assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,053
Ni msemo, tulizoea kusema wakati tunasoma kwamba naingia chimbo.
kuingia msituni manake "nakusudia nikajichimbie nipate mawazo Na mbinu mpya niweze kushawishi vitu muhimu kwa taifa letu." hapa sikubali niwe kimya. (sio uasi wajameni).
nafikiria nifanyeje raisi anielewe,mawaziri wanielewe,wabunge wanielewe Na wananchi wanielewe,vyama vya siasa hasa CCM vinielewe.
Natanzania tunahitaji mabadiliko makubwa ya kimfumo,sera,maono,itikadi nk.
hivi kubadili mfumo ili kuboresha taasisi zetu linahusiana Na siasa?
angalia ofisi ya CAG inavofanya kazi vizuri kwa kuwa wanalindwa Na Sheria.
kwanini spika atoke kwenye chama cha siasa?
kwanini tuwe Na Ma rc Na ma DC?
kwanini takukuru wasipewe Meno ya kukamata Na kushtaki Na mabosi wake walindwe Na katiba?
Kwanini mawaziri wasiwe vetted Na bunge?
kwanini tusiwe Na tume huru ya uchaguzi.
Nauliza tu hatuchoki kutumbua majipu?
tutengeneze mfumo WA kutumbua majipu within.
nawaombeni sana ndugu raisi, wabunge wetu,vyama vya siasa,viongozi WA dini,taasisi Za kiraia nk hembu tulijadili tena hili suala.
Tanzania inahitaji mfumo mpya.