Tanzania hakuna Proffessor wala Chuo Kikuu ( Wote wasanii tu na Ujanja ujanja tu)...

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,914
6,389
Heshima kwenu brothers and sister,Nimeguswa sana na yanayoendelea katika university nyingi duniani pande zote na nimeona documentary CNN mda si mrefu nimeguswa hadi nikaingia internet,, HIV cure inatoka mda si mrefu kwa research zinazoendelea duniani.. but vyuo vya bongo vikiongozwa na Udsm siasa tu,

1. Huko Marekani, University of Missisipi Research centre test yao ya functional cure imekuwa successful na wamefanikiwa kumtibu mtoto aliyezaliwa na ukimwi amepona kabisa..for more details pitia hapa Health News & Articles | Healthy Living - ABC News.

Huko Denmark napo Aarhus University Scientist nao Juzi wametangaza kwamba wana miezi michache ya ku confirm New DNA treatment as a Cure HIV ( NA HII NDO IMEITINGISHA DUNIA NA KUONGELEWA SANA KILA SEHEMU NA TEST INAENDA VIZURI SANA)

3. Na University of Berlin nayo imeitingisha dunia baada ya test yao kufanikiwa kumtibu mtu mmoja Timoth Ray Brown maarufu kama berlin patient alieguwa ukimwi toka 1995 na alikuwa katika final stage za AIDS but baada ya treatment aliyopewa kwenye campus hospital ya kupandikizwa CCR5- DELTA 32 mutation ambayo mtu ukiwa nayo hauwezi HIV hawezi kukaa mwilini mwako lazima afe mda anaoingia, yeye hakuzaliwa ma CCR5-DELTA 32 but scientist waliichukua kutoka kwa mtu mwenye nayo na kuipandikiza mwilini mwake na siku kazaa tu HIV wote wakafa, na mpaka leo ndio the only person aliyetibiwa ukimwi hospitali na akapona kabisa bila zengwe,,,,, scientist hao nao bado wapo on test kwa binadamu wengine,,,,,, kuhusu hii treatment maana ina risk kubwa kwenye uhai wa binadamu.

4. University of Benin nigeria, nayo imekuwa university ya kwanza kutoka Africa kutangaza mafanikio ya research yake kwenye HIV cure .. imetangaza february this year kwamba wamegundua cure ya HIV nao wapo kwenye final test maana watu wa 3 zimewakubali na kuwapona kati ya watu wa 5 waliotest na hao waili ni faintly positive na mda wowote wanaweza wakawa negative,, Team hiyo kutoka School of Basic Medical Science -university of Benin Wakiongozwa na DEAN OF THE SCHOOL- PROFFESSOR ISAIAH IBEH wametangaza ushindi wao baada ya kukaa laboratory toka mwaka 2010, proffessor huyu na team yake waliomba wapunguziwe ratiba za darasani ili waweze kufanya research yao vizuri na january mwaka huu baada ya miaka 3 ya kushinda laboratory wakatangaza Dawa waliyoigundua Herbal Drug had undergone successful test na wanategemea ku confirm what they have found by the end of this year 2013.. dawa yao made from plants extraction in nigeria has been exposed to series of medical examination in nigeria and usa na wapo kwenye final test with help from The University of Lagos

5. The university of Cape Town wapo busy na Research ya kuchanganya DNA kumuua HIV, University of Cairo talks about using Bee to eliminate HIV,,, na university zingine kibao duniani watu wapo busy na research za maana kama hizo,,

sisi proffessor wetu wakiongozwa na mkandara wapo busy na research za Redet za kuonesha Magamba watashinda kwa kishindoSasa Jamani wakati university za watu Ma Proffessor wapo busy na Research za maana Kama hizo haapo juu,, ma proffessor wetu wapo busy na siasa eg Proffessor Philemon Sarungi huyu si daktari huyu,, halafu mwisho wa siku tunapigiana kelele tu udsm sijui mzumbe, udom ni vyuo bora
 
Akili za kukaririshwa hizi. Nani kakuambia maprofesa wa TANZANIA hawafanyi utafiti? Zipo fields nyingi kielimu na sio field ya medical and micro biology tu. Unajua tafiti zilizowahi kufanya na watu kama SHIVJI, GHASSANY? Nani kakuambia tafiti na ugunduzi mpaka maprof?
 
