Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Ivi tanzania ya sasa ni kukomoana au kutafuta imaarufu na kuogopwa.
Mchina muuwaji wa tembo na wanyama kafungwa miaka 15-17 jela.
Polisi wauwaji wa raia hupandishwa vyeo kwa kazi nzuri hasa wakiuwa raia wanaoitwa wapinzani
Polisi hao hao huamishwa vituo pale wakiuwa raia wasio kuwa wapinzani.
Mafisadi na majizi DPP hujitoa kwenye kesi kwa kitokuwa na lengo la kuendelea na kesi.
Bomoa bomoa mahakama iliweka zuio barabara ya kimala serikali ikabomoa na hakuna aliyewajibishwa lakini wale wa mwanza ni wapiga kura wa kimala sijui ni wakimbizi au sio raia au sio binadamu.
Korosho yale yale wanatakiwa kurejesha fedha kwa kuwa hazina ubora, wakati wengine waliporwa kwa kuwa hawana mashamba, wengine wakauziwa chini ya bei elekezi ni serikali hii hii
Raia waliochoma kituo kwa kuona wanakosa haki ya kulindwa wanafungwa maisha.
Tukumbuke aliyeshitaki ni serikali ya ccm hii hii yenye mahakama na DPP
Lengo la serikali naona ni kutisha kama kipindi kile mwenyekiti wa ccm aliwambia lazima waogopwe hasa na ikiambatana na kauli uogope kama umeona kituo cha polisi