Tanzania has become a hotbed of Kagame spies under Magufuli watch: Who is Mike Rwalinda and Hotel Kagame in Dar?

Eti TISS!!!!
WAPO BIZE KUKAMATA WASANII NA KUPIMA MKOJO TUNDU LISSU!
ILA ILE MIZIGO YA KITUSU WACHA WATUSPY TU AISEE NI MIZURI
 
Nyie wahutu mnahangaika sana na roho zenu mbaya, na mtaendelea kuishi kama mbwa mfe mkiwa exile!
 
Mmh nimeona ona matukio flani flani najaribu kunganisha dots, naona kuna ukweli flani hapa, daah maskini nchi yangu, kama huyu jamaa kakamatwa kwa kweli asiachwe na asirudishwe.
 
Kwenye hiyo habari kwanini isiandikwe Rwandan spy iandikwe Tutsi spy? Kwanini habari itaje tu wahutu waliuwawa na kutotaja mauaji ya watutsi?Bila shaka source itakuwa ni ya wapinzani wa Kagame. Serikali ya Rais Magufuli ni makini sana.

Subiri 2025

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu. Kila mtu na uelewa wake.
 
Aisee kuna hitajika nguvu ya ziada juu ya hili kabla Mambo hayaja haribika kuwa mabaya zaidi,naamini Kuna ukweli juu ya hili,Hata Mwanza Hawa Jamaa wapo, Kuna Dr mmoja hospital ya mkoa Sekou Toure anapiga kazi kama kawaida! Kuna haja ya kuzinduka juu ya hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie wahutu mnahangaika sana na roho zenu mbaya, na mtaendelea kuishi kama mbwa mfe mkiwa exile!
Unawatukana WAHUTU ambao nao ni VIUMBE vya Mungu. Na hawahusikani kamwe na UZI huu.
Ndugu zetu wameteseka kukimbia kimbia both WATUTSI na WAHUTU wote ni wa Mungu.
Usiwe na CHUKI mbaya namna hiyo. Yale unayomwombea ndugu yako yampate yanaweza kukurudia wewe. Uwe mwangalifu na ULIMI wako.
 
Nawakumbusha,kwamba rais wetu Magufuli amezaliwa Kagera na kukulia kagera,kwahiyo haya maswala ya wanyarwanda anayafahamu vizuri sana pengine kuliko mtu yeyote yule ndani ya serikali yake,anawajua ndani na nje wanyarwanda..

Kwahiyo ndugu watanzania tusiwe na wasiwasi kabisaa.

Kama kweli mtu anajua yeye ni mnyarwanda na anafanya mambo ya hovyo tanzania akae mkao wa kukamatwa muda wowote.

Hata hivyo ndugu watanzania msichanganye kati ya kabila na utaifa,Tanzania tuna wahutu watanzania na tuna watusi watanzania...kwahiyo si kila mtusi au mhutu ni mnyarwanda au mrundi. (Magufuli anafahamu vizuri hili).
Huo ndio ukweli .mjadala unachangiwa na wahutu na Watusi waliopewa uraia lakini bado chuki ya asili huko kwao hawataki kutema. Si mrudi kwenu wahutu na watutsi ambao bado mnapanda mbegu za genocide? Kwa Tanzania mnapanda hizo kwenye mwamba haziwezi kuota. Tanzania is above tribal hatrage. MTU anadiriki kusema kuwa kuna naibu Havana mtutsi so what , so mtanzania Wa Kigoma yule , hana uraia Wa kupewa zawadi kama wengine mnaopiga kelele humu na kutaka kuvuruga akili za watu wazima. Nadhani hii mijadala ya wahutu na watutsi Wa huko ng'ambo Burundi/Rwanda izuiwe haina tija .Mnatumia Tanzania kueneza ushetani tu na mnajiita wakristu tens wengi dhehebu mojana bado mlitumia makanisa kama machinjio. Ni aibu. Sikh tukianza kuwafuatilia nyie mtarudi kwenu wote mkahubiri hayo huko kwenu.
Uongo mkubwa.... Kama kagame alimwaga hela kwa lowasa,kwa nini mara baada ya uchaguzi tu JPM alienda Rwanda na akadhhirisha kwamba ni rafiki mkubwa wa kagame? Na wamekutana zaidi ya Mara moja! Mpaka wanaombana wataalamu wa IT na kuulizana wapi bombadia zinauzwa,Mara atatuletea wataalamu wa kodi kutoka Rwanda

Mimi naona kagame alihusika na kuuweka utawala huu hapo ulipo,nadhani siri iko karibu kuvuja kuhusu "Rwanda Factor" kwenye uchaguzi wetu

Anayelaumiwa kwa "urafiki" na Lowasa ni UHURU Kenyatta na William Rutto,

Akina Raila mpaka leo wanasubiri fadhila zao,hawaishi kupiga hodi Tanzania,hata kagame huwezi kukubali spies wake wakamatwe hapa bongo wakati anajua wakati wa uchaguzi aliwekeza,hata bandarini nadhani mizigo ya Rwanda iliondolewa baadhi ya procedure fast a