Hebu nipe utafiti uliofanywa na profesa wa tanzania to effect the world,, hivi tuna nobel prize winner hata mmoja katika vyuo vyetu kweli?

Professa anawaza kukamata wanafunzi tu aje asahihishe suplementary,,,, hizo research ni nzito hizo na watu wanataka wafe kwa furaha wakiwa wame effect the world,,, Chinua achebe kafa juzi dunia nzima imesikitika as kila mtu anajua mchango wake duniani...

Ni tafiti zipi zinazofanywa na maprofessa wetu za maana zaidi ya Redet tu,, elimu ni uwezo sio vyeti kaka..
 
Profesa wa Tanzania hata malaria inawashinda, watu wakiumwa mafua tu wanakwea pipa kwenda Apollo na Millpark wataweza mziki wa reseach za kutibu ukimwi,,, hao wenyewe hawajiamini wamejaa muhimbili kibao ila daktari mwenzao ulimboka tu wamemkimbiza nje...

Proffessor wa ukweli yupo busy na research kuonesha tofauti yake na kina sisi kwamba yeye ni proffessor lazima atoe ufumbuzi akiwa mstali wa mbele,, cheki wangari mathai hapo jirani tu kenya utamfananisha na nani wa hapa bongo?
 
MKATA KIU kwanini useme Tanzania hakuna professor wakati hivyo vyuo ulivyotaja havizidi nchi sita? Hakuna Kenya, hakuna South Africa, hakuna UK, Italy n.k. Kwa nini usizitaje na hizo nchi kuwa hazina professor? Hivi unajua tafiti kama hizo zinaweza kugharimu kiasi gani?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umechambua na kueleza vizuri sana. Mkuu wewe umeenda mbali sana, huko kwenye hizo research ni level nyingine kabisa, hizo level hawa ma Prof wetu bado sana kufika huko. Hawa maProf wetu, hata kuandika vitabu tu wameshindwa, sana sana utamkuta katoa manual tu. Hawa jamaa ni wavivu sana.

Mimi nionavyo hawa ma Prof wetu wana kama uzuzu au ujinga flani hivi bado hupo vichwani mwao; They dont have free mindset...
 
Mkuu Mkatakiu upo sahihi kabisa, hapa kwetu wamejaa maprofesa uchwara hawana mchango wowote kwa jamii, uprofesa umekuwa hauna thaman na ndiyo maana akina Majimarefu, Joseph Haule nk, wakaona wajipachike wao huo uprofesa!!!
 
Last edited by a moderator:
Hebu nipe utafiti uliofanywa na profesa wa tanzania to effect the world,, hivi tuna nobel prize winner hata mmoja katika vyuo vyetu kweli?

Professa anawaza kukamata wanafunzi tu aje asahihishe suplementary,,,, hizo research ni nzito hizo na watu wanataka wafe kwa furaha wakiwa wame effect the world,,, Chinua achebe kafa juzi dunia nzima imesikitika as kila mtu anajua mchango wake duniani...

Ni tafiti zipi zinazofanywa na maprofessa wetu za maana zaidi ya Redet tu,, elimu ni uwezo sio vyeti kaka..

