Tanzania haijawa tayari kujiunga EAC

Tanzania haijawa tayari kujiunga EAC

Wakenya walivunja EAC ya kwanza, na sisi Watanzania tuvunje hii mpya (strategically), walimwaga ugali, tumwage mboga! We don't fit! "If it doesn't fit, you must aquit" alisema Judge Johnny Cochran kwenye ile kesi maarufu ya O.J Simpson:lie:!

.....
Kanyaboya, Cochran was a defence lawyer not a judge
!

loooooolllest!!!!!! good job Koba.

kunia-bwoya, you stupidity is speaking louder than your pathetic desperate chicken threats
 
Koba..kwa hiyo unaona Silicon Valley is what it became kwa security guards, cashiers na watandika vitanda kutoka kwa hao wakenya.

Those desperate land grabbers are the ones to make Tanzanian Silicon Valley? Don't think am ignorant how the free market forces work...am just a rational man! Tatizo hamtaki kutamka wazi wazi kuwa mnaganga njaa. The standards we need, you don't have! nor the quality.

Inashangaza mtu kuwa excited na kuwa illegal immigrant na kufanya kazi illegally kwenye nchi jirani. What's wrong with your Kenya that you want to come in droves?? Isn't it the industrial hub of East Africa?

Who is better between low government employee ( if i am) and a dish washer in the US like you. A school drop out too! Traveling all the way from Africa to wash dishes in the US!!
 
Mkuu Kanyabwoya, dont waste your time & energy 2 argue with these guys like Koba; he is just noising, cant come to africa coz he cheated in US that he is a refugee from rwanda. smatta, nomasana and the like are just laymen who talk much with no empirical evidence from the ground. You can revisit their posts to prove what I'm uttering. they are neither learned nor seasoned and bad enough are not exposed to the surroundings out side nairobi, that is why, they are always think that they are better than us, but the fact is all african nations has a lot to do for the betterment of their people.
Enjoy the Kombe La Dunia.

I remain,
Eliakeem.
 
Mkuu huyo ni Muhingo Rweyemamu wa Rai kama umesoma vizuri. Lakini kuna ukweli katika mengine, kuhusu mpira..si issue sana kwangu. Kumbuka we are surrounded by hypocrytes ambao usidhani wanakuja kuongeza tija kwenye nchi hii. Hawa ni kina Rostam na Jeetu Patel wa design nyingine. Hata hivyo sina wasi wasi kwa sababu i will fix them accordingly!

hypocrates are every where and to the matter of fact jeetus and Rostam are typical TZ mentally much more worse in Kenya "EAT YOUR OWN FLESH"
 
Shahada zote nchini Kenya zimeongezwa somo la entrepreneurship. Kwa hiyo wanafunzi wa Kenya hawahangaishi na vyeti vizuri tu, hawahangaishwi na alama nzuri za matokeo za mitihani ya mwisho. Kwahiyo hawezi kuhangaishwa na wizi wa vyeti au udanganyifu wa mitihani.
Hili ni tatizo kwa elimu ya hapa kwetu ila kikubwa kinachotakiwa ni confidence na viongozi wetu kutambua wanachotaka kuifanyia nchi hii na watu wake na sio kuwa watu wa kutaka kuonekana wema wakati nchini mwao wanaunguza mboga

Wanawaza watapa wapi kipande cha ardhi ilia weze kutengeneza andiko lake la mradi. Nani mwanafunzi wa mwaka wa mwisho wa shahada ya kwanza yeyote katika chuo chetu hapa nchini anayeweza kutengeneza andiko la mradi lenye uwezekano wa kukopesheka? na hata akiwa nalo,ni benki gani Tanzania yenye ujasiri na uthubutu wa kuwakopesha watu?
hapa kwenye ardhi ndipo ambapo watanzania lazima tupambane sana kwanza kuweka land tenure system nzuri ambayo itakuwa inaweka maslahi ya watanzania mbele kwanza. Sio kuwahofia wakenya tu na wanyarwanda ila wawekezaji wote uchwara ambao wanakuja kufanya land grabbing kwa kisingizio cha uwekezaji na kukenuliwa menu na baadhi ya viongozi wetu

Nimezungumzia suala la michezo wa soka. Wakati Tanzania alipopata ugeni wa Ivory coast, kwa kujipendekeza kwenu tukaichagua Rwanda nayo tukaipatia mechi.
Ili lilihitaji busara zaidi ambayo ni sisi pekee watanzania tunaiwezaa na wala sio wakenya, wanyarwanda, waganda wala waburundi

Ila ni lazima tuwe makini sana na hii EAC manake hawa majirani zetu wana lao jambo
 
Eli, Nakushukuru kwa kunitakia Kombe la Dunia jema..it's the game i love. Mi nina matumaini na Wa-South no matter what!
 
Kanyabwoya,

..hata mimi naungana na wewe kurudia tena kwamba EAC ni michosho tu.

..hii jumuiya itarudisha nyuma juhudi za wa-Tanzania kujipatia maendeleo ya kweli.

..haieleweki tunajiunga na EAC kwa malengo gani haswa.
 
Mie naamini maamuzi haya yalifanyika kwa pupa, Tanzania ingeungana na DRC na Angola tungepata mafanikio makubwa ukizingatia wote tuna dhahabu mafuta/gesi uranium na ardhi hivyo tungeweza kuunda sera za pamoja zenye tija. Ikumbukwe 80% ya Gold reserve iko TZ DRC na Angola pia kunatetesi kuwa 75% ya uranium iko katika nchi hizi. Sasa hawa wakenya na wanyarwanda wanarasilimali gani?
 
Smatta mimi ninajua international trade, hii RTA (regional trade arrangement) tunayojaribu kufanya, it's a building block of the multilateral trading system (MTS) but there's also a another school of thought against this), lakini kwa mazingira yetu inatakiwa ifanywe responsibly. Taasisi zetu bi dhaifu. Bidhaa bandia zimejaa sokoni, madawa fake ndiyo tele, sasa wanaokufa kwa kutumia hayo madawa ni nani? Si watanzania? Maybe even my son if am not around, kana kwamba TDFA, TRA or TBS or whoever responsible hayupo. Si kwamba sijui kuwa hiyo ni trade in goods that's is regulated under GATT, la hasha. Hiyo ya unskilled cheap labor unayotaka toka kwenu huko, it's under GATS (Trade in Services) lakini are we going to get what we want as Tanzanians? Are we short of cheap semi/unskilled labor ourselves? Tatizo hiyo inaweza leta chuki, unajua even if TZs eliminate foreigners, inaweza tuletea mkosi na sisi tukawa kama jirani zetu wote, lakini unadhani unaweza kumwelewesha mtu desperate wa mtaani asiyekuwa na cha kupoteza.akakuelewa.kwa hiyo Serikali na taasisi zake zinatakiwa kuwa makini sana katika kazi zake/mikataba inayofanya. Hapo sijaongelea mikataba bandia eti ni international trade..madini, nishati, utalii, kilimo kote mtanzania ni kulaliwa tu! Theory na practise ni vitu tofauti, practise inakwenda na mazingira, mambo ya ku-copy paste mambo ya ulaya na marekani nadhani si sahihi. Eti mnatuletea Silicon Valley, hee! When did start! How can you give what you don't have really. Kwa mfano, practice ni kwamba we need English Teachers with genuine degrees from Kenya or even UG acha waje, because i think we need them, that's my opinion. Lakini sidhani kwamba Wakenya na Waganda ni wazuri kwenye masomo ya Sayansi na Hisabati, wengine nimesoma nao! But coming in droves in July? We cannot just open a floodgate, 'coz you've all kind of stuff coming in, the other day i said cockroaches and snails ukasema nimewaita cockroaches. Aren't we the ones to filter and tailor to our needs. Hata hivyo, those excted with July, ni kwamba Common Market Protocol imeainisha kada zinazohitahitajika yaani academic and professional qualifications zinazohitajika subject to obtaining a work permit! Na kwa yule anayedhani kwamba naogopa ushindani, mimi kazi ninayo, na nilipata kazi nyingi private na za Serikali huko nyuma, niliyoichagua naijua mwenyewe and don't plan to quit, not even soon. Mimi ninasemea wengine, mimi siyo yule mtu anayeshiba, anajua wote wameshiba na kusahau alikotoka. Tanzania naijua ilivyo, watu wengi wanaumia kwa makosa ya watu wengine wachache, tena mambo mengine ni ya busara na hayahitaji hata kuumiza kichwa kuyafanya! Even inaction can be deadly, which is common amongst our leaders! Mfano mdogo, kumpa kuongoza Shirika la Ndege la Taifa mtu kama yule, who had proved failure beyond any reasonable doubt even bofore kwa sababu ua ushikaji. Huku ukijua kwamba biashara hiyo ni ngumu hata kwa nchi zilizoendelea, na ukijua kuwa Sabena ilikufa na BA iko matatani, to mention but a few. And that's even a drop in the sea ya makosa yanayorudiwa kila siku. Kwa hiyo tutaishi kwa kupiga ramli au! Ndiyo maana kina Sheikh Yahya Hussein wana nguvu sana nji hii! Maybe they are behind all this! ALUTA CONTINUA
 
