Tuchague Ubepari au Ujamaa sababu hatuwezi kuishi katika itikadi 2 tofauti

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,517
2,939
Ubepari ni kuamini kuwa umiliki wa Mali binafsi ndiyo njia msingi wa kufikia kutosheka kwa binadamu hili liina maana ya kwamba bepari anakusanya Mali, watu, akili n.k ili kuweza kujipa furaha na kutosheka Rejea Theory ya Capitalism na Mechantalism.

Ujamaa ni kitendo kukubali kuwa mafanikio au Mali inakuwa satisfied ikiwa itamilikiwa na jamii nzima kwa maana ya kwamba furaha au maisha hayawezekani biila ya kuwa na common interests ndiyo maana hata vurugu za kisiasa huchangiwa kuwa na political system ambayo inakinzana na Ujamaa.

Kitu gani nawaza?
Nawaza kuwa inawezekana kuwa jamii tumekosea sehemu Fulani kwa kujikana kuwa sisi sio jamii na kujifanya sisi ni kitu Fulani unmatter nasema hivyo kwa sababu ya kwamba neno jamii/social limechukuliwa kutoka kwenye neno socialism lakin matokeo yake sisi binafsi tumeamua kuishi katika Capitalism kiufupi tunaishi kwa kujidanganya ndiyo maana Hali inakuwa Tete kwetu sisi waafrika Mfano mkubwa angalia hata Katiba ya nchi yako ambayo inastepulate kuhusu kuamini katika Ujamaa ila inatekeleza Ubepari.

Machaguzi ni yapi?
Either kubakia kwenye maisha ya kondoo aliye mwagiwa maji au kuishi kama Simba anaetafuta chakula kutetea uhai wake.

Ubepari una mambo mengi hatuwezi kuishi na roho mbili kwenye mwili mmoja ni kwamba Serikali ikiishi Ubepari basi mwananchi hawezi kuishi Ujamaa matokeo yake sasa,Wizi na ujambazi umezidi kushamiri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom