Ila kwa habari hii Pascal Mayalla ulipaswa uombe radhi wasomaji na wale waliokuwa washabiki wako.
Hivi umefuatilia habari zinazoibuliwa mahakamana kuhusu hiki kikundi cha kina Goodluck, Kingayi, Mahita, Aziz, Jumanne na ndugu yao Sabaya aliyepo jela?
Kama mwandishi mbobezi hujagundua kiliundwa na nani? Kwanini kilijikita Arusha lakini kilifanya ukatili (may be na uuaji) nchi nzima? Kilikuwa na mahusiano yeyote na Makonda wa Dar?
Hayo ungekuwa umeyafanyia kazi ungeomba radhi kwa maneno yako ya kumpamba mwanzilishi na sponsor wa kundi hili la "Wasiojulikana" waliojulikana.
Binafsi nimeanza kuelewa kwa nini Godbless Lema wa Arusha alikimbia nchi tena kwa kutoroka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.