Tanzania inahitaji Rais Fyatu?

10 Years later... Rais Magufuli ni raisi katili nchi haina furaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kummmae zenu Watanzania! Uliyotaka yote ameyafanya bila kupepesa macho ila mnamuita raisi dikteta
 
Kupanga mipango na Watanzania ni kupoteza muda

Awali kila mmoja tulikuwa tukikubaliana kwamba, Tungelipenda kupata Rais atayetupeleka mputamputa, baada ya kumpata, Sasa kila mmoja analia lia tu na huwezi kuwatambua tena iwapo walikuwa wakimaanisha kutaka mtu isiyocheka na nyani, mutu jasiri ambayo inaweza kudhibiti hata marais wastaafu na wake zao

Mtu isiyoogopa hata watu wa chama chake, mtu isiyoogopa kampuni za kidunia zilizo na mitaji mikubwa kuipita hata nchi yetu kwa makusanyo ya miaka nane

Hii inamaana, Wengi wa Wabongo ndio wanaupenda uwoga uwoga na wanapenda maisha ya starehe bila kuyatolea jasho, na ndio maana ofsi nyiingi zimejaa wapigaji, wabongo utamkuta kajenga nyumba nzuuuri ya mamilioni ya fedha, lakini pesa ya jasho lake iliyotumika hapo, Haifiki hata laki moja! zingine zoote ni za wizi!!

Sasa kama ni waoga, mlitaka Rais asiye muoga wa nini awafanyie nini sasa??

Pumbavu zenu
 
Mimi sikuhizi sifatilii hotuba za mama yenu Yezebeli
Tupo wengi mkuu, hazina mvuto, unaweza sikiliiza halafu ukaichambuaaa ukakosa mnyumbuliko wa kile kililengwa!!

Nadhani wengi wa wafuatiliaji wanapata taabu sana kuelewa kinachomaanishwa!

mf jano, ni nini sasa kilikusudiwa kwetu vijana?
 
Fyatu ni mwenye wazimu ama?

Je Dkt.Mrema ana wazimu??Tuanzie hapo
 
Hapo Mzee anasema hivyo mwaka 2009 wakati wa Mkapa. Akaja Kikwete wakasema naye legelege.
Sasa tulivyompata waliyemtaka[emoji23][emoji23][emoji23]
mmmh 2009 wakati wa?????

umechemka kasome

Una miaka mingapi?
 
Mungu alijibu maombi yenu afu mkaanza harakati feki tena kumwita dikteta
 
10 Years later... Rais Magufuli ni raisi katili nchi haina furaha [emoji23][emoji23][emoji23] kummmae zenu Watanzania! Uliyotaka yote ameyafanya bila kupepesa macho ila mnamuita raisi dikteta
Watanzania wana unafiki mpaka shetani anakaa kitako tena kwa utulivu na kikombe chake cha kahawa, kalamu na karatasi anajifunza unafiki kwa watanzania...[emoji1787][emoji1787]
 
10 Years later... Rais Magufuli ni raisi katili nchi haina furaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kummmae zenu Watanzania! Uliyotaka yote ameyafanya bila kupepesa macho ila mnamuita raisi dikteta
Kuna yule bibi kikongwe wa twita yeye yuko kwenye rekodi kabisa ya video akihojiwa enzi za Kikwete akisema Tz inahitaji rais wa namna hiyo halafu baadae kikaanza harakati za kumuita dikteta.
 
Tunahitaji Raisi kama China,Malaysia,India,Vietnam,Hongkong,Philippines,sio jitu linalowaza kuua wananchi kisa tu wapo upinzani,au wamelipinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…