Tanzania has started to build its own helicopters

Tanzania has started to build its own helicopters

Mkuu usifikirie ni ngumu kiasi hicho unachodhani wewe,najua kwa akili zako unakuwa unawaza engine ilipotokea ndio maana neno assembly likakutoka,kwa kukusaidia ni kwamba Modern helicopter engines are turbine rather than piston type and are purchased from an engine supplier. The helicopter manufacturer may purchase or produce the transmission assembly, which transfers power to the rotor assembly. Transmission cases are made of aluminum or magnesium alloy.in this case we have choosen to purchase and not to produce an engine na hiyo haimaanishi kwamba hatujaitengeneza sisi.

kuna stage nyingi za muhimu katika kutengeneza helicopter ambazo mtengenezaji lazma azipitie ili aw ndiye aliyetengeneza hiyo helicopter na ndicho tulichokifanya kuanzia Airframe Preparing and the tubing design,Forming sheet metal details,Making the cores of composite components,Making the fuselage,Specify the engine, transmission and rotors,design and install Systems and controls,na Final assembly.

Hata hivyo kama ulikuwa haujui ni kwamba Rolls Royce ndio mtengenezaji na designer wa engines za Airbus and Boeing lakini haimaanishi kuwa RR ndio watengenezaji wa Airbus au Boeing.
asante sana kwa ufafanuzi wako..............
 
Tukifanikiwa kuondoa rushwa nchi yetu itapata fursa ya kunufaika na ujuzi, utaalam na ufundi wa wasomi wake. Tutaweza kufuka mbele. Rushwa, kuanzia Mwinyi hadi Kikwete, imechelewesha sana maedeleo ya nchi yetu.
 
acha na siye tujaribu kama majirani....
images
 
Ukawa kazi yao ni kupinga tu.jamani
Naomba unithibitishie kwamba mm.ni ukawa
2nd naomba unithibitishie hzo helicopter nzima zipo Arusha tech
Ukisoma hyo makala wanakuambia phase ya kwanza utakua 2018 we unabisha bisha tu huoni hzo Picha ni helicopter nzima?
Mijitu mingine bana
 
Good! Napendekeza Mkuu wa nchi JPM ndo aizindue aruke nayo. Hii itawatia moyo waundaji na kuwapa hamasa zaidi.
Naam lazima uzinduzi ufanyike na mwenyewe JPM apae nayo. Hii itakuwa safi sana na atakuwa amelitangaza soko la hiyo chopa.
 
La matope labla! bado hatujaweza kutengeneza stick za kuondoa uchafu kwenye maskio tunakimbilia mambo makubwa! Iran kama sikosei wanampango wa kuagiza ndege 100 boing kutoka kampuni ya marekani!
 
Ubunifu wa mbunge ni kubuni miradi ya maendeleo ya kuwasaidia wanajimbo wake,kuiwasilisha kwa wadau mbali mbali wa maendeleo ikiwemo serikali ili waiwezeshe itekelezeke wananchi wake wapate ahueni!!! Ubunifu wa mbunge si kufunga matambara mdomoni bungeni
Bora hao wameshtuka wakafunga mdomo wenyewe.Mbona wabunge Wa CCM wamefungwa mdomo kwamba watakaobainika kukwamisha bajeti warejeshe kadi za chama? Si kufungwa mdomo ndugu?
 
Ndio, Mwanza kulikuwa na kampuni ya mtu binafsi iitwayo Songora Marines iliyojishughulisha kutengeneza mashua - siyo meli- ingawa uwezo wa kuunda meli walikuwa nao. Kwa jinsi nchi hii inavyothamini vya nje na kudharau vyetu, Songora Marines hawakupanuka sana na sasa sijui kama wapo au walishajifia mbali.

Sijui kama hao ma-engineer wa arusha watafika mbali, watavunjwa moyo kwenye hatua fulani ya mradi wao.Tatizo kubwa ni vya kwetu havina 10%. Rejea transformer za Tanalec na TANESCO kununua transformer india.
Kwakweli kwa hilo mh rais awamu hii alitizame kwa jicho pevu huenda tumekalia taaluma nyingi sana ila sina wasiwasi na mh rais na kama utakumbuka tayar imesha wekwa marufuku kuagiza transofoma nje ya nchi ila zitumike za tanalec tu hasa kwa tanesco
 
Good! Napendekeza Mkuu wa nchi JPM ndo aizindue aruke nayo. Hii itawatia moyo waundaji na kuwapa hamasa zaidi.
Labla nyinyi Lumumba 7 fc muanze kuruka nalo na siyo kuja kumtoa rais kafara
 
Ubunifu wa mbunge ni kubuni miradi ya maendeleo ya kuwasaidia wanajimbo wake,kuiwasilisha kwa wadau mbali mbali wa maendeleo ikiwemo serikali ili waiwezeshe itekelezeke wananchi wake wapate ahueni!!! Ubunifu wa mbunge si kufunga matambara mdomoni bungeni
Utumbo mtupu
 
Kama nimeisoma hii habari vizuri ni kwamba Injini wananunua toka German "Volkswagen" so nadhani hapo hakuna kipya badala yake ni uunganishaji wa vifaa.

Unapotengeneza chombo basi uwe unadhalisha na spea, ninachokiona hapa ni kwamba siku hiyo chopa imearibika spea itabidi uagize toka Germany

Ila hongereni maana kwa ubunifu huo Mzee wa mwendokasi lazima ajitutumue na kuwaongezea budget.

HAPA KASI TU
 
Back
Top Bottom