Mu-Israeli
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,454
- 975
You must be stupid. Hii siyo mambo ya UCHADEMA na UCCM. Ukisema Malawi watawapiga vibaya wa tz, wewe unajiweka wapi? hapa hili ni jukwaa la great thinkers
Katika maelezo yangu hakuna mention ya CCM au Chadema.
Nimesema hivi:-
"Wanajeshi wa Tanzania wamezoea kuonea raia tu, na wanatumiwa na watawala kukandamiza haki za wananchi badala ya kutetea maslahi ya Taifa.
Wanajeshi wa Tanzania wanatumika kulinda uporaji wa raslimali za Tanzania kuzipeleka kwa wageni nje, kulinda viongozi mafisadi, kupiga virungu na mabomu ya machozi wananchi wanaodai haki zao kwa amani, n.k.
Kwa mtaji huu, jeshi la Tanzania litashindwa vibaya sana na Malawi kwa sababu ya laana iliyojikusanyia kwa vitendo vyake hivyo vyote".
Bottom line hapa ni kwamba UKIWA DHALIMU, UTALAANIWA TU, WHETHER WEWE NI CCM AU CHADEMA, AU CHAMA CHOCHOTE KILE.
Pole sana mzee, lakini huo ndio ukweli
Haki itainua Taifa. Dhuluma itaangamiza Taifa.