishwa ghafla na kifo chake. Endapo miaka hiyo ingeisha akiwa bado Rais wetu uliitegemea Tanzania ya gani mwisho wa utawala wake?
Taswira gani inakujia kichwani ukitafakari kama angemaliza kipindi chake cha uongozi akiwa hai?
Ni aibu rais kulindwa na waganga wa kienyeji 900 halafu unajinadi kuwa wewe Ni MkristoMiaka mitano ya kipindi cha pili cha Magufuli ilikatishwa ghafla na kifo chake. Endapo miaka hiyo ingeisha akiwa bado Rais wetu uliitegemea Tanzania ya gani mwisho wa utawala wake?
Taswira gani inakujia kichwani ukitafakari kama angemaliza kipindi chake cha uongozi akiwa hai?
Wasukuma wangetunyanyasa sanaTungekuwa mbali kimaendeleo, tusingekuwa wategemezi
Tajiri kuishi Kama shetani, je masikini ataishi km naniHiyo ilikuwa kwa matajiri mkuu
Ukiona hivyo ujue Furaha imezidi kipimomachozi yananitiririka sana