Tanzania hakuna haki? Malkia wa tembo kafungwa miaka 17, Polisi wauaji wanapanda vyeo kuhamishwa vituo, raia kuchoma kituo wanafungwa maisha

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Ivi tanzania ya sasa ni kukomoana au kutafuta imaarufu na kuogopwa.

Mchina muuwaji wa tembo na wanyama kafungwa miaka 15-17 jela.

Polisi wauwaji wa raia hupandishwa vyeo kwa kazi nzuri hasa wakiuwa raia wanaoitwa wapinzani

Polisi hao hao huamishwa vituo pale wakiuwa raia wasio kuwa wapinzani.

Mafisadi na majizi DPP hujitoa kwenye kesi kwa kitokuwa na lengo la kuendelea na kesi.

Bomoa bomoa mahakama iliweka zuio barabara ya kimala serikali ikabomoa na hakuna aliyewajibishwa lakini wale wa mwanza ni wapiga kura wa kimala sijui ni wakimbizi au sio raia au sio binadamu.

Korosho yale yale wanatakiwa kurejesha fedha kwa kuwa hazina ubora, wakati wengine waliporwa kwa kuwa hawana mashamba, wengine wakauziwa chini ya bei elekezi ni serikali hii hii

Raia waliochoma kituo kwa kuona wanakosa haki ya kulindwa wanafungwa maisha.

Tukumbuke aliyeshitaki ni serikali ya ccm hii hii yenye mahakama na DPP

Lengo la serikali naona ni kutisha kama kipindi kile mwenyekiti wa ccm aliwambia lazima waogopwe hasa na ikiambatana na kauli uogope kama umeona kituo cha polisi
 
Umewasahau wakulima wa Korosho kwa makusudi au bahati mbaya?

Na bomoabomoa ya wakazi wa Kimara/Mbezi vs Wakazi wapiga kura wa Mwanza??

Tunaweza kumpa msanii mahela ya matibabu lakini wahanga wa tetemeko la ardhi tukawatosa kwa kuwa tetemeko hatukulileta sisi
 
Hakika nchi hii tunapitia kipindi kigumu sana cha kulifanya kundi moja la jamii kuwa "untouchable's" na kuligeuza kundi hilo kuwa na "impunity" ya kutoshitakiwa kwa kosa lolote la kuua raia!

Unakumbuka kile kisa cha kuuawa mwanafunzi asiye na hatia Akwilina Akwiline??

Yule Askari aliyefyatua "kizembe" risasi hadi kusababisha kifo cha mwanafunzi huyo, eti DPP ameifuta kesi hiyo kwa kutomtambua mwuuaji!

Leo hii akina Mbowe na mbunge mwenzake Esther Matiko, ndiyo wanakomolewa kwa "kuozea" jela wakibambikiwa na kesi hiyo ya kuuawa mwanafunzi huyo!
 
Hakika nchi hii tunapitia kipindi kigumu sana cha kulifanya kundi moja la jamii kuwa untouchable's na kuligeuza kundi hilo kuwa na impunity ya kutoshitakiwa kwa kosa lolote la kuua raia!

Unakumbuka kile kisa cha kuuawa mwanafunzi asiye na hatia Akwilina Akwiline??

Yule Askari aliyefyatua "kizembe" risasi hadi kusababisha kifo cha mwanafunzi huyo, eti DPP ameifuta kesi hiyo kwa kutomtambua mwuuaji!

Leo hii akina Mbowe na mbunge mwenzake Esther Matiko, ndiyo wanaokomolewa kwa "kuozea" jela wakibambikiwa na kesi hiyo ya kuuawa mwanafunzi huyo!
Maendeleo hayana chama. Endeleeni kuniombea
 
Umewasahau wakulima wa Korosho kwa makusudi au bahati mbaya?

Na bomoabomoa ya wakazi wa Kimara/Mbezi vs Wakazi wapiga kura wa Mwanza??

Tunaweza kumpa msanii mahela ya matibabu lakini wahanga wa tetemeko la ardhi tukawatosa kwa kuwa tetemeko hatukulileta sisi
Ngoja tukusanye za vitambulisho vya wamachinga. ....maana hata boda boda anayelipia TRA ni lazima achukue.
Na anayepinga anaenda ndani
 
Askari ndio mlinzi wa nchi ukiua askari maana yake umepindua nchi na umeua Raisi sababu Raisi hulindwa na askari.Adhabu yake ni kifungo cha maisha au kunyongwa.Hao waliteketeza Kambi nzima ya askari na kuchoma bendera ya taifa.Walichoteketeza kwa moto ni Kambi ya kijeshi wakawavurumisha askari Kambi ikabaki Haina askari kwa maneno mengine walipindua sehemu ya nchi ambayo ni Bunju ambapo ipo hiyo Kambi ya jeshi na kuikalia kwa mabavu.Kupindua nchi waweza pindua nchi nzima au sehemu ya nchi.Hao walipindua sehemu ya nchi na kuteketeza Kambi ya wanajeshi polisi walinzi wa eneo husika.Hiyo kesi si sawa na ya malkia wa tembo.Tembo sio askari walinda nchi na wala yule malkia wa tembo hakuteketeza Kambi ya kijeshi ya polisi na wala kuteketeza bendera ya Taifa .Ni kesi mbili tofauti.Hao walioteketeza kituo cha polisi walitakiwa kunyongwa sema hakimu kawahurumia.Hii meseji iwafikie Chadema kituo cha polisi waelewe wazi kuwa ni kituo cha kijeshi waheshimu si eneo la kuchezea lile ni kambi kamili ya jeshi hata kama ina askari mmoja.
 
