Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

Ni afadhali ikapita hata miaka 600 kabla ya kuwa tena na kituko kingine kama hiki.
 
Kwanza amalize huu muhula 2025 hatumtaki. Wala hatuna shida ya mtu kama yeye.
 
12. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayefuta wasiojulikana wote,walevi wa madaraka wote na kuwafanya watu waishi kwa Uhuru na kwakujiamini ndani ya nchi yao huku akilifungua Taifa kimataifa.
Wameburuzwa ndani wanakostahili kuwa, au wamepewa teuzi nono ili waendelee Kula mema ya nchi?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…