Tanzania hakuna wasomi kuna waijua "Kusoma na kuandika"

Robinhomtoto

JF-Expert Member
May 17, 2017
238
244
Wadau nimefanya utafiti Mdogo katika suala la elimu ili kujiridhisha iwapo Tanzania tuna Wasomi au laa.

Utafiti wangu umebaini kuwa Tanzania hakuna Wasomi ila kuwa watu wanaojua Kusoma Na Kuandika.Utafiti huo unathibitishwa Na mfumo uliopo wa Viongozi wa Nchi hii kutangulia mbele kama kuku Na vifaranga Na watalaamu ambao niliamini ndio wasomi kuwa nyuma Na kupata maelekezo ya Hugo kiongozi ambaye kimsingi hajasoma vya kutosha Na kama Waziri wa Utumishi alivyosema difa za hao viongozi ni kujua kusoma na kuandika.

Viongozi hao ndio wanatoa maelekezo Kwa Wahandisi, walimu, Maafisa Ardhi n.k.ambao wamekaa vyuoni kusomea hiyonkazinkwa miaka kadhaa.Kutokana Na misingi hiyo ni dhahiri Huyo Mtendaji atatekeleza majukumu take kama alivyoelekezwa Na huyo kiongozi pasipo kujali taaluma yake Kwa hiyo wote watakuwa wanafanana .
 
ebu soma iyo post yako vzr then utuambie wewe tukuweke kwenye kundi gan? maana kwa mtazamo wangu wa haraka haraka ww nakuweka kwenye kundi la wasiojua kuandika, nina sababu ya kusema ivyo sababu kwenye uandishi wako karibu post nzima umechapia kuandika
 
Back
Top Bottom