Hivi jamani si ni kagame alimpa ndugu yetu ng'ombe? Halafu leo tuaminishwe eti kagame alikuwa anampa hela za kampeni lowasa?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawatukana WAHUTU ambao nao ni VIUMBE vya Mungu. Na hawahusikani kamwe na UZI huu.
Ndugu zetu wameteseka kukimbia kimbia both WATUTSI na WAHUTU wote ni wa Mungu.
Usiwe na CHUKI mbaya namna hiyo. Yale unayomwombea ndugu yako yampate yanaweza kukurudia wewe. Uwe mwangalifu na ULIMI wako.
Bila shaka na wewe ni mhutu inamaana hujasoma hiyo article walivotukana watutsi? Sasa nasema hivi roho zenu mbaya zitazidi kuwaua na mtapatikana popote mlipo!
 
Ni kweli spy's wa Rwanda wako wengi sanaa kuanzia Mwanza, Kahama, Dom, Arusha ndo usiseme sasa, mpaka dar

Wapo wanaojulkana lkn naiman sio wote(that mean ukijulkana utafatliwa lkn je ao wasio fahamika?

Kifo cha mtikila kiltosha ku alart serkal yan kna mda m nakua na hasira jinsi mambo yanavoendaga asusually spymaster akiwa anajua abc za ulinzi wa nchi NCHI inakua salama (shwar)

ila huyu wa sasaiv mhh?
m sielewi huko juu lkn

By d way ni mtazamo tuu
 
Huu uzi umesababisha nipitilize kituo nitachelewa kazini kama dakika tano hivi na siyo kawaida yangu. Ila bado navizia comments za Pascal Mayalla Sibonike Mag3 Nguruvi3 Sky Eclat JokaKuu UncleBen (che) nijiridhishe
Mkuu asante kuni tag, ndio nimeiona hii kitu, japo kuna some dots to connect, lakini ukichanganya na uongo mkubwa wa wazi wa kupika, kama hoja hii, then kila kitu kinaishia kuonekana ni uongo
  • According to those who know Rwalinda were, is that he was in charge of the 600 Tutsi women spies that Kagame had sent to Dodoma and Dar Es Salam to influence the Tanzanian legislatives policies toward Kagame led regime.
  • This is what helped Kigali to send more than 600 Tutsi women working as “Espionage of Romance” or Spies of Passion. They use their beauty to lure rich Tanzanian politicians especially members of parliament to pass laws that favor Kigali and betray their Asili ya Ujamaa.
Hii hoja ya 600 tutsi women ni uongo wa mchana kweupe. Kwa jinsi ninavyowajua wanawake wa Kitutsi kwa mambo yetu yale, halafu wamwage Dodoma, na Dar, mbona nchi ingeishatikisika!. Miaka ya nyuma kuliwahi kutokea jahazi limetia nanga bandari ya Dar es Salaam na wanawake wakimbizi wa Kisomali 43, wakafikia pale Ilala Bungoni, mchana walivaa nikab kwa kujifunika gubi gubi, lakini usiku walitikisa jiji la Dar enzi hizo night club za maana zikiwa tatu tuu, Bills, Califonia na Karibu Hotel, walijaa hoteli zote za maana na walikuwa hawana bei, wakateka soko lote la ile biashara!, dada zetu walilala njaa maana ndani ya zile hijab na nikab, ilikuwa ni balaa!, salama ya dada zetu ni kuwa hao Wasomali katika lile somo, ni hakuna kitu, lakini mwanzo, kiukweli watu walichachawa, mimi nikiwa ni mmoja wao!.

Sasa kama Wasomali 40 tuu walitesa jiji, leo washuke wa Tutsi 600 Dar na Dodoma halafu nchi isitikisike?, tena Watutsi kwenye mambo yetu yale ndio next to Baganda na Bahaya!, kwa viongozi wetu hawa wanavyopenda down, nani bado angekuwa na mkewe?!. Huu ni uongo!.

Ila kwenye issue ya kifo cha Rev. Mtikila, there might be some dots to connect, kwa sababu nakumbuka aliwahi kusema mbovu kuwahusu Watusi.
Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania ...
Kagame links JK's advice to Mtikila's hate speech | Page 2 ...
Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame | Page 9 ...


Tatizo alikuwa sio mtu wa kuaminika sana, habu angalia siku nilikutana naye na uangalie aliniambia nini
Uso kwa Uso na Mtikila- Akataa Hongo ya Millioni 100 ...

Kwenye connecting the dots kuhusu Watutsi na Wahutu
Kuna tuhuma kumhusu Baba yetu wa Taifa with Tutsi Connection
Baba Mzazi wa Mwalimu Nyerere, Chief Burito alioa wake 22. Je ...
kwa nini Mtikila anamuita Mwl. Nyerere Dikteta? | JamiiForums ...
Vita vya Kagera: Nini chanzo? Kulikuwa na ulazima? | Page 7 ...


Pia kuna tuhuma kuwa rais Joseph Kabila sio mtoto wa Laurent Kabila, ni adopted son wa Kitutsi!.
Rais Joseph Kabila Mashakani | Page 3 | JamiiForums | The Home of ...
Mjue Joseph Kabila Kabange rais wa Jamhuri ya watu wa Congo | Page ...
Nani alimuua Laurent Desire Kabila? | Page 2 | JamiiForums | The ...
Tatizo la Gen. Kagame si kuongea na FDLR; tatizo ni Kufurushwa kwa ...


Pia kuna tuhuma za chini kwa chini za asili ya mtu wetu fulani kuwa ni Mhutu na alizaliwa kule kwa baba wa kule na mama wa huku, mama akaachika na kurejea Tanzania na mwanaye, kufika Tanzania mama akaolewa tena, muoaji akagoma kumlea mtoto wa kufikia hivyo akalelewa na babu mzaa mama na kupewa jina la Kihaya. Mpaka alipoanza shule ndipo akawa intergrated ndani ya familia yake!, na ndio maana anaonekana kuwa na tabia za ajabu ajabu tofauti na wenyewe!. Kuhusu tuhuma hii, mwana jf huyu,
britanicca, anajua sana. kwenye bandiko hili, Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti ...
alisema haya
Sasa inafika hatua tunapaswa kuusema ukweli ,KAGERA KARAGWE NI KWENU KWA MZEE MACHALILA, NA JINA LAKO LA KIHAYA NI KATO (wengi hawajui hii),

Pia kuna ukweli kuhusu penetration ya Watutsi kwenye serikali yetu, kuanzia foreign, jeshini hadi TISS, most have been dealt with, wengine wamevuliwa uraia na wengine wame kimbia kabla ya kubainika.

Hivyo kunaweza kuwa na some truth.

Paskali
 
Bila shaka na wewe ni mhutu inamaana hujasoma hiyo article walivotukana watutsi? Sasa nasema hivi roho zenu mbaya zitazidi kuwaua na mtapatikana popote mlipo!
Hanna haja kulipiza uovu kwa uovu were inatosha kuwaambia kuwa karne hii ya 21 chuki za ukabila hazina nafasi. Kwa sababu kama NI watu Wa kujifunza kwenye historian wakumbuke watutsi Milioni moja walikufa namoderate hutus kwa miezi 3 lakini hao waiofanya hayo laana iliwafuata hadi misitu ya Congo inasdikiwa karibu Miloni 5 na ndani wakiwemo na wacongo walipkaribisha Sera hizo. He Hitler na maguvu take aliwamaliza wayahudi duniani ? Pamoja na kuua wayahudi mil. 8 lakini taiga LA Israeli lilizaliwa na watu Milioni 2 mpaka Leo wanasurvive na kutetemesha waarabu mataifa 19. Hiyo chuki wahutu na watutsi Wa Burundi Rwanda iacheni haitatoa mshindi sanasana mtakuwa wahanga wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo mkubwa. Kama kagame alimwaga hela kwa lowasa,kwa nini mara baada ya uchaguzi tu JPM alienda Rwanda na akadhhirisha kwamba ni rafiki mkubwa wa kagame? Na wamekutana zaidi ya Mara moja! Mpaka wanaombana wataalamu wa IT na kuulizana wapi bombadia zinauzwa,Mara atatuletea wataalamu wa kodi kutoka Rwanda.

Mimi naona kagame alihusika na kuuweka utawala huu hapo ulipo,nadhani siri iko karibu kuvuja kuhusu "Rwanda Factor" kwenye uchaguzi wetu

Anayelaumiwa kwa "urafiki" na Lowasa ni UHURU Kenyatta na William Rutto,

Akina Raila mpaka leo wanasubiri fadhila zao,hawaishi kupiga hodi Tanzania,hata kagame huwezi kukubali spies wake wakamatwe hapa bongo wakati anajua wakati wa uchaguzi aliwekeza,hata bandarini nadhani mizigo ya Rwanda iliondolewa baadhi ya procedure fast a


Hivi jamani si ni kagame alimpa ndugu yetu ng'ombe? Halafu leo tuaminishwe eti kagame alikuwa anampa hela za kampeni lowasa?

Huo ndo uspy wenyewe, hizo ng'ombe unawezakuta zimevalishwa chip kwenye kwato au mkiani zinampelekea PK info za kutosha.
 
Kwa nchi yetu kuchunguzwa na mataifa jirani wala si jambo la ajabu

Japo kuna watu wamesomeshwa na nchi kwa gharama kubwa kuhusiana na maswala ya ujasusi lakini hawatumii utaalamu wao ipasavyo kutokana na kuingiliwa katika majukumu yao na wanasiasa

Mfano mzuri ni swala la Esther Bulaya.. Dk anasema apelekwe hospitali nyingine kwa matibabu zaidi mkuu wa wilaya anakataa

Hivyo hivyo kwenye maswala ya ujasusi.. badala ya wataalamu kuwashauri viongozi wa nchi ni viongozi wa nchi ndio wanaowaashauri au kuwaamrisha wataalam
 
Back
Top Bottom