Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,633
- 7,901
Nilikuwa nakusoma tena jinsi wanyarwanda walivyokuwa.
Duh kweli walikuwa na akili sana hadi ukaamua kukimbia nchi. Ni vizuri sasa watu wamepata akili za jaoa kazi tu na kuwabamba hawa watu.. au sio. Rudi sasa nchini
Siyo, Wanyarwanda walikuwa na akili ila tatizo ninyi viongozi na wasomi uchwara na hadi Wake wa baadhi ya viongozi kama wewe kuweka porojo nyingi na siasa hadi mahala ambapo siasa haihitajiki.