Tanzania fails me...

nahisi hujanielewa kabisa,,maisha yangu binafsi niko well off,i am the boss for real,but kuwa tajiri katika nchi ya kifisadi hakunipi furaha,
kuwa tajiri na kuzungukwa na maskini ni hatari na sio furaha kabisa,
kuishi katika nchi yenye watu wanaolalamika kutwa inaboaaa sana,hata kama we ni milionea...

Two things you can do (there might be more):-

1) Stay and deal
a)Struggle to maintain your optimistic attitude.See the wee bit of good in the midst of current socio-political chaos and take a leap of faith.
b)Imagine Tanzania as you want it be and live your life as if it were so.In short,a dreamland.

2) Find your Botswana and forget about a country that makes you feel small inside.
 
Last edited:
boss, are you really serious au unacheza tu hapa ukumbini? Kwanini huwi member wa ccm na ukagombea ubunge kwenye uchaguzi ujao?
Ukifika bungeni kuwa machachari kidogo tu na katika bajeti zuia shilingi moja ya wizara hii na ile na utakuwa ushaukata, kwani baadae utachaguliwa kama mwenyekiti wa kamati fulani na stress yako itakuwa imekwisha. I am not joking at all. Waulize waliopita njia hii kama bado leo wanazo-stresses.
Hunahaja ya kuhama nchi. Unadhania utapata wapi nchi nzuri kama hii? Hata ukiiba hapa nchini hukamatwi - atakamatwa tarishi wako, sasa kwanini unataka kuhama?

mi na wewe naona ni vitu viwili tofauti,nimechagua kuwa
raia mwema regardless kama sitakuwa tajiri,kuiba au kufanya
usanii ili niwe tajiri hakutanipa furaha,furaha yangu ni kuona nchi inaendelea,
watu wanafanikiwa kwa halali,
 
Pambana tu mkuu matatizo hayakimbiwi bali unakabiliana nayo.
we unadhani wa saauz afrika leo wasingekuwepo hapo walipo kama wangeamua kuikimbia nchi yao na kumuacha kaburu aendelee kula bata tu.
saa ya ukombozi itapatikana wote tukitumia haki yetu ya kuchagua kwa uzuri na ubora.
 
there are plenty of opportunities to make you thrive in life in this same poor country of yours. The most important thing is how you play your cards. I believe you still have a lot of future ahead of you. My only piece of advice for you is that don't give up man. The nastiest thing one can do in life is to give up. Remain assured that the most common and immediate event to happen for people who give up in life is going mad. So choose between going crazy or keep on struggling with a hope that one day things will work out fine in favour of you. In fact, in my opinions, the signs of you going mad are ready in place. Leo unafikiria kuikimbia nchi yako kesho utafikiria kuwakana hata wazazi wako eti kisa hujatoka kishikaji. Acha hizo mtoto wa kiume. Hata neno la bwana linasema mtoto wa kiume utakula kwa jasho na mdada atazaa kwa uchungu!

it is not about me,i am so rich for tanzanian standard,it is
about the whole country.....
 
good governance

Not ''power distribution'' nor ''stakeholders' participation in the running of the country'' definition of democracy though.So,go on give it another try.

Just,avoid mentioning free and fair elections,good social & financial investment environment and as much as you can,sty away from the mention of human rights.And yeah,forget about quality of life,human development and it's system of justice.
 
it is not about me,i am so rich for tanzanian standard,it is
about the whole country.....

Dear Boss,

If you are really a boss of your institution and so rich for Tanzanian standard, then do something to reduce misery at least around your immediate surrounding. Namjua Mtanzania mmoja ambae alikuwa na hisia hizo hizo kama zako juu ya nchi yake na baada ya muda aliamua kuwaezekea mabati majirani zake wote, kwani alikuwa akiungulika pale alivyokuwa akiwaona siku za mvua za vuli wanavyoteseka kwa umaskini ndani ya vibanda vya makuti walivyokuwa wakiishi.
 
Kuwa kwangu mtanzania naona kunaniongezea stress tu, kila nikifiria jinsi nchi inavyokwenda naona sioni mwanga kila kitu kinakatisha tamaa, naona nakosa furaha kila siku,skendo ndo zinaongezeka watawala ndo kama viziwi,

Nahisi afya yangu itaathirika nikiendelea kuwa so concern na hali ya nchi hii inavyokwenda, i feel like quiting, labda sio lazima kuendelea kuwa mtanzania, labda nitafute nchi nyingine nihamie, hata huko ntakapohamia kukiwa na mambo kama haya,at least nitasema moyoni hii sio nchi yangu ya asili,may be i will feel beter.

But tanzania hii inavyokwenda, i cant bear it no more, nimekubali kushindwa,hii nchi imenisaliti, i deserve better than just kuongelea ufisadi kila siku, i need to be happy and optimistic about the future,

Mkuu find ways zako mwenyewe zitakazo kufanya uwe happy...............otherwise hutakuwa unawatendea haki wadogo, kaka, dada baba na mama zako..............

mfano......anza na kijijini kwako........kuna shule ya sekondari....toa sholarship kwa mwa/w/anafunzi kulingana na uwezo wako utakuwa ume-play your part........only if that makes yourself satisfied.......unaweza kufanya mambo mengi tu mengine kwa nchi yako..........besides.....nafikri ni vise versa.......... sisi ndio tunaoi-fail nchi yetu.......... just kwa kuwa na mawazo kama hayo..........
 
dear boss,
if you are really a boss of your institution and so rich for tanzanian standard, then do something to reduce misery at least around your immediate surrounding. Namjua mtanzania mmoja ambae alikuwa na hisia hizo hizo kama zako juu ya nchi yake na baada ya muda aliamua kuwaezekea mabati majirani zake wote, kwani alikuwa akiungulika pale alivyokuwa akiwaona siku za mvua za vuli wanavyoteseka kwa umaskini ndani ya vibanda vya makuti walivyokuwa wakiishi.

good advice but.........i dream of a tanzania like malaysia is that very impossible?
 
Una msusia shamba nguruwe? kila mtu akikimbia nchi itajengwa na nani?

Sasa sikiliza wewe anza tena ikiwezekana uondoke leo na usirudi hata likizo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom