isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,125
- 6,253
Chief-Mkwawa Kiranga Nyani NgabuKama tunatumia teknologia ya miaka 21 iliyopita
Ndugu wadau hiyo technologia ya wenzetu wanayotumia sahizi Inasemaje?
Wabeba box hebu mje mtupe ufafanuzi huko amerika na ulaya mnaishije?
πππ
Sawa sawa.walikuona upoupo hata kuhoji vitu vyenye logic huwezi wakaona bora wakulishe upumbavu ili ukahadithie wajinga wenzako. Kwa kifupi waliona unawapotezea muda wakaona wakujibu pumba uondoke
Teknolojia hapa sijaeleza kwa kufafanua 3G, 4G na 5G nah! Teknolojia wanaosema wao ni general. Mimi sio mtaalamu wa TelecommunicationsSijakuelewa kabisa unataka kusema miaka 20 iliyopita Marekani , Canada na England ndio walikuwa wanatumia 4G na tokea wanze kutumia 5G imeshapita miaka 20?
Hapo hakuna mambo ya 4G wala 5G mkuu! π€£Sijakuelewa kabisa unataka kusema miaka 20 iliyopita Marekani , Canada na England ndio walikuwa wanatumia 4G na tokea wanze kutumia 5G imeshapita miaka 20?
Yes.Mkuu nikihitaji connection na hao wazungu inawezekana? Nina specialist wa Telecommunication anahitaji sana hiyo connection
Poa nakuja PMYes.
acha urongoWalikuona upo upo tu wakaamua kukupeleka. Miaka 21 iliopita kuna huduma za simu ambazo tunapata sasa hivi hazikuwepo hata kwao.
Ipo lakini katikati ya majiji, Kariakoo kulikua na Uhuru one ila naona kama wamesepa siwaoni siku hizi, upanga kuna maisha Broadband, hata Udom kulikuwa na public wifi 2000 kwa siku.Nadhani public wifi ,huduma hii haipo kabisa miji yetu.
Sasa kwanini ujadili kitu ambacho wewe siyo mtaalam. Ni ujinga wa hali ya juu kujadili kitu hufahamu. Ndiyo maana hapa JF kila mtu kama akina Retired na akina Erythrocyte ni wataalam wa kila kitu, ije siasa, ije sheria jana ati udaktari!Teknolojia hapa sijaeleza kwa kufafanua 3G, 4G na 5G nah! Teknolojia wanaosema wao ni general. Mimi sio mtaalamu wa Telecommunications
Mfano naweza kupa huu Nyanya, Kitungu na Mchele unatoka the same Tanzania, Colombia, Marekani, SA au China lakini mashamba na mfumo wa upandaji na uvunaji sio sawa hii ndio maana. Sema sina namna ya kuelezea ki-Telecommunication.
Oh, sawa kabisa, sasa nimeelewa, kuna wakati Cocacola walijaribu kuweka hiyo huduma kwenye maeneo ya stand lakini ilikuwa week sana na sijui kama mitambo ile ipo tenaNadhani public wifi ,huduma hii haipo kabisa miji yetu.
Well clarified, thanksSio kukosa Wi-Fi kabisa ila kuwa haipatikani kila pahali nchini. Mfano nchi nyingi za ughaibuni Wi-Fi iko karibu 95% ya nchi na kuna zile pocket WiFi pia bei rahisi kulingana na hali ya maisha yao. Na speed ipo nzuri tu. Kumbuka pia kuna sehemu wifi bure kabisa nchi hizo sana sana, mashuleni, kwenye transport systems nk. Sasa tofauti yetu na wao ndipo inapoingilia.
Tizama usije kuwa wewe ndiye mjinga wa hali ya juu! Thread yangu nimehitimisha kwa kuuliza maswali kufahamu, na sikuzungumza issue ulizoleta za 3G na 4G.Sasa kwanini ujadili kitu ambacho wewe siyo mtaalam. Ni ujinga wa hali ya juu kujadili kitu hufahamu. Ndiyo maana hapa JF kila mtu kama akina Retired na akina Erythrocyte ni wataalam wa kila kitu, ije siasa, ije sheria jana ati udaktari!
Ulitakiwa kuelimishwa tu si kujadili, wanajadili wenye utaalam wa hiyo mada.
Umeongea vema kwa kuongezea ADSL bado inatolewa nadhani na TTCL. Hii ni kutokana na ukweli kwamba inaweza ku offer bandwidth(speed) kubwa (zaidi ya 2mbps). Ingawa changamoto kubwa ni miundo mbinu yake (copper wire ) mingi imechakaa na wezi wa nyuma chakavu huzivuna sana.Mkuu ni kweli suala la vifurushi Mifumo inatofautiana baina yetu na yao, yote ina advantage zake, ila kusema tunatumia tech za miaka 21 iliopita si sahihi.
1.japo tumerudi nyuma suala zima la mobile network awamu iliopita, ila kabla ya Hapo tulikuwa ni viongozi even kwa level za Dunia, mwaka 2012 Tayari tuna 4g, wakati 4g ni changa, na sio tu tuna 4g Bali tulikuwa na Vifurushi vya Unlimited vya kutosha, mfano smile walishika sana maofisi mengi na 4g unlimited.
2.hatukuishia hapo tuliiupgrade 4g yetu kwenda lte advance, kuanzia Tigo, voda, Halotel etc zote ukawa unapata speed ya maana, na Tigo coverage yao ilifikia Miji yote Tanzania nzima.
3.kwenye 5g tumerudi nyuma, Nchi nyingi Hadi za Africa Nyengine zimetupita na hili linaeleweka.
4. Kuhusu Broadband za majumbani na wifi ni kweli tupo nyuma sana, fiber zinapatikana kwenye majiji makubwa tu, Tena katikati, ukitoka nje kidogo hakuna Access.
Nafkiri hao jamaa walidhani tunatumia Adsl ama dial up connection, tech ya kizamani ya mitandao ya simu,
Mimi sijazungumzia 3G au 5G! Ulisema wewe si mtaalam wa Telecomunication pale mwisho. Wakati mwanzo ulisema mlikuwa na mjadala. Ni utoto kujadili kitu cha kitaalam na wataalam wakati wewe huna utaalam. Ungalisema ulikuwa msikilizaji hakuna mtu angalikulaumu.Tizama usije kuwa wewe ndiye mjinga wa hali ya juu! Thread yangu nimehitimisha kwa kuuliza maswali kufahamu, na sikuzungumza issue ulizoleta za 3G na 4G.
Teknolojia hapa sijaeleza kwa kufafanua 3G, 4G na 5G nah! Teknolojia wanaosema wao ni general. Mimi sio mtaalamu wa Telecommunications
Mfano naweza kupa huu Nyanya, Kitungu na Mchele unatoka the same Tanzania, Colombia, Marekani, SA au China lakini mashamba na mfumo wa upandaji na uvunaji sio sawa hii ndio maana. Sema sina namna ya kuelezea ki-Telecommunication.
Yes! Sio mtaalamu ndio sababu ya kusema hivyo baada ya baadhi kutoka nje ya swali langu mwisho wa thread. Jikite kujenga hoja pasi ya kujali nani anajadili na nani.Mimi sijazungumzia 3G au 5G! Ulisema wewe si mtaalam wa Telecomunication pale mwisho. Wakati mwanzo ulisema mlikuwa na mjadala. Ni utoto kujadili kitu cha kitaalam na wataalam wakati wewe huna utaalam. Ungalisema ulikuwa msikilizaji hakuna mtu angalikulaumu.
Rejea:
Unatumia nguvu kujiondoa kati hili la kujadili kitu usichokifahamu. Kubali kukosolewa. Acha kujadili kitu ambacho si mtaalam wake. Ni vyema kuwa mwanafunzi. Ona sasa, mimi hujui utaalam wangu na unataka niwe kama wewe kila mada nijadili kitaalam wakati huo utaalam pengine sina.Yes! Sio mtaalamu ndio sababu ya kusema hivyo baada ya baadhi kutoka nje ya swali langu mwisho wa thread. Jikite kujenga hoja pasi ya kujali nani anajadili na nani.
Nashangaa kuona unatumia nguvu nyingi katika negativity katika maandiko yako hapa na katika mada nyingine kuliko kujadili kitaalamu kama unavyodai.