cuba iltujengea shule kama nne hivi. moja wapo ni Ruvu secondary, pia madaktari wetu wengi walisomea cuba,Sio hili tu kumbuka vita vya kagera jinsi uhusika wa cuba ulivyokua labda kama wewe bado mdogo si rahisi kujua.
Mimi siyo.mdogo sana. Nakumbuka Cuba walijenga shule mbili tu ile ya Ruvu na nyingine huko Rufiji/ Ikwiriri. Vita vya Kagera Cuba hawakuwemo. Tz ilisaidiwa na Algeria. Madaktari walisomeshwa Cuba lakini siyo wengi sana kama watu wanavyokuza. Enzi zile scholarship nyingi zilikuwa za kwenda E. Germany, Romania, Bulgaria, Russia, UK, na Scandinavia