Mimi usinieleze mambo ya multilateral trading system na sijui work permits, hizi borders za East Africa ziko so porous, so kwa mtu wa kawaida kupata work permit ya Tanzania Kirinyaga ama River Road ni jambo rahisi, This Is Africa son.

Leo ni Ijumaa, sitaki kuongea mengi, ndugu zangu wa Islamu Ijumaa Kareem.
 
Can someone please ban this clown from this forum, AB we need your assistance... Internet soldier and in person you are a broke woosie, its sad that am even replying to your trash.
 
Hili ni tatizo kwa elimu ya hapa kwetu ila kikubwa kinachotakiwa ni confidence na viongozi wetu kutambua wanachotaka kuifanyia nchi hii na watu wake na sio kuwa watu wa kutaka kuonekana wema wakati nchini mwao wanaunguza mboga

hapa kwenye ardhi ndipo ambapo watanzania lazima tupambane sana kwanza kuweka land tenure system nzuri ambayo itakuwa inaweka maslahi ya watanzania mbele kwanza. Sio kuwahofia wakenya tu na wanyarwanda ila wawekezaji wote uchwara ambao wanakuja kufanya land grabbing kwa kisingizio cha uwekezaji na kukenuliwa menu na baadhi ya viongozi wetu

Ili lilihitaji busara zaidi ambayo ni sisi pekee watanzania tunaiwezaa na wala sio wakenya, wanyarwanda, waganda wala waburundi

Ila ni lazima tuwe makini sana na hii EAC manake hawa majirani zetu wana lao jambo
Mkuu Makoyo, dont worry about the system of holding land in Tanzania (land tenure) (hawatachukua land kwa sababu sheria zetu zinakataza mtu ambaye si mzawa kumiliki ardhi, ukimuona mtu kama huyo basi nenda ofisi uhamiaji haraka iwezekanavyo), we have a very well elaborated and HD land laws compared to any eaCountries and even in Africa at large. That is why immediately after independent comred Robert G. Mugabe came to Tz for consultation on land issue. and i attended many international workshops on land matters, several countries presented the way they administer and manage land, i came to realize that both statutory and customary land tenure are well addressed in our country. (leave alone the issue of village land and reserved land)
But the problem we are facing is disparities on what stated in the law and what is actually taking place on the ground.
 
Vi vema kujua hilo, illegality has to be solved iilegally as well. Naona Wizara ya Kazi na Uhamiaji vimehamia kwenu! Machetes should be the name of the game, if you thought Rwandan Nterahamwe's machetes we deadly, the desperate TZs's will be even sharper and deadlier! You get get what you ask for! The other day you were talking about law, if doesn't work well among ourselves, for a foreigner to bank on TZ sheria, that is even insanity! waulize wachina watakwambia, na huo ni mwanzo tu! Huo ni ushauri wa bure! Sina cha kupoteza! But i've a right to incite and encourage mtanzania anayedhulumiwa na mgeni as long as we don't do that to you!

Aksante kwa kumuelimisha smatta, but i'm worrying if is following your discourse becoz you put a very technical substance here. wenyewe na nomasana wamezoea kuweka blah blah hapa. Lkn tusife moyo tutaendelea kuwafundisha taratibu taratibu pengine wataelewa tunachomaanisha.
 
Tabia za wakimbizi mbaya sana jioneeni wenyewe. No dignity no pride.
 
KAMA Kwame Nkrumah, Rais wa kwanza wa Ghana huru [1957] na Mwalimu Julius K. Nyerere, Rais wa kwanza wa Tanzania huru [1961], kwa pamoja wangefufuka leo na kuona jinsi Afrika inavyoyumba kufikia muungano wa kisiasa na kiuchumi, wangetazama; kwanza kimya kimya, kisha wangeulizana, kila mmoja akitupa lawama kwa mwenzake akisema: “Kwa msimamo wako, wewe ndiye umesababisha Afrika isiungane mpaka leo”.
 
[h=2]Msuya azungumzia uwezo wa Tanzania kiuchumi EAC[/h]

Na Salome Kitomary

2nd September 2011

email.png

B-pepe

printer.png

Chapa

comment_bubble.png

Maoni

Msuya%281%29.jpg

Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya

Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, amesema Tanzania bado haijaimarika kiuchumi na biashara hivyo bado haiwezi kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashari (EAC) na kushindana na nchi za Kenya na Uganda ambazo tayari uchumi wao ni mzuri.

Msuya aliyasema hayo jana wakati wa mahafali ya 10 ya wahitimu 156 wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari St. Mary Goreti, ya mjini hapa.

Alisema awali Tanzania ilikuwa imeimarika katika viwanda, biashara na uchumi na ndio maana nchi nyingine zilihofia kuungana nayo katika EAC, lakini kwa sasa hali ya uchumi si nzuri.

Alisema kwa sasa serikali inakabiliwa na changamoto kubwa ya utandawazi inayoongozwa na sayansi na teknolojia, ambapo mataifa mengine yanayoendelea kama Tanzania yatakuwa kama vijiji katika ulimwengu huu mpya.

Msuya alisema ulimwengu huu utaongozwa na kumilikiwa zaidi na sayansi, teknolojia na mitandao ya mawasiliano, hivyo kuwataka Watanzania kuweka ufanisi wao katika umoja utegemee zaidi katika kufaulu masomo
ya sayansi.

Alisema Tanzania inapoelekea kusherekea
miaka 50 tangu kupata ya uhuru, sekta ya elimu imefanikiwa kwa kiasi kikubwa tofauti na hapo awali, ambapo wasomi wa Shahada ya Chuo Kikuu walikuwa 12 na kwa sasa wanahesabika kwa maelfu.

Msuya alisema kuwa taifa katika sekta ya elimu imepiga hatua kubwa katika kuimarisha na kuboresha elimu tangu kupatikana kwa uhuru, ambapo alibainisha sababu za mafanikio hayo ni kutokana na amani na uongozi bora uliowekwa na muasisi wa taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere.

Alisema uboreshaji wa huduma ya elimu imechangia kwa kiasi kikubwa kuongezeka kwa wasomi na wataalamu ambao kwa sasa wanafanya kazi katika mataifa mbalimbali tofauti na awali.

“Idadi hii ya wasomi imeongezeka kwa sababu ya kujenga shule nyingi za msingi, sekondari na vyuo vikuu, pamoja na kutoa uhuru kwa watu binafsi, mashirika na taasisi mbalimbali kushirikiana na serikali katika kutoa elimu,” alisema Msuya.

Alifafanua kuwa kabla ya kupata uhuru , Tanganyika ilikuwa na jumla ya wasomi wa shahada ya chuo kikuu wapatao 12 ambapoi jumla ya shule za sekondari zilikuwa 41, ikilinganishwa na sasa kuwepo kwa
shule za sekondari 4,266 pamoja na vyuo vikuu 41 hali iliyochangia idadi kubwa ya wenye Shahada za Chuo Kikuu.

Aliwaomba wadau wa elimu kutoa ushirikiano wao mzuri kwa serikali katika kuendelea kutoa na kuboresha elimu ya hapa nchini, kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu lengo likiwa ni kushindana na soko la ajira.

Meneja wa shule hiyo, Sista Phina Mushi, alisema shule hiyo inakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa thamani na vifaa
vya maabara vyenye thamani zaidi ya Sh. milioni 43.

Nyingine ni ukosefu wa kompyuta za kisasa zenye thamani ya Sh. milioni 140, hali aliyosema imechangia kwa kiasi kukubwa wanafunzi kuhitimu masomo bila kutumia kompyuta.

CHANZO: NIPASHE

Mtazamo: Hongera sana mheshimiwa Msuya unaonyesha jinsi gani ulivyokuwa makini na kujali maslahi ya watanzania. Niliwahi kusema na narudia tena EAC iwe kwa manufaa ya Watanzania. Tuige mfano wa Uingereza na EU kwamba tunaungana katika maeneo tunayaona tuna faida nayo kama hatuna faida nayo tuwaachie wenyewe mojawapo ardhi yetu, sarafu na uzalishaji vibakie kwanza kwa watanzania hadi hapo baadae. Vyenginevyo tutauma na kusaga meno na umoja huu.
 
Huyu mzee siku hizi anasikika kweli. Kuna nini nyuma yake kwani wanasiasa kwa masilahi yao tu, siwawezi.
 
Back
Top Bottom