The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Msio na akili hua hamuwezi kuona hadi mletewe utafiti, siku moja utataka hata mume wako akikuomba kukula nyapu yako utataka akuletee utafiti.punguza siasa za hovyo chuki na wivu. tuletee hapa chanzo cha utafiti wako
Sasa si ulete chanzo...unamind nn sasa..Msio na akili hua hamuwezi kuona hadi mletewe utafiti, siku moja utataka hata mume wako akikuomba kukula nyapu yako utataka akuletee utafiti.
Jamaa ana fikir anawadanganya watoto anaowafundisha vidudu huko...upuuzi tu๐๐๐Nikweli tunawachukia hawa wanao tuongoza
Ila sio kwa kiwango cha kusema uwongo huu plus kukashifu inch yako kwa kiasi hicho...
Kwa taarifa yako tu kwa miundo mbinu ilio imara na ya kisasa kumi bora africa hatukosi...
Uliyoyaandika mengine yana mashiko ila kusema kwamba Kenya wana barabara nzuri ni upotoshaji wa wazi kabisa.Uko sahihi kabisa, Barabara zetu hazijengwi katika ubora unaostahili hivyo kupelekea kuharibika ndani ya muda mfupi na haya ni matokeo ya rushwa na incomptence ya mainjinia wetu..tunapiga kelele tunajenga miundombinu kwa hela nyingi ambayo haidumu.
Twende kwa jirani zetu waKenya , wapo seriousy sana ktika sekta ya barabara..unapita kwenye brabara hadi.unasema YES hapa.kuna wasomi walisimamia ujenzi bora wa barabara..
Serikali yetu bado inaendeshwa kizamani..Rais amejitahidi kuwaengage vijana katika sehem mbalimbali ambapo wao walitakiwa kuwa chachu ya mabadiliko kwa kuleta mawazo mapya na chanya kutokana na mabadiliko ya kasi dunia inayopitia but still wameonekana kupwaya na kutoonyesha tofauti yoyote..
Mara nyingi.tumekuwa tukijitapa kwamba sisi.Tanzania ni sleeping Giant..hivi tutaendelea kulala mpaka lini?? Majirani zetu kama Rwanda speed wanayokwenda nayo in 20 years to come vijana wetu watagombania Visa ya kuingia huko kutafuta maisha mazuri.
Mabadiliko makubwa sana yanatakiwa kufanywa kuanzia kwenye mitaala yetu ya Elimu, We have to mordenify our education curicullum so that it can suit the current technological changes..Majirani zetu wakenya naona wao wameliona hili na wapo kwenye mchakato huo.
WE HAVE TO CHANGE otherwise tutaendelea kuwa wasindikizaji..
Kwenye miundombinu tunashika nafasi ya kwanza kua na miundombinu mibovu Afrika hasa kwenye miji mikubwa, ukianza na Dar es salaam, miunndombinu ni mibovu hakuna mfano, hadi unajiuliza hii nchi ina watu walioenda shule kweli?
Tanzania ni moja ya nchi 10 masikini zaidi Duniani, hii ni rekodi ambayo Tanzania tumeishikilia kwa miaka mingi na wala hatuna mpango wa kuachia nafasi yetu hii adhimu kwa sababu kwa miaka yote tumekua tukifabya kila jitihada ili tuendelee kubakia pale pale au angalau kwenye 10 bora.
Kwenye miundombinu tunashika nafasi ya kwanza kua na miundombinu mibovu Afrika hasa kwenye miji mikubwa, ukianza na Dar es salaam, miunndombinu ni mibovu hakuna mfano, hadi unajiuliza hii nchi ina watu walioenda shule kweli? Nenda Arusha, Mbeya, Mwanza, Dodoma, kila mahali miundombinu ni mibovu, hakuna mpango miji, hii nchi ni kama haina serikali ya kusimamia hilo. Viongozi wetu wametembea sana ulaya, hawajifunzi? Yaani hata kupanga miji kwenye ardhi yetu tunahitaji misaada ya wanaoitwa mabeberu?
Kitu pekee tunaweza kujivunia ni amani kwenye dimbwi la umasikini.
Uliona wapi taifa la wajinga lina miundombinu boraTanzania ni moja ya nchi 10 masikini zaidi Duniani, hii ni rekodi ambayo Tanzania tumeishikilia kwa miaka mingi na wala hatuna mpango wa kuachia nafasi yetu hii adhimu kwa sababu kwa miaka yote tumekua tukifabya kila jitihada ili tuendelee kubakia pale pale au angalau kwenye 10 bora.
Kwenye miundombinu tunashika nafasi ya kwanza kua na miundombinu mibovu Afrika hasa kwenye miji mikubwa, ukianza na Dar es salaam, miunndombinu ni mibovu hakuna mfano, hadi unajiuliza hii nchi ina watu walioenda shule kweli? Nenda Arusha, Mbeya, Mwanza, Dodoma, kila mahali miundombinu ni mibovu, hakuna mpango miji, hii nchi ni kama haina serikali ya kusimamia hilo. Viongozi wetu wametembea sana ulaya, hawajifunzi? Yaani hata kupanga miji kwenye ardhi yetu tunahitaji misaada ya wanaoitwa mabeberu?
Kitu pekee tunaweza kujivunia ni amani kwenye dimbwi la umasikini.