Tanzania haistahili kuitwa Nchi Huru.

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
830
184
Ningumu sana kuelewa lakini inabidi kwani Tanzania ni yetu.Nchi haina Meli,haina Ndege,Haina Basi,Haina Taxi,Haina hata Hospitali ama Shule yenye 100% bila ufadhili.Sasa kuna aja gani ya kuitwa nchi tena huru?
 
Back
Top Bottom