Tanzania ina amiri jeshi mkuu?

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
JAMANI KILA SIKU TUMEKUA TUKISIKIA JWTZ WAMEJIZATITI KULINDA MIPAKA YETU CHA AJABU WAHARAMIA WAKISOMALI SASA WAPO KIGAMBONI WANATEKA MELI!JEE KAZI YA AMIRI JESHI NA JWTZ NI KULINDA KURA NA KUBEBA MASANDUKU AU KUILINDA NCHI KUTOKANA UVAMIZI WOWOTE?JANA MELI IMETEKWA IKITOKA COMORO KAPTENI KAULIWA WA TZ 14 hawajulikani walipo.RAIA WANAPOAMUA KUJILINDA WENYEWE MNALALAMIKA NINI?
 
haina, hili ni pango la wezi masuala ya meli nenda kaulizie magogoni. Hatuhusiki na wasomali hapa kamuulize Laurent
Masha na KOVA :nono::nono::nono:
 
Tuna Vyombo kama Polisi, Mahakama na Magereza; UHALIFU bado unatokea. Sio kuwa hakuna Chief Justice, au IGP au Kamishna Mkuu. Aidha, uharamia wa Somali Pirates ni suala la kimataifa, linalosimamiwa na nchi tele, nyengine zina teknolojia ya hali ya juu. Kuhusu hao maharimia kufanya unyama wao KIGAMBONI, hilo sio UKWELI, basi hata na hizo mnachakachua???

Hao maharamia watendelea na uharamia wao, na Serikali itaendelea kulinda mipaka, raia na mali. Kumbuka kuwa eneo la bahari ni kubwa mno.

Ila sina shaka, angechaguliwa Dk Slaa kuwa Rais, hao maharamia wangesita na zoezi lao, kwani wangejua sasa NGUVU DHIDI YAO IMEINGIA!

:)
 
Hueleweki????????
 
Mahalamia wa kisomali wapo kigamboni?
Wanateka meli pale kigamboni?
Mwanzisha mada anaitwa nani?
...Bongolala!!
Yes, ni bongolala.
 
Nilichotaka kkusema hapo ni kwamba kuwepo kwa vyombo vya dola sio kutokutendeka uhalifu. Uhalifu unafanyika kila pahali, hata UK kwenye BIG BROTHER STATE.

Aidha, nilitaka kueleza kuwa kupiga Doria baharini sio kazi ndogo, ukizingatia uhaba wa rasilimali nchini, ingawa zoezi hilo linafanyika. Pia nilitaka kueleza uharamia huu unaathiri International Trade, hivyo kuna mataifa mbalimbali wanasaidia katika kupiga doria baharini.

TATIZO ni kwamba alieanzisha mada alilenga kumshabulia Amiri Jeshi Mkuu kwa matukio hayo, jambo ambalo limekaa kiushabiki wa siasa zaidi, hususan kwa vile Dr SLAA ameshindwa. Ndio maana nikahitimisha na kauli ya kumliwaza isemayo

Ila sina shaka, angechaguliwa Dk Slaa kuwa Rais, hao maharamia wangesita na zoezi lao, kwani wangejua sasa NGUVU DHIDI YAO IMEINGIA!

Hueleweki????????
 
Hao ni wazungu wanataka ionekane kua somalia ni hatari kwa dunia nzima including africa na tanzania kwa hivyo waweze kuwalazimisha watanzania na waafrica wengine kupeleka jeshi somalia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom