baruti 1
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 620
- 703
mimi ni mmojawapo ya watu ambao wako affected sana na filamu za kimagharibi ,na hata mawazo yangu yamekaa "kimovie movie". katika baadhi ya filamu nmekua nikishuhudia baadhi ya waigizaji wakiigiza kuua watu wabaya kwa ajili ya maslahi mapana ya umma.
Na nnavyojua watu wa magharib wanchoigiza huwa ni uhalisia wa kinachotokea kwenye jamii zao ,na mifano ya uhalisia huo uko mwingi tu unaweza kugoogle ukapata mifano.
Tanzania tunao wala rushwa wakubwa, mafisadi, watetea mafisadi n.k lakini sijawahi sikia kikundi chochote ama mtu mmoja a/wakisaidia kutondolea hawa watu ili jamii ipate neemeka na rasilimali zetu.
swali je kwanini hatuna hawa watu? na jee ungefanikiwa kuwa vigillante ungeenza na nani?
mimi ningeenza na toto tundu