Tafiti nyingi za kitabibu zinafanyika MUHAS, tafuta research bulletin ya 2012 utapata majibu.
 
sisi proffessor wetu wakiongozwa na mkandara wapo busy na research za Redet za kuonesha Magamba watashinda kwa kishindoSasa Jamani wakati university za watu Ma Proffessor wapo busy na Research za maana Kama hizo haapo juu,, ma proffessor wetu wapo busy na siasa eg Proffessor Philemon Sarungi huyu si daktari huyu,, halafu mwisho wa siku tunapigiana kelele tu udsm sijui mzumbe, udom ni vyuo bora
ukweli mtupu!
 
Napata wasiwasi sana nikifikiria mustakabali wetu kama taifa. Ma-proffessor wengi tulionao sasa walijengwa au kusoma kipindi cha nyuma kidogo. Kipindi ambacho tunasema elimu yetu ilikuwa na ubora fulani. Sasa sipati picha huko mbele, tutakapokuwa na proffessors waliotokea kwenye shule za kata within phase ya Maghembe. Nimegeuza dishi pande zote, lakini bado sipati picha.
 
Hebu nipe utafiti uliofanywa na profesa wa tanzania to effect the world,, hivi tuna nobel prize winner hata mmoja katika vyuo vyetu kweli?

Professa anawaza kukamata wanafunzi tu aje asahihishe suplementary,,,, hizo research ni nzito hizo na watu wanataka wafe kwa furaha wakiwa wame effect the world,,, Chinua achebe kafa juzi dunia nzima imesikitika as kila mtu anajua mchango wake duniani...

Ni tafiti zipi zinazofanywa na maprofessa wetu za maana zaidi ya Redet tu,, elimu ni uwezo sio vyeti kaka..
Google Professor Pius Yanda ,tatizo lako unawajua maprofessor ambao ni wanasiasa tu .Usidharau mambo bila kufanya utafiti .
 
Tafiti
nyingi za kitabibu zinafanyika MUHAS, tafuta research bulletin ya 2012
utapata majibu.

Mkuu hawa jamaa zako wa Muhas au Nimr tafiti zao ni zile kwa mfano kujua
mkoa gani unaongoza kwa ugonjwa wa ukimwi au malaria, etc au kujua
watoto wangapi walikufa kutokana na malaria kwa kipindi flan etc etc...
Lakini sio zile tafiti za maana za kwa mfano zinazopelekea hata
kutengeneza ACT (Artemisinin Combination Based Therapy). Au utakuta saa
zingine wafanyacho huko maabara ni ku monitor kwa mfano Ebora breakout
kwenye mipaka yetu, which is merely statistical issues...

Kwa hiyo usitetee huozo wa hawa jamaa, they no nothing kwenye utafiti,
wanachojua ni kukusanya data na kuzifanyia statistical computations na
kuleta majibu. Au labda hujui mleta mada alikuwa anazungumzia nini, au
labda umekaririshwa hizo malaria research...
 
Hebu nipe utafiti uliofanywa na profesa wa tanzania to effect the world,, hivi tuna nobel prize winner hata mmoja katika vyuo vyetu kweli?

Professa anawaza kukamata wanafunzi tu aje asahihishe suplementary,,,, hizo research ni nzito hizo na watu wanataka wafe kwa furaha wakiwa wame effect the world,,, Chinua achebe kafa juzi dunia nzima imesikitika as kila mtu anajua mchango wake duniani...

Ni tafiti zipi zinazofanywa na maprofessa wetu za maana zaidi ya Redet tu,, elimu ni uwezo sio vyeti kaka..

Hujaskia ile ya Dr. Bana ya kuwa adhabu waliyopewa akina Lissu ni ndogo, we are no better than that..
 
Heshima kwenu brothers and sister,Nimeguswa sana na yanayoendelea katika university nyingi duniani pande zote na nimeona documentary CNN mda si mrefu nimeguswa hadi nikaingia internet,, HIV cure inatoka mda si mrefu kwa research zinazoendelea duniani.. but vyuo vya bongo vikiongozwa na Udsm siasa tu,

1. Huko Marekani, University of Missisipi Research centre test yao ya functional cure imekuwa successful na wamefanikiwa kumtibu mtoto aliyezaliwa na ukimwi amepona kabisa..for more details pitia hapa Health News & Articles | Healthy Living - ABC News.

