Tanzania haijaolewa EAC - Samwel Sitta

Mkuu mbona post yako hiko incoherent, unauma na kupuliza unafikiri members hawana akili za kung'amua tatizo lako linatokana na nini? Hapa members wanazungumza kuhusu USALAMA wa taifa letu na kutoa tahadhali, research gani unayo zungumzia hapa wakati unadai unatoka kaskazini, which I doubt unaweza kuwa unatoka Mkoa huo huo unao usema - kumbuka Mkoa huo una makabila mengi. Mkuu nakupa ushauri wa bure, kama una issues na makabila hayo basi keep it 2 yourself na usijaribu ku-derail mada kwa kusukumwa na chuki zako binafsi, mpaka unafikia hatua ya kutumbukiza vitu ambavyo havina mantiki kabisa!! We unafikiri Taifa letu likivurugika wewe na familia yako ndio mtabaki salama - husijidanganye Mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…