Askari ndio mlinzi wa nchi ukiua askari maana yake umepindua nchi na umeua Raisi sababu Raisi hulindwa na askari.Adhabu yake ni kifungo cha maisha au kunyongwa.Hao waliteketeza Kambi nzima ya askari na kuchoma bendera ya taifa.Walichoteketeza kwa moto ni Kambi ya kijeshi wakawavurumisha askari Kambi ikabaki Haina askari kwa maneno mengine walipindua sehemu ya nchi ambayo ni Bunju ambapo ipo hiyo Kambi ya jeshi na kuikalia kwa mabavu.Kupindua nchi waweza pindua nchi nzima au sehemu ya nchi.Hao walipindua sehemu ya nchi na kuteketeza Kambi ya wanajeshi polisi walinzi wa eneo husika.Hiyo kesi si sawa na ya malkia wa tembo.Tembo sio askari walinda nchi na wala yule malkia wa tumbo hakuteketeza Kambi ya kijeshi ya polisi na wala kuteketeza bendera ya Taifa .Ni kesi mbili tofauti.Hao walioteketeza kituo cha polisi walitakiwa kunyongwa sema hakimu kawahurumia.Hii meseji iwafikie Chadema kituo cha polisi waelewe wazi kuwa ni kituo cha kijeshi waheshimu si eneo la kuchezea lile ni kambi kamili ya jeshi hata kama ina askari mmoja.
Rais ni kitu gani,mbona unamuona Rais as if ndiye anayegawa oxygen! Rais ni mtu kama wewe ulivyo. amepewa kusimamia matakwa ya waliomchagua si matakwa yake. Ila kwa dikiteita anaona yeye ndiye yuko juu ya waliomchagua.
 
Mlio karibu na familia zilizofungwa maisha, wahimizeni waomba rufaa wasije wakapitwa na muda... time limitation zisije kuwabana! They should move quickly to institute notice of intention to appeal! THIS IS VERY IMPORTANT
 
Nimesikitika sana wale jamaa waliochoma kale ka-slop.

Halafu mwingine ni mtoto wa miaka 14 wakati tukio linatokea ila hakushitakiwa mahakama za watoto.

Pia sioni mantiki ya kifungo cha maisha kwa watu hawa. Je hakimu amezingatia kilichotokea hadi wakachoma au na yeye kaibuka na mihemuko tu.

Tanzania ya sasa kuna uonevu sana aisee, malkia wa tembo miaka 15 nayo hata haileti maana ukiangalia na raia wengine wanavyohukumiwa.
 
Ivi tanzania ya sasa ni kukomoana au kutafuta imaarufu na kuogopwa.

Mchina muuwaji wa tembo na wanyama kafungwa miaka 15-17 jela.

Polisi wauwaji wa raia hupandishwa vyeo kwa kazi nzuri hasa wakiuwa raia wanaoitwa wapinzani

Polisi hao hao huamishwa vituo pale wakiuwa raia wasio kuwa wapinzani.

Mafisadi na majizi DPP hujitoa kwenye kesi kwa kitokuwa na lengo la kuendelea na kesi.

Bomoa bomoa mahakama iliweka zuio barabara ya kimala serikali ikabomoa na hakuna aliyewajibishwa lakini wale wa mwanza ni wapiga kura wa kimala sijui ni wakimbizi au sio raia au sio binadamu.

Korosho yale yale wanatakiwa kurejesha fedha kwa kuwa hazina ubora, wakati wengine waliporwa kwa kuwa hawana mashamba, wengine wakauziwa chini ya bei elekezi ni serikali hii hii

Raia waliochoma kituo kwa kuona wanakosa haki ya kulindwa wanafungwa maisha.

Tukumbuke aliyeshitaki ni serikali ya ccm hii hii yenye mahakama na DPP

Lengo la serikali naona ni kutisha kama kipindi kile mwenyekiti wa ccm aliwambia lazima waogopwe hasa na ikiambatana na kauli uogope kama umeona kituo cha polisi
Sasa wewe unacholalamikia hapo ni nini? kwa maana hao wote wamehukumiwa kwa mujibu wa sheria na kama hawakuridhika wana ruhusa ya kukata rufaa.kuhusiana na hao mapolisi unaodai kuwa wanaua na kuhamishwa vituo hii inatokana na kukosekana ushahidi wa kutosha au liliuwawa ni lihalifu lililodhamiria kumdhuru polisi
 
Sheria zinasemaje!?
Au alichofanya hakimu ni maamuzi yake binafsi kchwani.
Nazan tuwalaumu waliotunga izo sheria sio aliyezitafsiri
NIMESIKITIKA SANA WALE JAMAA WALIOCHOMA KALE KA-SLOP.
HALAFU MWINGINE NI MTOTO WA MIAKA 14 WAKATI TUKIO LINATOKEA ILA HAKUSHITAKIWA MAHAKAMA ZA WATOTO.
PIA SIONI MANTIKI YA KIFUNGO CHA MAISHA KWA WATU HAWA. JE HAKIMU AMEZINGATIA KILICHOTOKEA HADI WAKACHOMA AU NA YEYE KAIBUKA NA MIHEMUKO TU.
TANZANIA YA SASA KUNA UONEVU SANA AISEE, MALKIA WA TEMBO MIAKA 15 NAYO HATA HAILETI MAANA UKIANGALIA NA RAIA WENGINE WANAVYOHUKUMIWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom