Tanzania hatuko serious kama huyu ndo mnasema kuwa awe Rais ajaye

Tanzania mnafeli wapi.?
Mbona wapo watu wenye sifa za kuwa marais, lakin misemo ya chini chini inaonesha watu kuwawazia hawa vijana
1.January Makamba
Sifichi sijawahi ona sifa yeyote ya kunishawishi kumfikiria Jamaa huyu ngazi ya urais
Nina sababu zangu nyingi tu
Mosi: Makamba hana uwezo wa kusimamia suala kwa uthubutu ni muoga sana
Pili: kuna suala la Fedha ambazo alikashfiwa kuchota hajazitolea ufafanuzi
Tatu: Makamba anategemea sana kubebwa na mfumo badala ya kusimama mwenyewe

2.Kituko zaid kuna wanaonfikiria Makonda Paulo katika ngazi hii, sina uhakika kama wanaelewa sifa za mtu kuwa rais, sitaongea mengi maana Kila mtu anajua madhara ya kuwa na kiongozi kama Makonda,

3.Eti Watu wanamsema Nyalandu???? Labda

Tuwe makini tunapochagua wa kutuwakilisha,
Umemaliza yote waliyokutuma? Basi haya!
 
Hahahaha siku makonda akiwa raisi, yaani watanzania wote tutakua tumetiwa kidole cha kati...!
 
Tanzania mnafeli wapi.?
Mbona wapo watu wenye sifa za kuwa marais, lakin misemo ya chini chini inaonesha watu kuwawazia hawa vijana
1.January Makamba
Sifichi sijawahi ona sifa yeyote ya kunishawishi kumfikiria Jamaa huyu ngazi ya urais
Nina sababu zangu nyingi tu
Mosi: Makamba hana uwezo wa kusimamia suala kwa uthubutu ni muoga sana
Pili: kuna suala la Fedha ambazo alikashfiwa kuchota hajazitolea ufafanuzi
Tatu: Makamba anategemea sana kubebwa na mfumo badala ya kusimama mwenyewe

2.Kituko zaid kuna wanaonfikiria Makonda Paulo katika ngazi hii, sina uhakika kama wanaelewa sifa za mtu kuwa rais, sitaongea mengi maana Kila mtu anajua madhara ya kuwa na kiongozi kama Makonda,

3.Eti Watu wanamsema Nyalandu???? Labda

Tuwe makini tunapochagua wa kutuwakilisha,
Pili ndo hiyo umeambiwa na Musiba 😃😃😂😂😂
Kweli duniani kuna maajabu.. Musiba nae anapaswa kujibiwa?

Hiyo sababu mosi haijakamilika.. Hebu tupe mifano tupime.. Makamba anatosha sana.. Mwingine anaetosha ni Mhe Selemani.
 
Tanzania mnafeli wapi.?
Mbona wapo watu wenye sifa za kuwa marais, lakin misemo ya chini chini inaonesha watu kuwawazia hawa vijana
1.January Makamba
Sifichi sijawahi ona sifa yeyote ya kunishawishi kumfikiria Jamaa huyu ngazi ya urais
Nina sababu zangu nyingi tu
Mosi: Makamba hana uwezo wa kusimamia suala kwa uthubutu ni muoga sana
Pili: kuna suala la Fedha ambazo alikashfiwa kuchota hajazitolea ufafanuzi
Tatu: Makamba anategemea sana kubebwa na mfumo badala ya kusimama mwenyewe

2.Kituko zaid kuna wanaonfikiria Makonda Paulo katika ngazi hii, sina uhakika kama wanaelewa sifa za mtu kuwa rais, sitaongea mengi maana Kila mtu anajua madhara ya kuwa na kiongozi kama Makonda,

3.Eti Watu wanamsema Nyalandu???? Labda

Tuwe makini tunapochagua wa kutuwakilisha,
Tatizo ni hatuchagui MTU kwa uwezo wake wa nafasi anayogombea Bali tunachagua chama kwa hiyo tusishangae Kibajaji kuwa ndie rais wetu mpendwa ajae.CCM bora rais wao haijalishi kama ni rais bora. Mifano ya ukweli huu tumeiona!
 
OYAAA UKIFIKA KWA SELEMAN JAFO , NISTUE , COZ HE COULD BE ( pascal mayala njoo ufafanue hapa as kama utabili wako wa mwanzo uleeeeeeeeee wa UNCLE )
 
Watu wengine tunatumia vibaya neno watanzania sema kuna baadhi ya watu wenye akili fupi wanataka kuaminisha watu kwamba fulani anaweza kuwa rais
 
Uzuri wengi wanaosemwa kutaka kuwania nafasi ya Uraisi wengi wao bado wako kwenye nafasi za uongozi na wengine wako pembeni, na kipimo pekee ni jinsi walivyoweza kuongoza walipopata nafasi za uongozi, kama ni ubunge, au uwaziri, ukuu wa mkoa au wilaya.

Kuna mifano ya vijana kama Nape, Mwigulu, Makamba, Makonda, sijui nani asiyejua walivyofeli na kuboronga na kushindwa kusimama kama viongozi walipopata nafasi za kuongoza, na zaidi ukienda kwenye majimbo ndio hakua kitu.
 
Tanzania mnafeli wapi.?
Mbona wapo watu wenye sifa za kuwa marais, lakin misemo ya chini chini inaonesha watu kuwawazia hawa vijana
1.January Makamba
Sifichi sijawahi ona sifa yeyote ya kunishawishi kumfikiria Jamaa huyu ngazi ya urais
Nina sababu zangu nyingi tu
Mosi: Makamba hana uwezo wa kusimamia suala kwa uthubutu ni muoga sana
Pili: kuna suala la Fedha ambazo alikashfiwa kuchota hajazitolea ufafanuzi
Tatu: Makamba anategemea sana kubebwa na mfumo badala ya kusimama mwenyewe

2.Kituko zaid kuna wanaonfikiria Makonda Paulo katika ngazi hii, sina uhakika kama wanaelewa sifa za mtu kuwa rais, sitaongea mengi maana Kila mtu anajua madhara ya kuwa na kiongozi kama Makonda,

3.Eti Watu wanamsema Nyalandu???? Labda

Tuwe makini tunapochagua wa kutuwakilisha,

Kwa taarifa yako mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuwa rais wa Tanzania. Tanzania haijali kuwa na rais bora bali tunahakikisha nafasi ya rais isiwe wazi. Kama Kikwete na Magufuli wameweza kuwa marais wa Tanzania nani atashindwa? Makamba ni carbon copy ya Kikwete, na Makonda ni carbon copy ya Magufuli. Kwenye mfumo ambao rais hapatikani kwa kura bali kundi la watu fulani nyuma ya pazia, hapo yoyote atakayeweza kutekeleza matakwa ya hilo kundi anaweza kua rais.
 
Nimekuelewa
 
Hmm! Bora kuwa mwanachama wawavuta●●○.., kuliko kuwa chama cha kijani
255693201706_status_363f5f61a79c4e7480070cc951f355d6.jpeg
 
Watu wanasema au wewe ndio unayesema?.......acha uwoga!
kuna watu wamejiiweka kwamba wao ndo wanaweza kutambua nani anafaa kuwa kiongozi swala ni wananchi wanamkubali mbona ukrein wamemchagua Masanja wao na hakuna shida we britanica democrasia ni pamoja na kufanya uchkaguzi wa usiyempenda wewe we tuache na uzwazwa wetu ipo siku kwemye process hkii ya kuchkagua tutamoata rasi wa watanzania
 
Back
Top Bottom