Huko Denmark napo Aarhus University Scientist nao Juzi wametangaza kwamba wana miezi michache ya ku confirm New DNA treatment as a Cure HIV ( NA HII NDO IMEITINGISHA DUNIA NA KUONGELEWA SANA KILA SEHEMU NA TEST INAENDA VIZURI SANA)

3. Na University of Berlin nayo imeitingisha dunia baada ya test yao kufanikiwa kumtibu mtu mmoja Timoth Ray Brown maarufu kama berlin patient alieguwa ukimwi toka 1995 na alikuwa katika final stage za AIDS but baada ya treatment aliyopewa kwenye campus hospital ya kupandikizwa CCR5- DELTA 32 mutation ambayo mtu ukiwa nayo hauwezi HIV hawezi kukaa mwilini mwako lazima afe mda anaoingia, yeye hakuzaliwa ma CCR5-DELTA 32 but scientist waliichukua kutoka kwa mtu mwenye nayo na kuipandikiza mwilini mwake na siku kazaa tu HIV wote wakafa, na mpaka leo ndio the only person aliyetibiwa ukimwi hospitali na akapona kabisa bila zengwe,,,,, scientist hao nao bado wapo on test kwa binadamu wengine,,,,,, kuhusu hii treatment maana ina risk kubwa kwenye uhai wa binadamu.

4. University of Benin nigeria, nayo imekuwa university ya kwanza kutoka Africa kutangaza mafanikio ya research yake kwenye HIV cure .. imetangaza february this year kwamba wamegundua cure ya HIV nao wapo kwenye final test maana watu wa 3 zimewakubali na kuwapona kati ya watu wa 5 waliotest na hao waili ni faintly positive na mda wowote wanaweza wakawa negative,, Team hiyo kutoka School of Basic Medical Science -university of Benin Wakiongozwa na DEAN OF THE SCHOOL- PROFFESSOR ISAIAH IBEH wametangaza ushindi wao baada ya kukaa laboratory toka mwaka 2010, proffessor huyu na team yake waliomba wapunguziwe ratiba za darasani ili waweze kufanya research yao vizuri na january mwaka huu baada ya miaka 3 ya kushinda laboratory wakatangaza Dawa waliyoigundua Herbal Drug had undergone successful test na wanategemea ku confirm what they have found by the end of this year 2013.. dawa yao made from plants extraction in nigeria has been exposed to series of medical examination in nigeria and usa na wapo kwenye final test with help from The University of Lagos

5. The university of Cape Town wapo busy na Research ya kuchanganya DNA kumuua HIV, University of Cairo talks about using Bee to eliminate HIV,,, na university zingine kibao duniani watu wapo busy na research za maana kama hizo,,

sisi proffessor wetu wakiongozwa na mkandara wapo busy na research za Redet za kuonesha Magamba watashinda kwa kishindoSasa Jamani wakati university za watu Ma Proffessor wapo busy na Research za maana Kama hizo haapo juu,, ma proffessor wetu wapo busy na siasa eg Proffessor Philemon Sarungi huyu si daktari huyu,, halafu mwisho wa siku tunapigiana kelele tu udsm sijui mzumbe, udom ni vyuo bora

Hongera sana mkubwa, ulichoongea hapa ni sawa na hujakosea hata kitu kimoja, we achana na pingamizi za hao waliokaririshwa, huo ndio ukweli wa mambo. Badae kidogo nitakuja tena na kitu kingine.
 
Unatokwa povu sana wewe na Master yako ya Saut kama sio ya Mzumbe kama Nape
Ingia hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/7878-prof-pius-yanda-ashinda-zawadi-ya-nobel-2.html
 
Back
Top Bottom